Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Imeelezwa kuwa tozo zimeibua maendeleo mbalimbali huko majimboni na kwamba katika bunge lijalo wabunge watatakiwa kuelezea maendeleo hayo. Hayo yamesemwa na mbunge wa Geita Vijijini Dr Joseph...
8 Reactions
46 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania zoezi la Sensa limeanza Leo na litaendelea katika wiki yote hii, Najuwa Kuna ambao hatujabahatika kufikiwa na makarani wa Sensa katika siku ya leo, ndugu zangu naomba...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Zikiwa zimesalia siku chache kuhitimishwa kwa sensa ya watu na makazi ilioanza Agosti 23, 2022, wakazi wa baadhi ya mitaa iliyopo Kimara na Mbezi katika Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Nchi yetu inakwamishwa na mambo ya kipuuzi sana. Hii iinatokea hapa morogoro mida hii. Imagine kwa lisaa tumeganda barabarani eti mwenge sijui unazindua kitu gani huko. Watu wanachelewa...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Somalia Baada ya kuondolewa kwa Gen. Mohamed Siad Barre mwaka 1991 aliyeitawala Somalia kwa miaka 22 nchi hiyo ilianguka na kuwa taifa mfu "failed state" linalokimbiwa na raia wake mpaka leo...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Hii Sasa ni sifa, Haiwezekani mtu kafa afu unawaweka picha ya "Chagua Magufuli". Hapa unaweza ukamwelewa Pascal Mayalla kwamba Magufuli anaenjoy huko aliko. Hii picha ni pale Oil Com Ubungo -...
12 Reactions
24 Replies
2K Views
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema kuwa asilimia 17.13 ya kaya zote nchini zimehesabiwa ndani ya siku moja kwenye Sensa ya Watu na Makazi iliyoanza jana Jumanne Agosti...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni Ushauri tu kwa ndugu zangu wa Chadema pale Ufipa st Viwango vya PK kiuwajibikaji vimetukuka halafu jamaa hana historia ya kutuhumiwa wizi wizi Chadema mleteni Kibatala 2030 Dominica njema
2 Reactions
10 Replies
975 Views
Sijafurahishwa kabisa na huu ubunifu wa watu wa takwimu kutumia jina la Rais na viongozi wengine kuhamasisha sensa. Mama Ana Makinda ni mtu mashuhuri, angeweza kutumia hata jina lake au maafisa...
0 Reactions
12 Replies
956 Views
Tunaweza kubadilika nakuokoa fedha na rasilimali wakati pale tutakapokubali kwamba upo umihimu wa kupunguza matumizi yasiyo ya lazima. Mhe. Rais akiwa popote nchini anakuwa na wakuu wa vyombo vya...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Hata kama CCM hawataleta Latina mpya au wanahitaji utitiri wa vyeo ili waweze kutoa fadhila na zawadi, Ni muhimu kupitia muundo wa utawala ili kuboresha kazi, kuondoa urasimu. na kuongeza Tina na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama watanzania tulijiandaa kuhesabiwa jana tarehe 23 Agosti, 2022, mambo yamekuwa si mambo. Nilikuwa nyumbani kwangu Sombetini, Arusha tangu asubuhi hadi usiku nikawasubiri makarani wa sensa bila...
27 Reactions
58 Replies
5K Views
Mkurugenzi Mkuu wa NBS Dr Chuwa amesema ni kosa la jinai Karani wa Sensa kujirekodi na kupiga picha akiwa anahesabu Watu Chuwa amesema hadi sasa kuna kesi kadhaa za matukio hayo ya kujipiga...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Wakili wa Halima Mdee na wenzake amesema kisheria wateja wake 19 ndio wameishtaki Chadema na kwa sababu hiyo wao ndio Wana haki ya kuihoji Chadema Siyo kuhojiwa Kesi umeahirishwa hadi Ijumaa...
9 Reactions
55 Replies
6K Views
Kuna baadhi ya matukio yamekuwa yakitendeka mikoani, ambayo taarifa zake hazitolewi kwa wakati au kutokutolewa kabisa. Kuna tukio la kukatwa mapanga hadi kuuawa kwa mwalimu wa shule ya sekondari...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mbunge wa Kigamboni, Faustine Ndugulile ameuliza bungeni kuhusu mikakati ya serikali kufanya mapitio ya ada za usajili wa mifumo ya malipo(fintech apps) pamoja na mikakati ya kuboresha mazingira...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
KAULI HII IMEZUA MJADALA MZITO NA BAADHI YA WATU WAMEMUUNGA MKONO KWA KAULI YAKE "Hela ya tozo tuliambiwa ndio itajenga madarasa mapya, leo cha kushangaza madarasa na hela za mkopo wenye mashart...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
Wanasheria mbalimbali wametoa maoni tofauti kuhusu kufukuzwa kazi kwa Meneja wa Shirika la Reli nchini (TRC) Kanda ya Dar es Salaam, Jonas Afumwisye huku baadhi yao wakionyesha nia ya kumpatia...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Magufuli aliweza vipi kuendesha nchi kwa miaka 5 bila ya kuwaminya Wananchi kwa kodi na tozo? Na msiniambie alikopa kwani mpaka Samia anaingia debt to GDP ratio Tanzania ilikuwa one of the lowest...
37 Reactions
160 Replies
7K Views
Back
Top Bottom