Rais Samia: Hali ya Uchumi imefanya niteue majaji 22 badala ya 40

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,037
9,926
Rais Samia amesema ilibidi ateue majaji 42 lakini kutokana na hali ya uchumi amelazimika kuteua majaji 22 wa kuanzia.

Amesema hali itakapokaa vizuri atateua zaidi kwa kadiri ya uhitaji. Ameyasema hayo katika hafla ya kuapisha majaji iliyofanyika Ikulu leo, Agosti 29, 2022.
 
Juzi nimekutana na igp pale ubungo baada ya kusimamishwa kijazi kusubiria msafara wake anapita na ma v8 kama matano. Ukiachilia yale magari mengine ya polisi.

Tatizo ni vipaumbele na sio uchumi.
 
Back
Top Bottom