Mzee Lowassa wapi jamani, mbona kimya sana

Hussein Kiula

Member
Oct 24, 2012
12
15
Nauliza mzee Lowassa yupo wapi? Mbona hatumsikii kabisa.

Tumezoea kumuona mzee Lowassa akitoa maoni yake kuhusu mwenendo wa Serikali aidha kukosoa au kusifia lakini amekuwa kimya muda mrefu sijui yupo wapi?
 
Kapumzika, mtoto wake yuko ulingoni anasongesha gurudumu. Mara ya mwishomwisho kumsikia, alikua mgonjwa na alikuwa anawakilishwa na mwanae kwenye matukio ambayo alikuwa anatakiwa kuwepo, mfano kwenye tuzo moja iliyotolewa sijui nchi gani huko, mwanae akaipokea kwa niaba.
 
Yuko zake katulia naishi na jirani ake hapa burka Arusha kajenga bonge la gorofa Kuna siku nimezidiwa nikamuomba mlinzi wa nyumba lile sehemu ya kumchakata manzi mmoj wa olasiti aise alikubali nilimgegeda haswa .hpo Ni ktk jumba la mdgo ake lowasaa Arusha hyo mwezi wa Saba juz tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nauliza mzee lowassa yupo wapi?mbona hatumsikii kabisa.

tumezoea kumwona mzee lowassa akitoa maoni yake kuhusu mwenendo wa serikali aidha kukosoa au kusifia lakini amekua kimya muda mrefu sijui yupo wapi? mzee
Tufunge sana kwa Maombi juu yake!!
 
Ni kweli kuna kipindi nilisikia ni mgonjwa na alifanyiwa operesheni ya tumbo ila imekuwa muda kidogo kwa sasa nafikiri atakuwa kishapona.
Bado, lets pray for him, he is fighting and battling for his life akiwa admitted in a certain hospital, in a certain country outside Tanzania. Mambo ya hali ya afya ya mtu ni family issues na yanalindwa na the right to privacy hivyo naomba msiniulize anaumwa nini, amelazwa wapi na hospitali gani na nchi gani, that is for the family.

Get well soon Mzee wetu EL!.
P
 
Back
Top Bottom