seedfarm
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 260
- 2,654
Akiwa mkoani mwanzo akiongea na maafisa wa Polisi DCI Ramadhani Kingai amesema kila wakati Jeshi la polisi linanyoshewa vidole kutokana na baadhi ya polisi kutotenda haki kwa wananchi kwa kuwanyima dhamana zao
DCI Kingai amesisitiza Jeshi la polisi lazima libadilike kwa baadhi ya polisi kuacha kuchukua rushwa na kubambikia kesi wananchi
DCI Kingai amesisitiza hatakubali kuona mtu mmoja anasababisha Jeshi nzima la polisi kuonekana halifai kisa kunyima haki wananchi
Chanzo ni ITV habari saa mbili usiku
Kwa wasiomjua Bwana Ramadhani Kingai kabla ya kuwa DCI huyu ndiye aliyekuwa shahidi mkuu wa jamhuri kwenye kesi ya Mbowe na wale Makomando
Kwa mujibu wa ushahidi wake Bwana Afande Kingai mahakamani kwenye kesi ya Freeman Mbowe alipobanwa na akina Peter Kibatala kila mtu hapa JF na watanzania kwa ujumla Walishuhudia kesi ya kupikwa na kusababisha Freeman Mbowe na wenzake kukaa jela bila dhamana
Afande Kingai huyu huyu Leo anasisitiza haki kwa wananchi na wananchi wapewe dhamana zao
Hii unaweza kusema ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni
Hii unaweza kusema pia wonders shall never end
Hii nchi lazima tuwe na mifumo itakayowafanya watawala wawaheshimu wananchi, Mtu kama Kingai hakupaswa kuwa DCI hata kidogo kwenye nchi zinazosimamia sheria na utawala bora