Mstaafu Lema, acha Mama afanye kazi yake

Helenshija

Member
Aug 3, 2022
8
7
Mstaafu Lema, nimeona Tweet yako ya leo iliyojaa fitina na ukosoaji wa vijana wenzako walipata nafasi ya kuitumia nchi yetu kwa weledi mkubwa.

Inasikitisha sana kutokuona juhudi zinazofanywa na vijana hawa kwa nguvu na jasho la damu kupigania Watanzania iwe sehemu bora zaidi.

Hata kama unaichukia Tanzania "kama ulivyoikimbia nchi yako "... tuachie sisi tunaoipenda tuishi kwa amani.
 
Hili taifa linaangamizwa na wajinga kama wewe.

Tunakatwa tozo kila siku lakini hatuambiwi zinapokwenda, wala wanakusanya kiasi gani kila mwezi, halafu huyo mwenye dhamana anahusishwa na umiliki wa timu ya mpira wa miguu, huoni tatizo hapa?

Haya mambo yanahitaji idara za usalama wa hili taifa zifanye uchunguzi kwa kushirikiana na TAKUKURU, wananchi hawawezi kwa na imani na serikali inayoendeshwa na vijana wa aina hii.
 
Mstaafu Lema, nimeona tweet yako ya leo ,iliyojaa fitina na ukosoaji wa vijana wenzako walipata nafasi ya kuitumia nchi yetu kwa weledi mkubwa ... inasikitisha sana kutokuona juhudi zinazofanywa na vijana hawa kwa nguvu na jasho la damu kupigania watanzania iwe sehemu bora zaidi ..
Hata kama unaichukia Tanzania "kama ulivyoikimbia nchi yako " ..tuachie sisi tunaoipenda tuishi kwa amani..
Ujumbe sahihi kwa huyo mkimbizi uchwara. Anajiona yeye ndio mzalendo kuliko wote, hasira zake za kukosa Ubunge Arusha Sasa njaa imempanda mpaka kichwani basi kila siku kujifanya nabii.
 
Mstaafu Lema, nimeona tweet yako ya leo ,iliyojaa fitina na ukosoaji wa vijana wenzako walipata nafasi ya kuitumia nchi yetu kwa weledi mkubwa.

inasikitisha sana kutokuona juhudi zinazofanywa na vijana hawa kwa nguvu na jasho la damu kupigania watanzania iwe sehemu bora zaidi ..

Hata kama unaichukia Tanzania "kama ulivyoikimbia nchi yako " ..tuachie sisi tunaoipenda tuishi kwa amani..
Wivu tuu wa kijinga huyo Nabii wa chadomo..

Ndio maana anakuja na maneno ya jumla ila hawezi weka ushahidi au kumtaja hata mmja kuthibisha anayoyaandika..

Lema hawezi kuwa na taarifa nyingi kuliko Rais.
 
Mstaafu Lema, nimeona tweet yako ya leo ,iliyojaa fitina na ukosoaji wa vijana wenzako walipata nafasi ya kuitumia nchi yetu kwa weledi mkubwa.

inasikitisha sana kutokuona juhudi zinazofanywa na vijana hawa kwa nguvu na jasho la damu kupigania watanzania iwe sehemu bora zaidi ..

Hata kama unaichukia Tanzania "kama ulivyoikimbia nchi yako " ..tuachie sisi tunaoipenda tuishi kwa amani..
Mkuu Helenshija , ni vizuri kama ungetuwekea screen shot ya hiyo twitter ya Lema.
P
 
Hili taifa linaangamizwa na wajinga kama wewe.

Tunakatwa tozo kila siku lakini hatuambiwi zinapokwenda, wala wanakusanya kiasi gani kila mwezi, halafu huyo mwenye dhamana anahusishwa na umiliki wa timu ya mpira wa miguu, huoni tatizo hapa?

Haya mambo yanahitaji idara za usalama wa hili taifa zifanye uchunguzi kwa kushirikiana na TAKUKURU, wananchi hawawezi kwa na imani na serikali inayoendeshwa na vijana wa aina hii.
Kwa Kweli tunaburutwa !!
 
Mstaafu Lema, nimeona Tweet yako ya leo iliyojaa fitina na ukosoaji wa vijana wenzako walipata nafasi ya kuitumia nchi yetu kwa weledi mkubwa.

Inasikitisha sana kutokuona juhudi zinazofanywa na vijana hawa kwa nguvu na jasho la damu kupigania Watanzania iwe sehemu bora zaidi.

Hata kama unaichukia Tanzania "kama ulivyoikimbia nchi yako "... tuachie sisi tunaoipenda tuishi kwa amani.
Hata username yako imekaa kinaaa

Kichawa wewe ,kione kipelee wewe

Njaa tuu inakusumbuaa
 
Mstaafu Lema, nimeona Tweet yako ya leo iliyojaa fitina na ukosoaji wa vijana wenzako walipata nafasi ya kuitumia nchi yetu kwa weledi mkubwa.

Inasikitisha sana kutokuona juhudi zinazofanywa na vijana hawa kwa nguvu na jasho la damu kupigania Watanzania iwe sehemu bora zaidi.

Hata kama unaichukia Tanzania "kama ulivyoikimbia nchi yako "... tuachie sisi tunaoipenda tuishi kwa amani.
Hoja yako ingekuwa na uzito zaidi kama ungenukuu alichoandika Lema.

Amandla...
 
Mstaafu Lema, nimeona Tweet yako ya leo iliyojaa fitina na ukosoaji wa vijana wenzako walipata nafasi ya kuitumia nchi yetu kwa weledi mkubwa.

Inasikitisha sana kutokuona juhudi zinazofanywa na vijana hawa kwa nguvu na jasho la damu kupigania Watanzania iwe sehemu bora zaidi.

Hata kama unaichukia Tanzania "kama ulivyoikimbia nchi yako "... tuachie sisi tunaoipenda tuishi kwa amani.
Yaani ujinga huu unaondelea ndiyo unauita weledi .... Seriously!!
 
Mstaafu Lema, nimeona Tweet yako ya leo iliyojaa fitina na ukosoaji wa vijana wenzako walipata nafasi ya kuitumia nchi yetu kwa weledi mkubwa.

Inasikitisha sana kutokuona juhudi zinazofanywa na vijana hawa kwa nguvu na jasho la damu kupigania Watanzania iwe sehemu bora zaidi.

Hata kama unaichukia Tanzania "kama ulivyoikimbia nchi yako "... tuachie sisi tunaoipenda tuishi kwa amani.
Shija ni jina la kabila fulani. Sa tweet yake imekuharibia amani wapi? Mtu katoa tahadhari ili mhusika awe makini maana ameona mwenendo si mzuri.
 
Mstaafu Lema, nimeona Tweet yako ya leo iliyojaa fitina na ukosoaji wa vijana wenzako walipata nafasi ya kuitumia nchi yetu kwa weledi mkubwa.

Inasikitisha sana kutokuona juhudi zinazofanywa na vijana hawa kwa nguvu na jasho la damu kupigania Watanzania iwe sehemu bora zaidi.

Hata kama unaichukia Tanzania "kama ulivyoikimbia nchi yako "... tuachie sisi tunaoipenda tuishi kwa amani.
Acha ujinga
Shukuru Mungu hayati alikuwa nafasi Kwa hisani ya jina la baba yako .....
Heeeheee....acha tukae kimya...
 
Lema Hana lolote lile kazi yake ni kupiga makelele tu, atuachie nchi yetu tuijenge wenyewe, yeye akae hukohuko alikokimbilia, yeye anafikili huko aliko walifika walipo bila kuvuja jasho na kujinyima ili wajenge nchi zao, au yeye anazani walikaa tu,

Hana ch kutushauri sisi, kwanza siyo wakinga sisi ambao tunaweza kumsikiliza lema anayeongea huku yupo huko kanada akizurula, aje huku aone namna mh Rais wetu mpendwa anavyoing'arisha Tanzania Yetu, atakuja kupotea hata Arusha aliyo acha ameiharibu
 
Back
Top Bottom