Kagame ndiye Rais pendwa ukanda wa Afrika Mashariki

Jerlamarel

JF-Expert Member
Sep 14, 2021
843
2,517
Hiyo ni kwa mujibu wa Kenyans.co.ke walioweka swali kupitia ukurasa wao wa Twitter kwamba "Je, iwapo Afrika Mashariki ingeongozwa na mmoja wa marais wanne walio madarakani, nani angefaa?"

Mpaka sasa kura zilizopigwa ni 25,000 na matokeo ni kama yafuatayo:

1. Paul Kagame - 59%
2. Uhuru Kenyatta - 21%
3. Samia Suluhu - 12%
4. Yoweri Museveni - 7%

20220829_094741.jpg

IMG_20220829_101406.jpg
 
Ofocoz kati ya hao 4, angalau PK anaweza kuihandle EAC kisawasawa kama angekuwa Rais.
 
Hiyo ni kwa mujibu wa Kenyans.co.ke walioweka swali kupitia ukurasa wao wa Twitter kwamba "Je, iwapo Afrika Mashariki ingeongozwa na mmoja wa marais wanne walio madarakani, nani angefaa?"

Mpaka sasa kura zilizopigwa ni 25,000 na matokeo ni kama yafuatayo:

1. Paul Kagame - 59%
2. Uhuru Kenyatta - 21%
3. Samia Suluhu - 12%
4. Yoweri Museveni - 7%

View attachment 2338068

View attachment 2338073
Yaani mkilogwa mkimchagua rais mmoja EA basi huyo jamaa wa kofia kubwa ataingia msituni kumpindua! The super Greedy president M7
 
Yaani mkilogwa mkimchagua rais mmoja EA basi huyo jamaa wa kofia kubwa ataingia msituni kumpindua! The super Greedy president M7
😄😄 M7 alishasema Mara nyingi tu Kwamba ndoto yake kubwa kabisa Ni kua rais wa Kwanza wa East Africa federation.
 
Ofocoz kati ya hao 4, angalau PK anaweza kuihandle EAC kisawasawa kama angekuwa Rais.
Pamoja na uzee, Museveni angalau anaweza kufuatia baada ya Kagame. Not Kenyata.

Kagame kaipaisha Rwanda kimaendeleo. Angekuwa rais wa nchi yenye rasilimali kama Tanzania tungekuwa kwenye kiwango tofauti sana na tulipo.
 
Sisi Rais wetu Ni mh mama Samia suluhu Hassani na tunampenda na kumkubali Sana na tunaendelea kumuamini na kuhitaji utumishi wake
 
Back
Top Bottom