Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Bwana Abui, unachochea udini ndani CCM

mogesogwe

Member
Mar 17, 2017
65
29
Mwenyekiti CCM wilaya Shinyanga Mjini, Bwana Abui, unamchafua na unatumia jina la Mh. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano vibaya kwa maslahi ya nani? unaeneza siasa za udini kwamba Mwk wa CCM taifa anataka waisilam wachaguliwe kwa asilimia kubwa ili wampitishe 2025 kwa kura nginyi?

Je, Mh. Samia Suluhu Hassan anashindana na nani? Je, nikweli Mh. Samia Suluhu Hassan amekueleza kufanya siasa za imani kidini?

Bwana Abui kuwagawa watanzania ukidhani unaigawa CCM ni hatari. Mwanasiasa ni vizuri kurejea histiria hata kwa asilimia ndogo tu, kumbuka mgogoro wa nani achinje ulitokea kipindi cha Serikali ya awamu ya nne, uliona madhara yake?

Kiongozi mwenye kugawa anaowangoza kwa itikadi za imani ya dini yake hasitahili kuongoza Chama kinachosimamia serikali.
 
Haya ndugu yangu huwa yanaibuka kila wakati ambapo Rais ni Muislam.

Wenzetu wakristo huo ndio udhaifu wao mkubwa, kipindi cha JPM kama Waislam wangekuwa wanaongelea UDINI Nchi isingekalika.

UDINI NI SUMU KALI SANA KWA TAIFA.
 
Hii nchi ikiwa chini ya wavaa vibakuli kichwani,jahazi lazima liyumbe!
 
Back
Top Bottom