Namuona Lowassa akija kuwa Rais wa 7 wa Tanzania

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,069
3,705
Hapo vip!!
Binafsi nikiangalia huko na kule ndani ya CCM sioni kiongozi mwenye sifa ya kumzidi Lowassa mpaka sasa.

Ni wazi watanzania bado tuna kiu na Lowassa atawale nchi hii. Wengine watasema mara ooh ni mzee. Kama hoja yao ina ukweli mbona Marekani ambayo ni taifa lililoendelea duniani na linawasomi na watu wenye IQ kubwa duniani limewachagua wazee wakubwa kuliko hata Lowassa wakatawala taifa hilo?

Mfano Donald Trump na Joe Biden ni wazee kuliko hata Lowassa.

#Tunamuhitaji Lowassa#
 
Ni wazi watanzania bado tuna kiu na Lowassa atawale nchi hii.

Wengine watasema mara ooh,ni mzee,kama hoja yao ina ukweli mbona marekani ambayo ni taifa lililoendelea Dunia na linawasomi na watu wenye IQ kubwa Dunia limewachagua wazee wakubwa kuliko hata Lowassa wakatawala taifa hilo..mfano Donald Trump na Joen Bieden ni wazee kuliko hata Lowassa...
#Tunamuhitaji Lowassa#
Nabii wake bro TB Joshua alitabiri kuwa mzee wa mvi ni rais wa 5 Tanzania 😀

Sasa tupo na rais wa 6 je, Wewe ni nabii bora kuliko TB Joshua?

Kama atakuwa rais wa Monduli upo sahihi nabii wa michongo 😂
 
Hapo vip!!
Binafsi nikiangalia huko na kule ndani ya CCM sioni kiongozi mwenye sifa ya kumzidi Lowassa mpaka sasa.

Ni wazi watanzania bado tuna kiu na Lowassa atawale nchi hii.

Wengine watasema mara ooh,ni mzee,kama hoja yao ina ukweli mbona marekani ambayo ni taifa lililoendelea Dunia na linawasomi na watu wenye IQ kubwa Dunia limewachagua wazee wakubwa kuliko hata Lowassa wakatawala taifa hilo..mfano Donald Trump na Joen Bieden ni wazee kuliko hata Lowassa...
#Tunamuhitaji Lowassa#
Nina uhakika yey mwenyew ukimuuliza apewe afya kiwango cha ile afya yake ya 2015 au urais wa jamhur ya muungano wa Tanzania bila shaka atachagua afya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo vip!!
Binafsi nikiangalia huko na kule ndani ya CCM sioni kiongozi mwenye sifa ya kumzidi Lowassa mpaka sasa.

Ni wazi watanzania bado tuna kiu na Lowassa atawale nchi hii.

Wengine watasema mara ooh,ni mzee,kama hoja yao ina ukweli mbona marekani ambayo ni taifa lililoendelea Dunia na linawasomi na watu wenye IQ kubwa Dunia limewachagua wazee wakubwa kuliko hata Lowassa wakatawala taifa hilo..mfano Donald Trump na Joen Bieden ni wazee kuliko hata Lowassa...
#Tunamuhitaji Lowassa#
Kamponye basi

Halafu ndio uje na futuhi lako

Hata ukienda kumuamsha sasa hivi umuambie awe Rais atakutoa baru !
 
Toa hoja achakuja na maneno ya kimaskini na uswahili hapa

Lowassa hafai kuwa rais maana sio muadilifu, labda kama kigezo cha uadilifu sio muhimu. Isitoshe afya yake sio nzuri, na sio rahisi kurejea kwenye afya njema tena kutokana na umri wake.
 
Hapo vip!!
Binafsi nikiangalia huko na kule ndani ya CCM sioni kiongozi mwenye sifa ya kumzidi Lowassa mpaka sasa.

Ni wazi watanzania bado tuna kiu na Lowassa atawale nchi hii. Wengine watasema mara ooh ni mzee. Kama hoja yao ina ukweli mbona Marekani ambayo ni taifa lililoendelea duniani na linawasomi na watu wenye IQ kubwa duniani limewachagua wazee wakubwa kuliko hata Lowassa wakatawala taifa hilo?

Mfano Donald Trump na Joe Biden ni wazee kuliko hata Lowassa.

#Tunamuhitaji Lowassa#
Cha Arusha bila shaka
 
Hahahaahahahahahahahahahahahhaha........
Duh!!
 
Back
Top Bottom