Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,433
- 283,704
Mara zote huwa sihangaiki na masuala ya CCM, lakini linapokuja jambo la kuparurana, kulogana na kuuana huwa nafurahia
Pamoja na kushinda kinachoitwa kura za maoni huko Isman wazito wa CCM wanamkataa
Sababu ya kwanza Bwana Fred anaitwa "Mhuni" anayetajwa kuingia CCM ili kutafuta koneksheni tu, anadaiwa hujui hata ukurasa Mmoja wa katiba ya CCM, wanasema amekuja kujificha ili makandokando yake yalindwe
Sababu nyingine inasemwa kwamba kwa vile Kaka yake ni Mbunge wa Iringa Mjini haiwezekani yeye apewe Ismani, kwamba Majimbo ya Iringa yatakuwa ya ukoo, na kwamba linaweza kutokea jimbo lingine kuwa wazi wakamleta Dada yao agombee
Kwa Taarifa hii Tajiri Vunjabei ngoma bado mbichi, vikao vya juu vyaweza kumfyeka