Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimezikumbuka hizi kambi zilizowahi kutokea katika Tanzania na Kule Kenya. Kwa hapa Tanzania tunaelewa ni namna gani harakati za kupata madaraka zilivyoendeshwa na kambi ya Jakaya pamoja na...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua Kikao Kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, Makamanda wa Polisi wa Mikoa / Vikosi katika Shule ya...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Tuibe kwa staha, heshima, Nidhamu na tuibe kwa kujisitiri sisi na tuisitiri mamlaka, Baadae tutafanya toba na kusamehewa na wananchi na hii inaitwa" STOLEN CAPACITY". The maximum amount of loss...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Usipokuwa na malengo na maono ya mbali utaishia kujadili maisha ya wana ccm na wanasiasa mpaka uzee wako huku hakuna faida unayopata zaidi ya kutengeneza duara la umaskini Katika familia yaani...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
RAIS SAMIA ANAVYOIVUTIA KASI VIETNAM, KOREA KIMAENDELEO, Mhe Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila anasema, Ujenzi wa Chuo cha VETA Simiyu ni moja kati ya vyuo 25 anavyojenga Mhe Rais Samia...
8 Reactions
76 Replies
5K Views
Watu wengi wamekuwa wakichukua gharama zote za kutuma au kutoa fedha kwenye miamala ya simu kama ndio tozo. Ukweli ni kwamba makampuni ya simu yamekuwa yakitoza ada kubwa saana kwenye kutoa au...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT Watanzania ni watu wakulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli. Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI...
9 Reactions
125 Replies
7K Views
Ukienda Law School Tanzania kwenye vyuo kuna wanawake wengi wanafanya vizuri sana. Lakini hata ukienda kwenye kampuni nyingi kubwa kuna corporate lawyers wazuri sana wanawake. Kuna majaji wengi...
4 Reactions
10 Replies
984 Views
Nianze kwa kusema kwamba hatua alichukua waziri mkuu nikuwakumbusha kwamba fedha za umma hazichezewi kama watakavyo tayari rungu limemfikia aliyekuwa mkurugenzi Arusha JOHN PIMA Mrisho Gambo...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Wanabodi Shuhudia sensa live kupitia TBC, nimeshuhudia live, citizen No. 1, Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan akihesabiwa toka katika makazi yake rasmi ya kiserikali Ikulu ya Chamwino...
4 Reactions
77 Replies
4K Views
Habari! Nilileta Uzi hapa kuonesha matumizi mabaya ya serikali, au niite matumizi yasiyo na msingi. Semina ya sensa wiki tatu ilikuwa haina ulazima. Siku 3 tu zingetosha. Sasa ngoja nitoe mfano...
3 Reactions
7 Replies
803 Views
Nimejaribu kuangalia uchumi wa dunia na Tanzania nikaona yafuatayo; •Uchumi wa Dunia umeyumba kutokana na Corona na vita vya Ukraine. •Uchumi wa Tanzania ambao unategemea wahisani na mapato ya...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefanya ziara ya kikazi Nchini India kufuatia mwaliko wa Waziri wa Ulinzi wa India, Rajnath Singh. Hii ni ziara yake...
0 Reactions
1 Replies
765 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro ametupilia mbali ombi la upande wa utetezi walilolitoa Agusti 12, 2022 wakiomba mahakama hiyo iwaachie huru, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
President Jakaya Mrisho Kikwete chats with Cable News Network (CNN) 's Richard Quest and Maggie Lake when he visited CNN Studios at the Time Warner Cente in New York. CNN is an American basic...
8 Reactions
113 Replies
12K Views
Wakati kazi ya sensa ikitarajiwa kumalizika leo, baadhi ya viongozi wameendelea kueleza changamoto katika kufanikisha kazi hiyo. Changamoto hizo ni wizi wa vishikwambi, kukosekana mtandao kwenye...
1 Reactions
1 Replies
698 Views
Just Iam kidding Hivi kuna ubaya gani wabunge wakawa wa mfano kujipunguzia posho zao kwa siku kutoka kulipwa posho zaidi ya TZS 250,000 kwa siku wakalipwa TZS 25,000 kwa siku kuonyesha vita ya...
5 Reactions
10 Replies
845 Views
Wanabodi, Tumeshuhudia nguvu iliyotumiwa na serikali katika kuhakikisha kwamba kuna tozo kwenye miamala ya kielektroniki inayofanywa na wananchi. Hii inaweza ikawa njia ya serikali kutanua wigo...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Yawezekana Tundu Lissu ndio mgombea Urais maarufu kutoka chama kikuu cha upinzani barani Afrika aliyepata kura chache sana. Naangazia Angola mgombea wa upinzani kapata 43% na tume huru ya...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanabodi, Makala ya leo ni Swali Sensa za nyuma tulihesabiwa ki analogia na ilichukua siku 1 tuu, sasa tunahesabiana kidigitali inachukua siku 7! Could there be something wrong somewhere?! Leo ni...
21 Reactions
139 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…