Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, ameondoa katazo lililokuwa likizuia mabasi yaendayo mikoani kutoruhusiwa kupakia abiria au kushusha katika vituo binafsi na badala yake ameruhusu...
Mtanzania, umewahi kujiuliza kuwa, vioongozi wa serikali, wafanyakazi wote wa umma, v8, na magari yote wanayotumia viongozi, hospitali na madawa yake, majengo ya shule, vyuo na vifaa vyote, miundo...
Kama haumpendi mtu kwa nini kujibaraguza kuhudhuria mazishi yake kama akifariki tena wengine mpaka wanatoa hotuba kwenye mazishi lakini you don’t mean it, Rais wa Urusi Putin ameonyesha njia...
Salamu wakuu.
Ikumbukwe Rais ameshateua maRC, maRAS nchi nzima...Safu imekaa sawa sana. Kazi zinakimbia sana.
Wakati anawaapisha Mhe. Rais alisema tutegemee mkeka wa maDC wakati wowote kuanzia...
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema wizara yake iko mbioni kupeleka bungeni mswada wa bima ya afya kwa wote.
Mh. Ummy amesema wananchi wasiogope kwa sababu hatafungwa pingu wala kutozwa faini...
Wigo Wa Kodi Uongezwe Kuelekea Wapi?
Kwa miaka mingi tumekua tukiilalamikia serikali iongeze wigo wa kodi na isiangalie vyanzo vile vile vilivyo zoeleka kama vinywaji baridi, pombe, sigara na...
Tulihoji na kuulizana hapa mwamba yuko wapi mbona kimya kingi?
Leo mwamba ametesti mitambo!
Balaa tupu hadi Vigogo wa twitani wameibuka na kupiga mayowe.
Ama kweli siasa ni sayansi!
Mheshimiwa Waziri Simbachawene ameyasema hayo Leo wakati akijibu maswali yanayohusiana na malalamiko ya tozo akiwa sambamba na Waziri wa Fedha Mheshimiwa Mwigulu Nchemba
Simbachawene amesema watu...
Umekumbushwa tu kuwa huu ni mwaka wa tatu tangu uchaguliwe na fedha za mfuko wa jimbo unazila na hujui hatima ya waliokutuma Bungeni.
Ukumbuke 2025 sio mbali na CHADEMA tunakuangalia tu.
Ili liko wako wazi wala situmii nguvu sana kudadavua.
Nyumba nyingi kwenye miji na majiji hazina umeme wala maji hata kama huduma iyo imefika eneo hilo na ukiongea na mtu mmoja mmoja izo huduma...
Tarehe 5 ndiyo siku ya Ruling. Nakumbuka uchaguiz wa 2017 hukumu ilikuwa na page kama 500 hivi. sasa kuanzia kesho wata deliberate submissions za pande zote na kuandika hukumu ? Ku analyse...
Wanabodi,
Serikali inatumia jitihada kubwa sana kujenga vituo vya afya na kuhakikisha kwamba huduma hizi zinawafikia wananchi katika sehemu tofauti tofauti. Nakubali kwamba kuna umuhimu wa kuwa...
Utaratibu ni kwamba ukiwa mbunge na umepiga kura kuunga mkono muswada wowote unatakiwa kuwa wa kwanza kuutetea. Lakini kama umepiga kura kupinga unatakiwa kutoa sababu za msingi za kupinga
Sasa...
Nilikuwa nimeangalia data za Tanzania na kugundua tozo ni lazima, miradi ni ya lazima na umeme ni wa lazima. Tanzania tuna 70% ya vijana chini ya miaka 24, elimu ni bure kwa wanao chaguliwa, na...
Yote yalianzia jana Mbowe alipoongea kwenye eneo lisilojulikana lakini kilichonistaajabisha ni kwamba yule aliyeleta habari za Mbowe ndiyo yule yule ambaye huleta habari za Rais Samia na serikali...
Waziri wa Tamisemi amesema Tatizo siyo kulipa Tozo bali ni zile shida walizonazo Wananchi wanaoishi pembezoni
Tozo imekuwa mkombozi wa kupunguza gap ya kipato kati ya walionacho na wasionacho
Msemaji wa mambo ya afya wa ACT wazalendo mh Mndeme ameitaka Serikali iunganishe Mifuko ya Jamii yote na NHIF ili kumpa mwananchi uhakika wa Huduma tofauti na ilivyo sasa ambapo NHIF inasuasua...
Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Mehmet Gulluoglu amelipongeza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kwa kuimarisha ulinzi katika mpaka wake wa...