Waziri amesema wagonjwa wa saratani wanaopata tiba za mionzi kwa Bima ya NHIF mwaka 2015/16 zilikuwa Tsh. Bilioni 9 na hadi kufikia mwaka 2021/22 gharama za malipo zimefikia Tsh. Bilioni 22.5...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, baada ya kikao cha halmashauri ya Ubungo , wadau, LATRA na RC, hatimaye imekubaliwa kwamba mabasi ya abiria yanaweza kutumia vituo binafsi kushusha na...
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeipongeza kampuni ya Multichoice kupitia DStv kuamua kutangaza kwa Kiswahili Mashindano ya Kombe la Dunia yanayotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu nchini...
Inashangaza kusikia NHIF ikilalamika kuwa magonjwa yasiyo ya kuambukiza (NCDs) yameongezeka sana, gharama ya matibabu yake ni kubwa sana na yanafilisi mfuko. Na kwamba NHIF inakusudia kuacha...
Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio na malalamiko ya wananchi wake kuhusu vipengele kadhaa vinavyohusiana na tozo.
Mfano wa mapendekezo hayo ni uwepo wa makato...
Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa
Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu.
Kodi ya pembejeo za kilimo mara mbili
Nauli mabasi...
Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa amesema kuwa baadhi ya sekta muhimu nchini mfano ile ya afya isingeweza kupitia mabadiliko makubwa kama yaliyopo sasa kama tozo sizingekuwepo.
Ametolea...
HUU NDIO MJI WA TEKNOLOJIA, VIWANGO VYA GOOGLE NA AMAZON VINAKUJA ZANZIBAR
Zanzibar kuwa kitovu cha tekinolojia za mawasiluano na habari - TEHAMA ukanda wa Afrika ya Mashariki kwa kutumia mifumo...
Rais Samia Suluhu anaendelea kuwaaamini wanawake kwa kuwateua katika nafasi za uongozi, ili kuleta usawa wa jinsia katika kutoa uamuzi.
Kitendo cha kuongeza idadi ya wanawake katika uteuzi wa...
Kwamba hata mama aliye kijijini anakatawa tozo akitumiwa pesa na mwanae anayeishi mjini? Kwamba hata mwalimu wa shule anyefundisha kijijini kwenye mazingira magumu ya kijijini anakatwa kodi ya...
Katika kufungua mlango kwa mfano wa nyumba, unaweza aidha kutoa au kuingiza vinavyostahili na visivyostahili.
Mfano unapofungua mlango wanaweza kuingia wadudu kama vile nzi, mbu, panya na hata...
Baada ya jitihada na kazi kubwa ya serikali ya kufanya tathmini na kuanza hatua za kurudisha mali za serikali ikiwemo Hospital ya Dar Group kupitia hotuba ya bajeti ya fedha 2021/22 aliyoitoa...
CDE KINANA ATUA KIGOMA KWA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman Omari Kinana amewasili leo Alhamisi tarehe 01 Septemba, 2022...
Ni mda mwafaka sasa Mwigulu Nchemba aitwe Kamati ya Siasa ya Chama ahojiwe kuhusu ubunifu wake kukuza uchumi kwa tozo.
Wanaoumia ni wananchi lakini Mwigulu bila aibu na kejeli anakuja kusema...
JF team, SALAAM!
Nimeona hivi karibuni Serikali ikipitisha vitu vingi ambavyo ni mzigo kwa watanzania (matajiri kwa maskini). Nimejiuliza sana kwa hakika upitishaji wa vitu vya hovyo umeshamili...
Ni masikitiko makubwa sasa serikali inataka kutuongezea malipo ya kodi ya nyumba kama walivyokuwa wanafanya madalali wa nyumba.
Sasa serikali inataka kila mwaka iwe inakusanya mapato ya uonevu...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, ameondoa katazo lililokuwa likizuia mabasi yaendayo mikoani kutoruhusiwa kupakia abiria au kushusha katika vituo binafsi na badala yake ameruhusu...
Mtanzania, umewahi kujiuliza kuwa, vioongozi wa serikali, wafanyakazi wote wa umma, v8, na magari yote wanayotumia viongozi, hospitali na madawa yake, majengo ya shule, vyuo na vifaa vyote, miundo...
Kama haumpendi mtu kwa nini kujibaraguza kuhudhuria mazishi yake kama akifariki tena wengine mpaka wanatoa hotuba kwenye mazishi lakini you don’t mean it, Rais wa Urusi Putin ameonyesha njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.