Serikali inajikosesha mapato yenyewe kwenye huduma za maji na umeme.

Big Eagle

JF-Expert Member
May 3, 2020
592
625
Ili liko wako wazi wala situmii nguvu sana kudadavua.

Nyumba nyingi kwenye miji na majiji hazina umeme wala maji hata kama huduma iyo imefika eneo hilo na ukiongea na mtu mmoja mmoja izo huduma anazihitaji isipokua ile hela ya mkupuo inakua mtihani kwake.

Serikali inakwama wapi kumpelekea huyo mtu huduma halafu wakaingia makubaliano akawa analipa kidogo kidogo kama zifanyazo kampuni za sola?????
 
Huko ndio walishafeligi zamaaani,Bora wazigawe Kwa private sector,wamkabidhi hata Bakhressa waone TANESCO na hapo maji wanavyogeuka mabilionea wapya,ila baada ya kuajiri wafanyakazi wapya na kuwafurusha mandondocha wote wanao chafua mashirika haya hata kama ni Kwa kufukuza wote waliomo🤣🤣
 
Back
Top Bottom