Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati ule habari ya jiji ilikuwa ni kuzamia tu mamtoni ama kwa ufadhili wa washua au kuchukua meli iwe Dar au Beira. Ndio utawaona hata akina Le Mutuz walilowea Unyamwezini kuyasaka maisha na...
1 Reactions
4 Replies
583 Views
Uchaguzi halali wa viongozi ni jambo la kuheshimika dunia nzima. Na ndio maana haijalishi gharama za uchaguzi wa haki zitakuwa kiasi gani lakini utafanyika tuu. 2020 ulifanyika Uchaguzi Tanzania...
9 Reactions
37 Replies
2K Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema chanzo cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuyumba ni pamoja na kuwepo kwa matumizi yasiyo na tija kwa wagonjwa ikiwemo kurudia kufanya vipimo mara kwa...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Waziri Ummy Mwalimu wewe ni mchapakazi sana hivyo naomba nikutie moyo na nikushauri pia. Nimeona kwa masikitiko makubwa ukieleza mengi ambayo yamefanya mfuko kuwa na hali mbaya, mojawapo ni...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Siku zote tunasemaga kuwa Kenya imetuzidi sana kwenye mambo mengi. Hapa ni Rais wa nchi hiyo Mh. Uhuru Kenyatta akiranda mitaani jijini Mombasa. Sijawahi kuona hapa kwetu Ugiriki Rais akiwa huru...
10 Reactions
82 Replies
6K Views
Tuwe tu wakweli na tuachane na siasa nyepesi stendi binafsi za mabasi ya mikoani ya makampuni makubwa zitaendelea kuwepo. Hakuna abiria makini anayefurahia kugombaniwa kama mpira wa kona pale...
17 Reactions
102 Replies
5K Views
CCM YAPONGEZA JITIHADA ZA RAIS SAMIA KUIWEZESHA DIT KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama Cha Mapinduzi kimeridhishwa na hatua...
6 Reactions
40 Replies
3K Views
Ninasikitika sana kuwa na watu tunaowategemea kwa sababu ya usomi wao wangetusaidia kufikiri namna nzuri ya kukusanya kodi ya nyumba. Mimi naomba nitoe mapendekezo: Tafuteni wataalamu wa mifumo...
0 Reactions
2 Replies
521 Views
Nawasalimu sana wakuu, Nimemsikiliza Mwigulu kwa umakini sana juu ya kile alichokiita ufafanuzi wa serikali juu ya tozo. Kwanza amerudia kauli zilezile alizozoea kuzitoa lakini ukichunguza kwa...
13 Reactions
25 Replies
3K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amesema Serikali imejenga vituo vya afya 234 kutokana na fedha za tozo ya miamala ya simu ndani...
1 Reactions
49 Replies
3K Views
Barabara zinajengwa kwa kodi zetu na mikopo ambayo tunailipa, na pia kuna kodi ya barabara ambayo kwa sasa iko kwenye mafuta. Afya sio bure tunalipishwa, maji ni tunalipa, umeme tunalipa sasa ni...
9 Reactions
12 Replies
819 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua SACP Mzee Ramadhan Nyamka kuwa Mkuu wa Jeshi la Magereza SACP anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Meja Jenerali Suleiman Mungiya ambaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa...
10 Reactions
76 Replies
12K Views
Nimesikitishwa sana na kauli ya Mh. Mwigulu Nchemba, kwamba serikali inapaswa kupunguza viwango vya ufaulu vinavyoweza kuwapa fursa vijana wanaomaliza elimu ya kidato cha nne kujiunga na vyuo vya...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Huku kwetu kijijini mzazi ambae nimkulima akigundua watoto wake niwazuri kwenye kula ugali lazima aongeze ukubwa wa shamba analolima mahindi.Shamba lazima liwe kubwa kuendana namahitaji ya chakula...
0 Reactions
5 Replies
593 Views
SHAKA AMMWAGIA SIFA KINANA, ATAMBA KAZI ZA MAENDELEO KUUFUTA UPINZANI MBEYA Demokrasia ya vyama vingi nchini imekuwa na lengo la kuharakisha maendeleo kwa wananchi. Ikiwa chama kinachoongoza...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Nilimsikiliza Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, hapo jana Katika kile alichokiita ni kutoa ufafanuzi na kilio cha wananchi kuhusu tozo nyingi wanazokatwa kupitia miamala ya simu na sasa kupitia...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Chama Cha Mapinduzi kimesema licha ya Rais samia suluhu Hassan huzungumza polepole lakini vitendo vyake katika utekelezaji wa sera za maendeleo zimekuwa motomoto. Pia, serikali yake kwa muda...
5 Reactions
69 Replies
4K Views
Waziri amesema wagonjwa wa saratani wanaopata tiba za mionzi kwa Bima ya NHIF mwaka 2015/16 zilikuwa Tsh. Bilioni 9 na hadi kufikia mwaka 2021/22 gharama za malipo zimefikia Tsh. Bilioni 22.5...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, baada ya kikao cha halmashauri ya Ubungo , wadau, LATRA na RC, hatimaye imekubaliwa kwamba mabasi ya abiria yanaweza kutumia vituo binafsi kushusha na...
21 Reactions
43 Replies
3K Views
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeipongeza kampuni ya Multichoice kupitia DStv kuamua kutangaza kwa Kiswahili Mashindano ya Kombe la Dunia yanayotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu nchini...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom