Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,419
- 17,735
Yote yalianzia jana Mbowe alipoongea kwenye eneo lisilojulikana lakini kilichonistaajabisha ni kwamba yule aliyeleta habari za Mbowe ndiyo yule yule ambaye huleta habari za Rais Samia na serikali kwa ujumla. Je, hii imetokea tu? Nijuavyo mimi kwenye siasa na watu fake mambo hayatokei tu.