Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Salamu wakuu.
Ikumbukwe Rais ameshateua maRC, maRAS nchi nzima...Safu imekaa sawa sana. Kazi zinakimbia sana.
Wakati anawaapisha Mhe. Rais alisema tutegemee mkeka wa maDC wakati wowote kuanzia sasa.
Tukae chonjo.