Makamba, Aweso, Mwigulu, Nape, yule wa mambo ya ndani hawafai kabisaMdomo wa mwigulu hautakiwi kuzungumza! Badala yake angeutumia kwenye kula tu. Maana akizungumza tu, basi lazima ukutane na kejeli, dharau, majivuno, pumba, nk.
Sasa Mwigulu, kazi ya serekali ni nini? Kama mnawajua hao wanaotakiwa walipe, mna nyenzo za dola kuwafikia kwa nini hamfanyi hivyo? Kwa nini kunakosekana ubunifu wa kuwafikia na badala yake mnawakamua watu maskini na tozo kwenye mashahara ambao ameshalipa kodi?Kweli shibe ni kitu kizuri sana ila kikizidi inakuwa ni ulevi.
Ebu msikikizeni hapo akiwakoga wananchi wasiyo nacho.View attachment 2342078
Na hajawahi kuwa mbunifu na hatakuwa mbunifu zaidi ya hayo ya "binafsi anayosemwa" nayoJamaa anaonekana hana ubunifu wa namna ya kubaini na kukusanya kodi halali ndo maana anakuwa too defensive. Halafu hayuko tayari kuja na options za namna serikali inaweza kupunguza matumizi yake yakiwemo kununua magari ya kifahari ili kodi halali inayokusanywa iweze kutosheleza matumizi yale muhimu. Pia hizi tozo zimeleta addiction kwao sababu ni rahisi tu ku impose na kuzikusanya bila kuumiza kichwa kutokana na matumizi ya teknolojia ya kimtandao kwenye miamala ya pesa kuwa kwa kiwango cha juu na kusambaa nchi nzima.
kweli kabisa huyu mjivuni mshamba hakutakiwa apanue kinywa mbele za watuMdomo wa mwigulu hautakiwi kuzungumza! Badala yake angeutumia kwenye kula tu. Maana akizungumza tu, basi lazima ukutane na kejeli, dharau, majivuno, pumba, nk.
Hata kuja kuongea hapo ni kwa vile Mbowe kaongea jana ..... kuongea jana kwa Mbowe na jinsi zilivyosambaza kumewaogopesha sana.Kweli shibe ni kitu kizuri sana ila kikizidi inakuwa ni ulevi.
Ebu msikikizeni hapo akiwakoga wananchi wasiyo nacho.View attachment 2342078
Vipi hizi funua funua za Yu Tong 60??Kweli shibe ni kitu kizuri sana ila kikizidi inakuwa ni ulevi.
Ebu msikikizeni hapo akiwakoga wananchi wasiyo nacho.View attachment 2342078