Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 7,376
- 16,539
Ni mda mwafaka sasa Mwigulu Nchemba aitwe Kamati ya Siasa ya Chama ahojiwe kuhusu ubunifu wake kukuza uchumi kwa tozo.
Wanaoumia ni wananchi lakini Mwigulu bila aibu na kejeli anakuja kusema wananchi walipendekeza wenyewe tozo.
Hii tozo wananchi walipendekeza wapi ? Kodi zinakatwa kila sehemu sahivi tozo nazo kila sehemu, miamala wananchi wanaumia, benki wanaumia, vifurushi wanaumia, kama tozo inafanya maendeleo mbona mikopo awamu hii ya Mama mlichukua kwa mikupuo imefanya kazi gani?
Mwigulu alisema wasiotaka tozo ahamie Burundi, yeye anatakiwa ndo ahamie Burundi kwa kukosa uzalendo kwa wananchi na avue skafu ya bendera ya taifa shingoni hana uzalendo wowote.
Wafanyakazi walifurahi kupata nyogeza ya mishahara ila kusawazisha mnapiga tozo wote hata wasio na ajira rasmi.
Mama amtoe huyu waziri kama hamtoi wasije tena kuomba kura 2025.
View attachment 2342439