Wanawake msimuangushe Rais Samia Suluhu

Rashda Zunde

Senior Member
May 28, 2022
199
231
Rais Samia Suluhu anaendelea kuwaaamini wanawake kwa kuwateua katika nafasi za uongozi, ili kuleta usawa wa jinsia katika kutoa uamuzi.

Kitendo cha kuongeza idadi ya wanawake katika uteuzi wa wakuu wa mikoa na makatibu tawala, ni uthibitisho kuwa Rais anatoa fursa .

Ili kuendelea kuaminiwa na kupata nafasi za juu za uongozi waliopewa nafasi katika uteuzi wa Rais Samia Suluhu wanatakiwa kufanya kazi kwa bidii, maarifa na wasimuangushe mama kwani dunia inatambua mama yuko kazini hivyo wanapaswa kuungana naye katika kuleta maendeleo ya nchini.
 
Kwan watangulizi wake walikuwa hawateui wanawake?

Naona watu wa upande ule mnamtetea Sana madam president mwambie huku mtaani hali n mbaya Sana msiwaze uteuzi tu
 
Idadi imeongezeka na hii inawapa ari na nguvu wanawake kufanya kazi kwa bidii kwani hapo zamani walikuwa hawapewi nafasi na kama wakipewa sio nafasi kubwa wakiamini kwamba mwanamke hana uwezo wakufanya kazi kubwa, lakini sasa Rais Samia Suluhu ameua fikra hizo na sasa wanawake wanafanya kazi kubwa nzuri zinazoleta manufaa nchini.
 
walioandika katiba makamu awe Rais bila uchaguzi walikosea sana, ni maumivu tu hadi 2030 katiba itafumuliwa yote! samahani mi siamini katika uongozi wa mwanamke sorry guys!

mama kazi yake ni kulea watoto si kuongoza ofisi!
 
Ulisoma shule ya sekodari ya Kata ipi?
 
Twende kwenye 50/50 hawa ndio waliotuzaa hakuna Mtanzania ambae hakutoka kwa Mwanamke.

Ila kwenye Majeshi haswa JWTZ wawe twenty per you know wara meen...?
 
Rais Samia Suluhu anaendelea kuwaaamini wanawake kwa kuwateua katika nafasi za uongozi, ili kuleta usawa wa jinsia katika kutoa uamuzi.

Kitendo cha kuongeza idadi ya wanawake katika uteuzi wa wakuu wa mikoa na makatibu tawala, ni uthibitisho kuwa Rais anatoa fursa .

Ili kuendelea kuaminiwa na kupata nafasi za juu za uongozi waliopewa nafasi katika uteuzi wa Rais Samia Suluhu wanatakiwa kufanya kazi kwa bidii, maarifa na wasimuangushe mama kwani dunia inatambua mama yuko kazini hivyo wanapaswa kuungana naye katika kuleta maendeleo ya nchini.
Sifa za mwanamke ni hizi hapa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220730-074254.png
    Screenshot_20220730-074254.png
    164.3 KB · Views: 6
Rais Samia Suluhu anaendelea kuwaaamini wanawake kwa kuwateua katika nafasi za uongozi, ili kuleta usawa wa jinsia katika kutoa uamuzi.

Kitendo cha kuongeza idadi ya wanawake katika uteuzi wa wakuu wa mikoa na makatibu tawala, ni uthibitisho kuwa Rais anatoa fursa .

Ili kuendelea kuaminiwa na kupata nafasi za juu za uongozi waliopewa nafasi katika uteuzi wa Rais Samia Suluhu wanatakiwa kufanya kazi kwa bidii, maarifa na wasimuangushe mama kwani dunia inatambua mama yuko kazini hivyo wanapaswa kuungana naye katika kuleta maendeleo ya nchini.
Naunga mkono hoja
Ukibebwa, bebeka!.
Ukiaminiwa, jiaminishe!.
Ninaamini Wanawake Wanaweza!.
P
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom