Shaka Hamdu Shaka atamba CCM kuusambaratisha rasmi Upinzani mkoani Mbeya, asisitiza Kinana ni gwiji la Siasa za nje na ndani ya Tanzania

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
4,984
4,083
IMG-20220730-WA0187.jpg

IMG-20220729-WA0075.jpg
SHAKA AMMWAGIA SIFA KINANA, ATAMBA KAZI ZA MAENDELEO KUUFUTA UPINZANI MBEYA

Demokrasia ya vyama vingi nchini imekuwa na lengo la kuharakisha maendeleo kwa wananchi. Ikiwa chama kinachoongoza serikali kinaifanya kazi hiyo kwa weledi wananchi hawana haja ya kujaribu vyama vingine vya kisiasa vilivyopo. Hivyo kwa kazi kubwa na nzuri ya maendeleo inayofanywa mkoani Mbeya na serikali ya CCM inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan upinzani utafutika katika mkoa huo.

Hayo yamesemwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka alipokuwa akizungumza katika mkutano wa ndani wa viongozi na wanachama wa chama hicho Jijini Mbeya.

"Kwa kazi kubwa inayofanywa na serikali ya CCM chini ya Jemedari Samia Suluhu Hassan siuoni upinzani kuelekea 2024/2025. CCM tunaitekeleza Demokrasia ya kweli kwa vitendo kwa kuhakikisha maendeleo na ustawi wa wananchi yanapatikana. Niwatake wananchi kuendelea kuiamini CCM na serikali yake." Amesema Shaka

Shaka pia amemmwagia sifa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Omari Kinana na kusema amekuwa chaguo sahihi kwa nafasi hiyo hivyo kwa niaba ya wanaCCM kote nchini wanamshukuru Mwenyekiti wa chama hicho Ndg Samia Suluhu Hassan kwa kumpendekeza na kuchaguliwa kwa asilimia mia moja na mkutano mkuu wa Taifa.

"Komredi Kinana ni gwiji la siasa za ndani na nje, amekulia ndani ya TANU na CCM. Ni mwana majumui (panafricanist). Kwa vijana wenzangu mliyo madarakani na ambao mnatarajia kuingia, Tujifunze kutoka kwa Mzee Kinana, huyu ni chuo kikuu cha siasa kinachotembea, tunaimani naye kuwa atakuwa msaada mkubwa kwa chama chetu." Alieleza Shaka

Shaka yupo ziarani mkoani Mbeya alipokuwa ameambatana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ambapo wamehitimisha leo.
 
View attachment 2309350
View attachment 2309352SHAKA AMMWAGIA SIFA KINANA, ATAMBA KAZI ZA MAENDELEO KUUFUTA UPINZANI MBEYA

Jembe Shaka,
 
Wamekataa mikutano ya wapinzani ili kufanya kazi na siasa isubiri uchaguzi. Cha kushangaza wao wanafanya siasa.
 
Kiufupi ccm ikishaitanua barabara ya Mbeya-Tunduma japo kwa km 30 watakazoanza nazo hapo Mjini ni wazi Chadomo hawana cha maana cha kuwaambia Wana Mbeya..

Pili miaka ya hivi karibuni Mbeya imebadilika hasa Kwa mambo ya maendeleo kwenye Kila sekta,kikubwa hapo ni barabara na Kinana ni mlezi wa ccm Mkoa wa Mbeya bila shaka atasimamia mambo vizuri zaidi.
 
CCM ni viumbe dhaifu waso tumia akili kuyaishi maisha.Uibe kura kwenye chaguzi,uteke,kupiga,kutesa,kufunga,kuua/kupoteza wakinzani halafu unasimamisha gauni lako kujisifu umewamaliza?Kama haitoshi umewanunua(kuwalipa malipo haramu na kidogo kwa nguvu na vitisho vya kuwaua wao au famili na ndugu zao(blackmailing),ukataze mikutano ya hadhara na hata vikao kwa visingizio vilivyojaa ghilba kwa umma huku weye unaendelea bila kuumwa hata na mbu,ulinzi kama wote halafu uudanganye umma umeua upinzani?
Come on,"Shaka Zulu",hebu mkue!Mnawaogopa wakinzani wenu!Hakuna Mtanzania mjinga leo hii.Na ndiyo maana hamuishi kuwatajataja hasa CHADEMA.It gives you,CCMs,some fearful nightmares!Acheni uwanja huru myaone maajabu yenye mchanganyiko wa miujiza.😂😂😂😂
 
Hizi ndio siasa sasa. Zile siasa za kununua mamluki za Kasi-kasi na Bashiru zilikuwa zinatishia Sana uhai wa chama.

Chama kimepata watu nguli wanaojua siasa. Sio yule mkata viuno,mcheza mayenu aliyeanzisha darasa la upotoshaji.
 
View attachment 2309350
View attachment 2309352SHAKA AMMWAGIA SIFA KINANA, ATAMBA KAZI ZA MAENDELEO KUUFUTA UPINZANI MBEYA

Demokrasia ya vyama vingi nchini imekuwa na lengo la kuharakisha maendeleo kwa wananchi. Ikiwa chama kinachoongoza serikali kinaifanya kazi hiyo kwa weledi wananchi hawana haja ya kujaribu vyama vingine vya kisiasa vilivyopo. Hivyo kwa kazi kubwa na nzuri ya maendeleo inayofanywa mkoani Mbeya na serikali ya CCM inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan upinzani utafutika katika mkoa huo.

Hayo yamesemwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka alipokuwa akizungumza katika mkutano wa ndani wa viongozi na wanachama wa chama hicho Jijini Mbeya.

"Kwa kazi kubwa inayofanywa na serikali ya CCM chini ya Jemedari Samia Suluhu Hassan siuoni upinzani kuelekea 2024/2025. CCM tunaitekeleza Demokrasia ya kweli kwa vitendo kwa kuhakikisha maendeleo na ustawi wa wananchi yanapatikana. Niwatake wananchi kuendelea kuiamini CCM na serikali yake." Amesema Shaka

Shaka pia amemmwagia sifa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Omari Kinana na kusema amekuwa chaguo sahihi kwa nafasi hiyo hivyo kwa niaba ya wanaCCM kote nchini wanamshukuru Mwenyekiti wa chama hicho Ndg Samia Suluhu Hassan kwa kumpendekeza na kuchaguliwa kwa asilimia mia moja na mkutano mkuu wa Taifa.

"Komredi Kinana ni gwiji la siasa za ndani na nje, amekulia ndani ya TANU na CCM. Ni mwana majumui (panafricanist). Kwa vijana wenzangu mliyo madarakani na ambao mnatarajia kuingia, Tujifunze kutoka kwa Mzee Kinana, huyu ni chuo kikuu cha siasa kinachotembea, tunaimani naye kuwa atakuwa msaada mkubwa kwa chama chetu." Alieleza Shaka

Shaka yupo ziarani mkoani Mbeya alipokuwa ameambatana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ambapo wamehitimisha leo.
Hawa wajinga wa siasa wajue kuwa kazi yao sio kuufuta upinzani hapa nchini.
 
Kazi iendelee kufanyika, Mama yuko vizuri sana
 
Back
Top Bottom