Wataalamu wa kodi, kuna ugumu gani wa kukusanya kodi ya nyumba hadi mpangaji ndiyo alipe?

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,292
3,962
Ninasikitika sana kuwa na watu tunaowategemea kwa sababu ya usomi wao wangetusaidia kufikiri namna nzuri ya kukusanya kodi ya nyumba.

Mimi naomba nitoe mapendekezo:

Tafuteni wataalamu wa mifumo watengeneze database ya wamiliki wote wa nyumba. Wamiliki wote walazimishwe kusajili.

Wapangaji wote watafute nyumba kupitia website maalum.

Walipie pesa ya pango kupitia mfumo maalum unaodhibitiwa na TRA.

Makato yafanyike moja kwa moja.

Jitafakarini mmepewa dhamana na mamlaka muwe mnafikiri.
 
Back
Top Bottom