RC Makalla kama wamachinga Kariakoo umeshindwa kuwaondoa ndio utawaweza akina Shabiby, El Saedy na ABC pale Manzese?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,942
141,918
Tuwe tu wakweli na tuachane na siasa nyepesi stendi binafsi za mabasi ya mikoani ya makampuni makubwa zitaendelea kuwepo. Hakuna abiria makini anayefurahia kugombaniwa kama mpira wa kona pale Magufuli Bus Terminal.

Nadhani Makalla ajibidiishe na pale Kariakoo kwanza mbona Makonda na Isaya Mwita wa CHADEMA walilimudu Jiji hili jamani!
 
Mwisho wa siku Makala atang'olewa Dar mapema sn
 
ukiingia stendi ya JPM unalipia na bado ukitaka kwenda chooni ndani ya hiyo hiyo stendi unalipia tena

ukiingia stendi Alfajiri kama vile uko mnadani hakuna utaratibu mzuri wa kujua gari za eneo fulani utazipata eneo fulani lazima uanze kuuliza uliza …yaani vurugu kama mpo shimoni kariakoo na madalali wa viazi

sometime inanijia sauti ya Marehemu Bibi yangu tukiwa madogo sana K.koo miaka michache kabla ya uhuru alikuwa anakejeli anasema Mswahili ataweza wapi nyie kuongoza Nchi, enzi Nchi bado mbichi lakini huduma za Umeme na Maji na usafi kwa tuliokuwa maeneo ya K.koo zilikuwa bora kuliko miaka 60 baadae
 
Tuwe tu wakweli na tuachane na siasa nyepesi stendi binafsi za mabasi ya mikoani ya makampuni makubwa zitaendelea kuwepo. Hakuna abiria makini anayefurahia kugombaniwa kama mpira wa kona pale Magufuli Bus Terminal.

Nadhani Makalla ajibidiishe na pale Kariakoo kwanza mbona Makonda na Isaya Mwita wa CHADEMA walilimudu Jiji hili jamani!
Kwanza chanzo Cha tatizo ni Waziri, pia hii huduma ya kuchukulia watu kwenye ofisi za Makampuni Zina ustaarabu WA Hali ya juu!! Stendi ni sehemu ambayo Mkusanyiko WA abiria hufanyika kama imekuwa ngumu kupata sehemu nyingineko!! Iweje serekali itese wananchi Kwa kufanya stendi chanzo Cha Mapato!?
 
bado siamini ikiwa Ras Samia alimteua Makala kuwa mkuu wa mkoa kwa kupenda yeye mwenyewe. Ninaamini kuna watu waliinfluence uteuzi wa makalla. Makalla is a big failure katika uongozi nchi hii. Hakuna la maana alilofanya hata alipokuwa mbeya na katavi zaidi ya kuwa na vibaraka ktk halamashauri za wilaya wanaosimama kumsifia tu
 
bado siamini ikiwa Ras Samia alimyeua Makala kuwa mkuu wa mkoa kwa kupenda yeye mwenyewe. Ninaamini kuna watu waliinfluence uteuzi wa makalla. Makalla is a big failure katika uongozi nchi hii. Hakuna la maana alilofanya hata alipokuwa mbeya na katavi zaidi ya kuwa na vibaraka ktk halamashauri za wilaya wanaosimama kumsifia tu
Makala analinda maslahi ya JK hapo town
 
Back
Top Bottom