UTEUZI: Ramadhan Mzee, Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua SACP Mzee Ramadhan Nyamka kuwa Mkuu wa Jeshi la Magereza

SACP anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Meja Jenerali Suleiman Mungiya ambaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara

Kabla ya uteuzi huo SACP Ramadhan alikuwa Kaimu Mkuu wa Jeshi hilo, na uteuzi wake umeanza Agosti 24,2022.

IMG_1106.jpg
 
View attachment 2335029
A way heading to maridhiano
 
BABA YAKE ALIWAHI KUWA MKUU wa Magereza Nchini kweli Maji hufuata mkondo
 
Ramadhani Nyamka alikuwa ni Mwenyekiti wa Ccm mkoa wa Dar wakati chama kimeshika hatamu.

Ni baba yake na DJ Rankin Ramadhani, ni kweli pia kulikuwa na mnene Magereza ndugu na Nyamka huyu Ramadhani.

Nyumbani Kwa Ramadhani Nyamka ni Sinza ukipita Vatican maeneo ambayo TLP walimnunulia nyumba Mrema.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua SACP Mzee Ramadhan Nyamka kuwa Mkuu wa Jeshi la Magereza

SACP anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Meja Jenerali Suleiman Mungiya ambaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara

Kabla ya uteuzi huo SACP Ramadhan alikuwa Kaimu Mkuu wa Jeshi hilo, na uteuzi wake umeanza Agosti 24,2022.

View attachment 2335029
Huyu ni mtoto wa kada maarufu wa CCM ambaye aliwahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam .Huyu ni kaka wa marehem Rankee Ramadhan ingawa kwa mama tofauti.Zama za wenye chama kulamba asali.Kama hulambi na kulambishwa jua wewe siyo twenzao.
 
Ramadhani Nyamka alikuwa ni Mwenyekiti wa Ccm mkoa wa Dar wakati chama kimeshika hatamu.

Ni baba take na DJ Rankin Ramadhani, ni kweli pia kulikuwa na mnene Magereza ndugu na Nyamka huyu Ramadhani.

Nyumbani Kwa Ramadhani Nyamka ni Sinza ukipita Vatican maeneo ambayo TLP walimnunulia nyumba Mrema.
Mkuu umesema kweli,Rankim Ramadhan nafahamu mama yake na Mzee Ramadhan Nyamka alimpata kwa mpango wa kambo.Hawa ni wazaramo halisi
 
Back
Top Bottom