Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wote tunakumbuka bajeti ya serikali iliyowasilishwa kwa mwaka 2022/23 ni TZS Trilioni 41.48 ikiwa ni ongezeko la 9.2% ukilinganisha na mwaka jana. Sehemu kubwa ya bajeti hii inategemea fedha za...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Mtendaji mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Dr Kijazi amesema mvua za Vuli zitakuwa chini ya wastani na zitaanza kunyesha wiki ya nne ya mwezi huh Wakulima wanashauriwa kulima mazao yanayostahimili...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni jambo la kushangaza sana eti tozo tulizobakiziwa ni kwa sababu ya ujenzi wa miradi ya kimkakati! Kwamba miradi hii inayokaridiriwa kugharimu zaidi ya trilion 30 yote inapaswa kukamilishwa kwa...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Mahakama ya Wilaya Kyela Mkoani Mbeya, Septemba 1, 2022 ilitoa hukumu ya mashauri mawili. Kwanza ni Shauri ya Jinai Na.91/2021 (R v Never Black Mwakalinga na Holdin Jaji), ambapo mshtakiwa wa...
0 Reactions
1 Replies
701 Views
Wanabodi za jioni!poleni kwa changamoto za Corona,sukari na kukosa matumaini ya nchi yetu!!! CCM mngetengeneza demokrasia yetu!!kuliko kutumia polisi na rasilimali nyingi kuua upinzani nchini!Hao...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Unaambiwa hapo ndani kuna pump iliyogharimu Tsh. mil. 12,000,000 ya kisasa ambayo umeme ukikatika inatunza charge, pia unaweza kuiwasha hata kwa simu.
1 Reactions
3 Replies
982 Views
"...kuna sekta mfano haijaguswa kabisa ambayo ni ya mifugo unakuta mfugaji ana ng'ombe zaidi ya elfu 15 je huyo naye tumjengee josho la mifugo wake bure?! Mimi natoka kwenye familia ya kifugaji...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nisiende mbali Sana, nichukue mfano wa Mwaka huu kuanzia January Hadi August. Kuna Jambo jipya naliona na naomba kujulishwa kama kuna mwongozo mpya juu ya ziara za Mheshimiwa Rais. Katika ziara...
0 Reactions
1 Replies
952 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi (Kizimkazi Day) leo tarehe 03 Septemba, 2022.
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Tulimsikia Rais wetu, Samia Suluhu Hassan, katika hotuba yake ya majuzi, huko Katika Chuo cha Polisi Moshi, akieleza kuwa baadhi ya maofisa wa Polisi, wanaiba mafuta ya petrol/diesel...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Ieleweke kuwa kuna mlipuko wa uanzishwaji wa Hospitali binafsi almaarufu Polyclinics na Specislized clinics hapa nchini ambazo kwa maoni yangu nyingi zimejibatiza majina tu. Nyingi ya clinic...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Soma mwenyewe hapa. Lumumba kwa kuwa hamjui kiingereza mtafuatilia komenti ili kujua kilichoandikwa.
3 Reactions
11 Replies
986 Views
Kesi 1,840 zafutwa kwa kukosa ushahidi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali(IGP) Camilius Wambura, amesema kesi 1,844 ambazo zimekosa ushahidi wa kutosha kupelekwa mahakamani...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Sawa jamaa wana uchumi mkubwa mno mno na hatuwezi jilinganisha nao lakini, basi hata ya njia 2 tu kutoka Dar hadi Morogoro hatuwezi? Ila angalia tunavyo weza kuagiza V8 kila mwaka za billion...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Wanabodi, Kwanza kabisa napenda kutoa pongezi kwa jitihada zote za Rais Samia kukemea vitendo vyote vinavyo chochea uonevu wa kisiasa na vilevile jitihada zake kukemea vitendo vyote vya kihalifu...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Dada na Rais wangu kipenzi Samia hivi ni kweli umeamua kumpa ushindi wa chee mwendazake kwenye sekta ya nishati? Kwa nini lakini iwe mapema namna hiyo?! Kwamba unataka tukubaliane na mwendazake...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Waziri Ummy hili la Bima ya Afya Umeniangusha sana, hapa nilipo nina masikitiko makubwa sana ya maelezo unayoyatoa na kinachoendelea.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Ni wazi kabisa tumeanza...
2 Reactions
13 Replies
767 Views
Kwa masikitiko makubwa Tena Kwa huzuni kubwa Mzee Yasin Lema mkazi wa Hai Kilimanjaro na ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Kilimanjaro ameandaliwa/amejiandaa kuharibu majina ya...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Mungu nakuomba uniongoze niandike kinachoeleweka Tanzania sasa inapitia wakati mzito na mgumu sana kama Taifa. Wananchi wamepoteza matumaini lakini kinachowazuia kufanya maamuzi ni hofu ya kuuawa...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Jana Waziri wa Fedha kasema tozo waliziomba raia wenyewe, sasa kama hadi sasa raia wako kimya maana yake yes, tulizomba tozo hivyo tufunge midomo yetu. Hivyo sasa ni wakati wa kulipa, kuendelea...
0 Reactions
6 Replies
557 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…