Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hoja zenye nguvu kwa taifa (Mkuu wa wilaya ya kigoma). Pia ameshauri kufanyika kwa mabadiliko ya sheria kwa watumishi wa serikali kwa kupewa mikataba ya muda ya ajira ili waache kufanya kazi kwa...
14 Reactions
38 Replies
3K Views
WAZIRI BASHUNGWA AMEZIAGIZA HALMASHAURI KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA DINI ZINATOTOA HUDUMA ZA AFYA NCHINI. OR TAMISEMI - Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
0 Reactions
0 Replies
577 Views
Kamanda wa polisi mkoa Kigoma Filemon Makungu (wa pili kushoto) akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusiana na kuuawa kwa watu wawili na wengine sita kujeruhiwa na wafugaji katika kijiji cha...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali nchini Rwanda ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya...
0 Reactions
1 Replies
816 Views
Ndugu zangu huo ndio ukweli japo ukweli mchungu kwa wasiotaka kuamini ukweli huo, ukiangalia muundo wa chama hiki, ukiangalia, Sera na ajenda za chama hiki, ukiangalia mpokezano wa uongozi ndani...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Chadema wamesimama imara na misimamao Yao imewafanya waitwe ikulu Kwa heshima na siyo kwenda tu: lakini pamoja na nguvu waliyonayo kwanini wanavifanya vyama vingine kama siyo wapinzani? Akina...
22 Reactions
139 Replies
9K Views
Hayo ameyasema wakati wa kikao cha ndani cha siasa kilichohudhuriwa na makamu mwenyekiti wa CCM bara bwana Kinana. === “Mkoa huu hauendelei kwa sababu nyingi, ila sababu kubwa ni hata ninyi...
31 Reactions
189 Replies
13K Views
Kinana ashauri wakulima waachwe wauze popote wanapopata bei nzuri Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania bara Ndugu Abdulrahman Kinana ametoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya wakulima pale...
21 Reactions
70 Replies
4K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amelakiwa na viongozi wa Chama na Serikali Mkoa wa Mwanza baada ya kuwasili mkoani hapa akitokea Mkoa wa Geita kwa...
1 Reactions
4 Replies
819 Views
Makamu mwenyekiti wa CCM amemaliza ziara ya mkoa wa Geita na kuanza ziara ya mkoa wa Mwanza Akiwa mpakani mwa mikoa hiyo miwili Komredi Kinana amekagua Daraja la JPM na kuridhishwa na hatua za...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Waziri Masauni amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani
2 Reactions
23 Replies
3K Views
RAIS wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Hussein Mwinyi, leo Septemba 05, amezungumza na wanahabari kuhusiana na masuala mbalimbali ikiwemo Ripoti ya CAG ya Mwaka 2021. RAIS...
1 Reactions
0 Replies
911 Views
Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali mstaafu Abdulrhaman Kinana amemshauri Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigella kuangalia namna nzuri ya kuupanga Mji wa Geita uwe...
0 Reactions
1 Replies
512 Views
Abiria wa kutoka mikoani na ambao walizoea mabasi wanayopanda kuwashusha karibu na makwao kama Mbagala, Kigamboni na Chanika wamefanya mgomo wa kushukia kwenye kituo hicho kikuu cha mabasi, kwa...
99 Reactions
271 Replies
22K Views
Wanasiasa hata hapa Tanzania hupendelea kufanya siasa makanisani hasa pale wanapotambulishwa na kualikwa kusalimia waumini. Kule nchi jirani pia utaratibu huu ndio umehalalishwa kabisa. Yohana...
2 Reactions
8 Replies
691 Views
Nafahamu kwamba Zanzibar haiwezi kujitenga na nchi nyingine Duniani, wala haiwezi kukataa mabadiliko ya maendeleo Duniani, lakini lazima kuwe na mipaka kulingana na utamaduni wa Visiwa hivyo...
13 Reactions
161 Replies
13K Views
Mh. Rais wetu tokea juzi yupo kwao Kizimkazi, kanishangaza badala ya kufikia nyumbani kwake au kwao yeye kafikia hotelini! Anatoka hotelini na msafara anaenda kwao. Je, kwao hajajenga nyumba ya...
21 Reactions
138 Replies
14K Views
Tanzania kama nchi haiwezi kuweka mipango kwa kutegemea kodi, tozo za nchi nyingine kama msaada wakati sisi wenyewe hatujiendelezi na nchi haina uzalishaji. Serikali inajaribu kuwekeza kwenye...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ikumbukwe kuwa Hayati John Pombe Magufuli alikaa na mwekezaji maarufu bwana Bakheresa na kumwambia kwamba "nataka nikupe shamba ulime miwa hapa na kiwanda ujenge utuzalushie sukari hapahapa."...
28 Reactions
58 Replies
4K Views
Kinana aishukuru serikali ya China kufanikisha ujenzi wa VETA Kagera Na mwandishi wetu, Kagera Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom