Kagera: Kinana aishukuru serikali ya Uchina na Rais Samia kwa kujenga Chuo kikubwa cha VETA Ukanda mzima wa Magharibi kwa Tsh. 22.3b.

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
4,602
3,530
IMG-20220903-WA0113.jpg

Kinana aishukuru serikali ya China kufanikisha ujenzi wa VETA Kagera

Na mwandishi wetu, Kagera

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ameishukuru serikali ya China kwa kufanikisha ujenzi wa Chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) mkoani Kagera.

Mradi huo umegharimu Sh.bilioni 22 bila kodi ya ongezeko la thamani(VAT) ikijumuisha shughuli za ujenzi , usimamizi na uwekaji wa vifaa vya kujifunzia, mashine na samani.

Akizungumza leo Septemba 2, 2022 baada ya kukagua Chuo hicho cha VETA Mkoa wa Kagera, Kinana amesema anatoa shukrani kwa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China kwa kufanikisha ujenzi huo itasaidia Watanzania wengi kuelimika.

Aidha amewapongeza wananchi wa Bulugo kwa kutoa ardhi na ni matumaini yake kwamba nao watakuwa sehemu ya wanafunzi watakaosoma hapo.

“Nataka nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kwa kazi nzuri inayofanya chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan , katika sekta zote, ninyi ni mashahidi tangu Rais ameingia madarakani shule nyingi zimejengwa, vyuo vingi vimejengwa na walimu wameajiriwa na wanafunzi wameongezeka," alisema Kinana.

Aliongeza kuwa “nina hakika watanzania wengi wataelimika kwa hiyo nampongeza Rais kwa kazi nzuri anayofanya. Nichukue nafasi hii kuwashukuru wananchi wa Jamhuri ya Watu wa China, niishukuru Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China, niseme bila kusita tunao marafiki wengi.

Katika hatua nyingine Kinana amekutana na kuzungumza na wanachama wa CCM Mkoa wa Kagera na kuwakumbusha viongozi kuwajibika kwa kuwatumikia wananchi na kusikiliza changamoto zao na kuzipatia ufumbuzi.

Aidha, ametumia nafasi hiyo kutoa maelekezo kwa viongozi wa mkoa huo kuhakikisha wanatatua changamoto za wananchi ikiwemo ya uuzaji wa kahawa baada ya kupokea malalamiko ya wakulima wa zao hilo kusumbuliwa na baadhi ya viongozi.

Kinana ameshauri wakulima wa zao la kahawa waachwe wauze kahawa yao kokote wanakotaka ilimradi bei iwe nzuri.
 
TaiPei

JF-Expert Member
Aug 4, 2022
293
160
View attachment 2344571

Wahaya matambo Sana side😂😂😂
 
Tajiri la Bitcoin

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
1,007
542
View attachment 2344571
View attachment 2345013

Bonge la VETA, wahaya tunamwelewa Sana Rais Samia sio yule wa kutusimanga tu mara UKIMWI, Mara Tetemeko
 
issenye

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
3,744
5,174
Kama kazi ni hizi "TOZO ZIENDELEE "
Wanaopinga tozo wanatafuta umaarufu Kwenye siasa
Kwahiyo tozo tutatwe sisi lakini shukrani ziende kwa china na Samia, hivi nyie vijana wa uvccm huwa mnashirikisha akili zenu kabla
 
World light

Senior Member
Aug 4, 2022
126
105
View attachment 2344571
View attachment 2345013
Kinana aishukuru serikali ya China kufanikisha ujenzi wa VETA Kagera

Na mwandishi wetu, Kagera

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ameishukuru serikali ya China kwa kufanikisha ujenzi wa Chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) mkoani Kagera.

Mradi huo umegharimu Sh.bilioni 22 bila kodi ya ongezeko la thamani(VAT) ikijumuisha shughuli za ujenzi , usimamizi na uwekaji wa vifaa vya kujifunzia, mashine na samani.

Akizungumza leo Septemba 2, 2022 baada ya kukagua Chuo hicho cha VETA Mkoa wa Kagera, Kinana amesema anatoa shukrani kwa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China kwa kufanikisha ujenzi huo itasaidia Watanzania wengi kuelimika.

Aidha amewapongeza wananchi wa Bulugo kwa kutoa ardhi na ni matumaini yake kwamba nao watakuwa sehemu ya wanafunzi watakaosoma hapo.

“Nataka nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kwa kazi nzuri inayofanya chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan , katika sekta zote, ninyi ni mashahidi tangu Rais ameingia madarakani shule nyingi zimejengwa, vyuo vingi vimejengwa na walimu wameajiriwa na wanafunzi wameongezeka," alisema Kinana.

Aliongeza kuwa “nina hakika watanzania wengi wataelimika kwa hiyo nampongeza Rais kwa kazi nzuri anayofanya. Nichukue nafasi hii kuwashukuru wananchi wa Jamhuri ya Watu wa China, niishukuru Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China, niseme bila kusita tunao marafiki wengi.

Katika hatua nyingine Kinana amekutana na kuzungumza na wanachama wa CCM Mkoa wa Kagera na kuwakumbusha viongozi kuwajibika kwa kuwatumikia wananchi na kusikiliza changamoto zao na kuzipatia ufumbuzi.

Aidha, ametumia nafasi hiyo kutoa maelekezo kwa viongozi wa mkoa huo kuhakikisha wanatatua changamoto za wananchi ikiwemo ya uuzaji wa kahawa baada ya kupokea malalamiko ya wakulima wa zao hilo kusumbuliwa na baadhi ya viongozi.

Kinana ameshauri wakulima wa zao la kahawa waachwe wauze kahawa yao kokote wanakotaka ilimradi bei iwe nzuri.
Hii combination ya Mzee Kinana VS shaka CHADEMA hakuna rangi wataacha kuiona,
 
Vugu-Vugu

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
1,025
1,154

Viva CCM Viva,tunataka haya tuu toka kwa serikali ya CCM
 
Jesusie

JF-Expert Member
Aug 29, 2021
1,314
670

ila tukiacha ushabiki maandazi Rais Samia anafanya kazi kubwa Sana
 
8 Reactions
Reply
Top Bottom