Hii kampuni haifai hata kidogo kuwekeza kwenye ardhi ya Zanzibar

aleesha

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
776
1,121
Nafahamu kwamba Zanzibar haiwezi kujitenga na nchi nyingine Duniani, wala haiwezi kukataa mabadiliko ya maendeleo Duniani, lakini lazima kuwe na mipaka kulingana na utamaduni wa Visiwa hivyo.

Zanzibar iliingia kwenye sekta ya utalii kwa masilahi ya kukuza uchumi wake na sio vinginevyo.

Ingawaje wapo ambao badala ya kutumikia ipasavyo kwenye nafasi walizopewa wanakwenda Mrama na kusababisha dhumuni na malengo kutokufikiwa.

Katika sekta hii ya utalii na uwezekaji kuna kila sababu ya kufanya uchambuzi yakinifu kwa wageni wanaotaka kuwekeza.

Kwa mfano kuna kampuni moja ambayo umenunua maeneo mengi na makubwa ukanda huu kusini Paje na Jambini.

Mahotel yao yana jina linaloanzia na herufi P jina ambalo ni la aina ya kiungo tunachotumia kwenye chakula kama kuongeza ladha na kinawasha.

Sitaki kusema jina kamili maana watu hawa huwa na wanasheria wao tena wazawa wenyeji, hawa huwakingia Vifua na ukajikuta huna mtetezi.

Hii kampuni haifai hata kidogo kuwekeza kwenye ardhi ya Zanzibar. Hawa ni waumini wa mapenzi ya jinsia moja na hata wageni wao ni wale matajiri wakubwa Duniani wanaokuja kustarehe na wapenzi wao.

Kama ni Mwanamke atakuja na mpenzi wake wa kike, kama ni Mwanaume atakuja na mpenzi wake wa kiume.

Vitendo vyao vinatisha haswa pale ninapoangalia mila na desturi zetu.

Ni kweli kwamba tunao hapa nchini wanaume WAPUMBAVU. . Nimetumia neno WAPUMBAVU kwasababu ndio linalotumika kama Tafsida visiwani. Kumaanisha Wanaume wanao jihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Hawa wageni WAPUMBAVU Sasa hivi wamevuka mipaka maana Sasa Wana Pati au sherehe ambayo hufanyika kwenye Hotel zao zote.

Sherehe hizo ni za wapenzi wapya! Lakini hata wale ambao wana sherehekea kudumu kwa Muda mrefu kwenye mahusiano yao.

Unajua mwanzo nilidhania labda sherehe hizo zinajumuisha wao kwa wao tu, yaani wageni.

Jambo la kusikitisha ni kwamba hata vijana wetu wadogo kabisa nao wanajumuika. 😢

Tulichunguze jambo hili 👇

Ajira kwenye kampuni hiyo imetoa kipaumbele kwa vijana wetu WAPUMBAVU. Kampuni hiyo ndio kimbilio lao maana wanasema hawapati ajira sehemu nyingine kirahisi.

Sio kwamba kila kijana wetu afanyaye kazi hapo anakuwa wa mrengo huo HAPANA.

Wapo wenye heshima zao na hata wanaokerwa na uhamasishaji wa Vitendo vya kishetani.

Nataka kusema kwamba kasi ya ununuaji wa maeneo ya kampuni hii, inatisha. Alafu wao sio kununua tu hata kukodi.

tatizo kubwa tulilonalo sisi Waafrika ni kutokuwa na umoja, ni vigumu Sana ku chukuliwa hatua hizo haswa pale tatizo linaporipotiwa na mtu anbaye huna fedha wala kujulikana popote.

Kwanza wanasheria wao ni wazawa utapata shida Sana.

Nakumbuka tukio la Mwanamke wa Kizanzibar kuvuliwa nguo yake ya ndani. . Na Mkuu wa kitengo ambaye ni mgeni.

Mwanamke huyu alikuwa ni msafisha vyumba Hotel ya The Residence. Kisa cha kuvuliwa nguo yake ya ndani eti kuna mgeni aliche check out siku mbili nyuma na alipofika kwao akawa haioni nguo yake ya ndani.

Jambo la aibu Sana, nguo ya ndani ya Mwanamke huyo alipovuliwa ikapelekwa Reception ikapigwa picha ikatumwa kwenye mtandao ili mgeni aione kwamba je hiyo ndio nguo yake?

Mgeni akajibu kwamba sio yake.

TAMWA Zanzibar ilipopata taarifa tukaja kuchukuliwa kwenda kupigania haki ya Mwanamke mwenzetu.

Yule Bosi alipoona vile akakimbia, uongozi ukamtumia Mwanasheria wao mzawa anbaye alikuwa kwenye chombo cha kutunga sheria.

Ujinga mkubwa alioufanya Mwanamke mwenzetu huyo pamoja na TAMWA kusimama kidete akarubuniwa na uongozi pamoja na Mwanasheria mzawa akapewa Milioni Tatu akamaliza kesi tena akakimbia Zanzibar akaenda Tanga kesi ikaisha.

Nitaendelea baadae Ahsante
 
WAGENI NA UMILIKI ARDHI ZANZIBAR (2)

Kwanza kabisa Zanzibar ni Nchi yenye mihimili yake iliyojengwa na sheria pamoja na Kanuni zake.

Ninapoguswa na suala la umilikishwaji wa ardhi kwa wageni kiholela siangalii ardhi tu bali pia ninaangalia mila, Utamaduni pamoja na Historia yake.

Kwangu mimi visiwa vya Zanzibar ni MAKTABA, tena Maktaba ya Dunia.

Sasa nataka watu waelewe kwanini nimeoanisha masuala hayo na umiliki wa ardhi kwa wageni?

Twende pamoja 👇

Naomba niwachukue moja kwa moja mpaka Madagascar, nchi ambayo ni kisiwa. Madagascar wameweza kulinda maeneo ya asili bila kuingiliwa na wageni, makaazi ya wenyeji ni marufuku mwekezaji au mgeni kufanya ujenzi wa aina yoyote! Isipokuwa miradi yenye tija kwa Wenyeji mfano Shule na Hospitali.

Sasa turudi Nyumbani Zanzibar 😢 ni masikitiko makubwa sana kuona kwenye makaazi ya wenyeji kumejengwa Hoteli, Mikahawa na pia Nyumba za Ulevi Bar.

Je wakati Zanzibar inaingia kwenye uchumi wa utalii Baada ya kuona Karafuu haifanyi vyema kwenye soko la Dunia, hakukuwa na sera za maeneo ya uwekezaji katika sekta ya utalii?

Ni jambo la kusikitisha kuona maeneo yenye shughuli za kitalii kama vile Kiwengwa, Paje, Jambiani Ile ladha na asili ya vijiji vya Zanzibar haipo tena.

Cha kushangaza hata maeneo ya wazi pia yameuzwa! Achilia mbali wananchi kuuza Nyumba zao, lakini mbona Sasa katikati mwa makaazi ya wananchi wageni wameuziwa viwanja? Ni sera ipi ya mipango ya ujenzi imetumika?

Miaka ya Nyuma ungeweza kufurahia unapoingia kwenye viambo vya wenyeji, utaweza kuona mabusati yametandikwa nje maulid yanasomwa, Mwani umeanikwa, wakina Mama wameketi vibarazani wakipakasa Kili zao na wengine wakifuma Kofia za Kiua.

Lakini Sasa ni maeneo machache mno!maana hakuna nafasi . Huwezi kuanika Mwani wako nje maana Mgeni atapita na Mbwa wake Kimo Cha Ndama, ama aukanyage ama aunuse.

Sikatai wageni, lakini kwanini turuhusu makaazi ya wenyeji yaharibiwe? maghorofa ya nini?

Ndugu zangu makaazi ya wananchi na mwonekano wa Nyumba zao ni kivutio kikubwa! tumepoteza ladha ya asili ya makaazi yetu.

Sielewi ni nani anaye ruhusu ujenzi wa namna hii maana Kuna taasisi zinazohusika na kabla ya ujenzi ni lazima ukaguzi wa eneo ufanyike.

Kuna siri gani hapo?

Kwa mfano nilimuuliza kiongozi mmoja wa Kijiji (Sheha ) kama ifuatavyo.

MIMI : Sheha Kumbe maeneo ya Maweni yanaruhusiwa wageni kuuziwa?

SHEHA : Huko serikali hairuhusu ila wananchi tu wanauza maeneo yao.

MIMI : Kama ni hivyo, kwanini unajaza na kusaini fomu zao?

SHEHA. Sasa mimi nitafanyaje wakati mtu kashapewa fomu bodi ya ardhi?

MIMI : Kwa sababu wewe ni mtendaji na unafahamu kuwa serikali hairuhusu, kwanini huwaelekezi? Huyo mnunuzi na muuzaji?

SHEHA : Hilo halinihusu maana wenyewe bodi ya ardhi wanakuja kukagua mbona hawakatai na maeneo yanauzika?

Mpaka tulipofika kwenye nukta hiyo sikuwa na swali tena.

Naomba tuangalie eneo kama Kiwengwa! Hivi kwa wale wahusika wa mipango miji, Kijiji Cha Kiwengwa kinawekwa kwenye plani ipi? Naamini Kiwengwa inawapa shida maana ni mvurugiko.

Na pia ujenzi wa namna hii unasemwa vibaya na baadhi ya watalii haswa wale wanayoijua Zanzibar kabla ya kuvamiliwa na umilikishwaji wa ardhi kwa wageni.

Tujifunze kwa nchi za wenzetu za visiwa ambazo pia Kuna utalii, Je wao wameweza Je kutunza maeneo yao ?

Leo naishia hapa hadi wakati mwingine
 
Pole sana kwa kuumia kwa Yale yanayoendelea Zanzibar ( huu ndio uzalendo wa kweli ) na ongera kwa bandiko lako zuri.

Ni ukweli usio na shaka kwamba Nchi huwa inakuwa na maeneo ambayo lazima yahifadhiwe kutokana na historia ya maeneo husika na unyeti wake. Nchi kama Italy pia ina maeneo ya aina hii ambayo mtu HARUHUSIWI kujenga wala kubomoa chochote bila idhini ya serikali kuu.

Kwa upande wa Zanzibar sasa..

1. Binafsi nimeishi Zanzibar kwa muda wa miaka 2 na kidogo kuna maeneo ambayo ni kweli urusiwi kuuza kutokana na UNYETI wake lakini bahati mbaya sana baadhi ya maeneo ni ya watu binafsi hivyo Serikali ni ngumu kuingilia endapo mwenye eneo ataamua kuliuza. NA HAPA NDIO HUJA MALALAMIKO YAKO.

2. Serikali inahitaji kodi ili kujiendesha hivyo ili ipate kodi ni pamoja na kuvutia wawekezaji na maeneo ya uwekezaji kwa Zanzibar ni kwenye utalii na uchumi wa buluu. Sasa wanapokuja wawekezaji huwezi kuanza kuchambua mapungufu yao ya kimaadili au kitabia ili uwapate watakao endana na utamaduni wa wa Zanzibar. HAIWEZEKANI.

3. Wa Zanzibar ni walalamishi sana UOVU unapofanywa na mgeni !! Ila ukifanywa na wao hutunziana siri na kulindana. MAPENZI YA JINSIA MOJA WAZANZIBAR WENGI MNO HUFANYA NA WENGINE KUOANA KABISA AU KUOA VITOTO VIDOGO KABISA lakini kwa kuwa ni wao kwa wao husikii popote sasa hivi wameingia wageni ndio mnaanza kulalamika.

Kulikuwa na malalamiko makubwa sana ya wanawake kujiuza hapo kisiwandui na pale CCM, kila Mzanzibar alikuwa anawanyoshea kidole Wabara tulisemwa wabara kwamba Dada zetu wanajiuza, siku moja nikaamua kwenda cha ajabu na Wazanzibar walikuwepo tena hata wale wenye asili ya arabuni ili ilikuwa haisemwi.

4. Maadili ya watoto wengi wa kizanzibar yamepotea sana tena mno nayo imechagizwa na UVIVU wao wa kufanya kazi na kupenda mtelemko.

NINI KIFANYIKE;

1. Simamieni makuzi na maadili ya vijana wenu tu achaneni na wageni kwani hawatokuja kwenu kuwashikia bunduki.

2. Ishini na wageni kwa upendo, Amani na bila ubaguzi wowote maana kuwachukia wageni sio majibu ya matatizo yenu. Uovu uwekeni hadaharani hata ukifanywa na mzanzibar mwenzenu.

3. Hamasishaneni kufanya kazi kwa bidii ili Zanzibar ipate mapato bila kutegemea wageni.

4. MUACHE UBAGUZI MAANA NI LAANA ITAKAYOWAMALIZA NINYI KWA NINYI.

KILA LA KHEIR...
 
Nafahamu kwamba Zanzibar haiwezi kujitenga na nchi nyingine Duniani, wala haiwezi kukataa mabadiliko ya maendeleo Duniani, lakini lazima kuwe na mipaka kulingana na utamaduni wa Visiwa hivyo.

Zanzibar iliingia kwenye sekta ya utalii kwa masilahi ya kukuza uchumi wake na sio vinginevyo.

Ingawaje wapo ambao badala ya kutumikia ipasavyo kwenye nafasi walizopewa wanakwenda Mrama na kusababisha dhumuni na malengo kutokufikiwa.

Katika sekta hii ya utalii na uwezekaji kuna kila sababu ya kufanya uchambuzi yakinifu kwa wageni wanaotaka kuwekeza.

Kwa mfano kuna kampuni moja ambayo umenunua maeneo mengi na makubwa ukanda huu kusini Paje na Jambini.

Mahotel yao yana jina linaloanzia na herufi P jina ambalo ni la aina ya kiungo tunachotumia kwenye chakula kama kuongeza ladha na kinawasha.

Sitaki kusema jina kamili maana watu hawa huwa na wanasheria wao tena wazawa wenyeji, hawa huwakingia Vifua na ukajikuta huna mtetezi.

Hii kampuni haifai hata kidogo kuwekeza kwenye ardhi ya Zanzibar. Hawa ni waumini wa mapenzi ya jinsia moja na hata wageni wao ni wale matajiri wakubwa Duniani wanaokuja kustarehe na wapenzi wao.

Kama ni Mwanamke atakuja na mpenzi wake wa kike, kama ni Mwanaume atakuja na mpenzi wake wa kiume.

Vitendo vyao vinatisha haswa pale ninapoangalia mila na desturi zetu.

Ni kweli kwamba tunao hapa nchini wanaume WAPUMBAVU. . Nimetumia neno WAPUMBAVU kwasababu ndio linalotumika kama Tafsida visiwani. Kumaanisha Wanaume wanao jihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Hawa wageni WAPUMBAVU Sasa hivi wamevuka mipaka maana Sasa Wana Pati au sherehe ambayo hufanyika kwenye Hotel zao zote.

Sherehe hizo ni za wapenzi wapya! Lakini hata wale ambao wana sherehekea kudumu kwa Muda mrefu kwenye mahusiano yao.

Unajua mwanzo nilidhania labda sherehe hizo zinajumuisha wao kwa wao tu, yaani wageni.

Jambo la kusikitisha ni kwamba hata vijana wetu wadogo kabisa nao wanajumuika. 😢

Tulichunguze jambo hili 👇

Ajira kwenye kampuni hiyo imetoa kipaumbele kwa vijana wetu WAPUMBAVU. Kampuni hiyo ndio kimbilio lao maana wanasema hawapati ajira sehemu nyingine kirahisi.

Sio kwamba kila kijana wetu afanyaye kazi hapo anakuwa wa mrengo huo HAPANA.

Wapo wenye heshima zao na hata wanaokerwa na u hamasishaji wa Vitendo vya kishetani.

Nataka kusema kwamba kasi ya ununuaji wa maeneo ya kampuni hii, inatisha. Alafu wao sio kununua tu hata kukodi.

tatizo kubwa tulilonalo sisi Waafrika ni kutokuwa na umoja, ni vigumu Sana ku chukuliwa hatua hizo haswa pale tatizo linaporipotiwa na mtu anbaye huna fedha wala kujulikana popote.

Kwanza wanasheria wao ni wazawa utapata shida Sana.

Nakumbuka tukio la Mwanamke wa Kizanzibar kuvuliwa nguo yake ya ndani. . Na Mkuu wa kitengo ambaye ni mgeni.

Mwanamke huyu alikuwa ni msafisha vyumba Hotel ya The Residence. Kisa cha kuvuliwa nguo yake ya ndani eti kuna mgeni aliche check out siku mbili nyuma na alipofika kwao akawa haioni nguo yake ya ndani.

Jambo la aibu Sana, nguo ya ndani ya Mwanamke huyo alipovuliwa ikapelekwa Reception ikapigwa picha ikatumwa kwenye mtandao ili mgeni aione kwamba je hiyo ndio nguo yake?

Mgeni akajibu kwamba sio yake.

TAMWA Zanzibar ilipopata taarifa tukaja ku chukuliwa kwenda kupigania haki ya Mwanamke mwenzetu.

Yule Bosi alipoona vile akakimbia, uongozi ukamtumia Mwanasheria wao mzawa anbaye alikuwa kwenye chombo cha kutunga sheria.

Ujinga mkubwa alioufanya Mwanamke mwenzetu huyo pamoja na TAMWA kusimama kidete akaru buniwa na uongozi pamoja na Mwanasheria mzawa akapewa Milioni Tatu akamaliza kesi tena akakimbia Zanzibar akaenda Tanga kesi ikaisha.

Nitaendelea baadae Ahsante
Sema tu pilipili, kwani si wamefuata sheria zote za uwekezaji, na wageni wao mambo yao watafanyia ndani vyumbani, wewe yanakuhusu nini ikiwa uko nyumbani kwako. Jadilini hoja za msingi wabaguzi wakubwa ninyi, mnaongea utafikiri watakatifu ili hali kila siku ukisikiliza mawio baba kambaka au kulawiti mwanae wa kuzaa au wa kufikia, wasaidieni hawa watoto kupata haki na si kujibaraguza eti kampuni hii haifai, ipi inayo faa? Akija mwanaume na mwanamke unathibitishaje kuwa ni wanandoa? Ikiwa mtu anahela zake acha awekeze. Mbona aliruhusiwa tamasha la Sunwave lilokuwa limejaa mashoga na wasagaji. Acheni umimi.
 
Pole sana kwa kuumia kwa Yale yanayoendelea Zanzibar ( huu ndio uzalendo wa kweli ) na ongera kwa bandiko lako zuri.

Ni ukweli usio na shaka kwamba Nchi huwa inakuwa na maeneo ambayo lazima yahifadhiwe kutokana na historia ya maeneo husika na unyeti wake. Nchi kama Italy pia ina maeneo ya aina hii ambayo mtu HARUHUSIWI kujenga wala kubomoa chochote bila idhini ya serikali kuu.

Kwa upande wa Zanzibar sasa..

1. Binafsi nimeishi Zanzibar kwa muda wa miaka 2 na kidogo kuna maeneo ambayo ni kweli urusiwi kuuza kutokana na UNYETI wake lakini bahati mbaya sana baadhi ya maeneo ni ya watu binafsi hivyo Serikali ni ngumu kuingilia endapo mwenye eneo ataamua kuliuza. NA HAPA NDIO HUJA MALALAMIKO YAKO.

2. Serikali inahitaji kodi ili kujiendesha hivyo ili ipate kodi ni pamoja na kuvutia wawekezaji na maeneo ya uwekezaji kwa Zanzibar ni kwenye utalii na uchumi wa buluu. Sasa wanapokuja wawekezaji huwezi kuanza kuchambua mapungufu yao ya kimaadili au kitabia ili uwapate watakao endana na utamaduni wa wa Zanzibar. HAIWEZEKANI.

3. Wa Zanzibar ni walalamishi sana UOVU unapofanywa na mgeni !! Ila ukifanywa na wao hutunziana siri na kulindana. MAPENZI YA JINSIA MOJA WAZANZIBAR WENGI MNO HUFANYA NA WENGINE KUOANA KABISA AU KUOA VITOTO VIDOGO KABISA lakini kwa kuwa ni wao kwa wao husikii popote sasa hivi wameingia wageni ndio mnaanza kulalamika.

Kulikuwa na malalamiko makubwa sana ya wanawake kujiuza hapo kisiwandui na pale CCM, kila Mzanzibar alikuwa anawanyoshea kidole Wabara tulisemwa wabara kwamba Dada zetu wanajiuza, siku moja nikaamua kwenda cha ajabu na Wazanzibar walikuwepo tena hata wale wenye asili ya arabuni ili ilikuwa haisemwi.

4. Maadili ya watoto wengi wa kizanzibar yamepotea sana tena mno nayo imechagizwa na UVIVU wao wa kufanya kazi na kupenda mtelemko.

NINI KIFANYIKE;

1. Simamieni makuzi na maadili ya vijana wenu tu achaneni na wageni kwani hawatokuja kwenu kuwashikia bunduki.

2. Ishini na wageni kwa upendo, Amani na bila ubaguzi wowote maana kuwachukia wageni sio majibu ya matatizo yenu. Uovu uwekeni hadaharani hata ukifanywa na mzanzibar mwenzenu.

3. Hamasishaneni kufanya kazi kwa bidii ili Zanzibar ipate mapato bila kutegemea wageni.

4. MUACHE UBAGUZI MAANA NI LAANA ITAKAYOWAMALIZA NINYI KWA NINYI.

KILA LA KHEIR...
Hawa wanafiki tu kazi hawataki kufanya kila siku chokochoko tu kwa wageni. Shoga akiwa mzanzibar sawa, akiwa mgeni kosa. Wabakaji wakubwa hawa, na hakuna sehemu inayoongoza tanzania kwa unyanyasaji wa kijinsia kama znz, sikiliza mawio kila siku asubuhi
 
Pole sana kwa kuumia kwa Yale yanayoendelea Zanzibar ( huu ndio uzalendo wa kweli ) na ongera kwa bandiko lako zuri.

Ni ukweli usio na shaka kwamba Nchi huwa inakuwa na maeneo ambayo lazima yahifadhiwe kutokana na historia ya maeneo husika na unyeti wake. Nchi kama Italy pia ina maeneo ya aina hii ambayo mtu HARUHUSIWI kujenga wala kubomoa chochote bila idhini ya serikali kuu.

Kwa upande wa Zanzibar sasa..

1. Binafsi nimeishi Zanzibar kwa muda wa miaka 2 na kidogo kuna maeneo ambayo ni kweli urusiwi kuuza kutokana na UNYETI wake lakini bahati mbaya sana baadhi ya maeneo ni ya watu binafsi hivyo Serikali ni ngumu kuingilia endapo mwenye eneo ataamua kuliuza. NA HAPA NDIO HUJA MALALAMIKO YAKO.

2. Serikali inahitaji kodi ili kujiendesha hivyo ili ipate kodi ni pamoja na kuvutia wawekezaji na maeneo ya uwekezaji kwa Zanzibar ni kwenye utalii na uchumi wa buluu. Sasa wanapokuja wawekezaji huwezi kuanza kuchambua mapungufu yao ya kimaadili au kitabia ili uwapate watakao endana na utamaduni wa wa Zanzibar. HAIWEZEKANI.

3. Wa Zanzibar ni walalamishi sana UOVU unapofanywa na mgeni !! Ila ukifanywa na wao hutunziana siri na kulindana. MAPENZI YA JINSIA MOJA WAZANZIBAR WENGI MNO HUFANYA NA WENGINE KUOANA KABISA AU KUOA VITOTO VIDOGO KABISA lakini kwa kuwa ni wao kwa wao husikii popote sasa hivi wameingia wageni ndio mnaanza kulalamika.

Kulikuwa na malalamiko makubwa sana ya wanawake kujiuza hapo kisiwandui na pale CCM, kila Mzanzibar alikuwa anawanyoshea kidole Wabara tulisemwa wabara kwamba Dada zetu wanajiuza, siku moja nikaamua kwenda cha ajabu na Wazanzibar walikuwepo tena hata wale wenye asili ya arabuni ili ilikuwa haisemwi.

4. Maadili ya watoto wengi wa kizanzibar yamepotea sana tena mno nayo imechagizwa na UVIVU wao wa kufanya kazi na kupenda mtelemko.

NINI KIFANYIKE;

1. Simamieni makuzi na maadili ya vijana wenu tu achaneni na wageni kwani hawatokuja kwenu kuwashikia bunduki.

2. Ishini na wageni kwa upendo, Amani na bila ubaguzi wowote maana kuwachukia wageni sio majibu ya matatizo yenu. Uovu uwekeni hadaharani hata ukifanywa na mzanzibar mwenzenu.

3. Hamasishaneni kufanya kazi kwa bidii ili Zanzibar ipate mapato bila kutegemea wageni.

4. MUACHE UBAGUZI MAANA NI LAANA ITAKAYOWAMALIZA NINYI KWA NINYI.

KILA LA KHEIR...
Wazanzibar wavivu Sana hao nawajua vizuri hata mimi

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Nafahamu kwamba Zanzibar haiwezi kujitenga na nchi nyingine Duniani, wala haiwezi kukataa mabadiliko ya maendeleo Duniani, lakini lazima kuwe na mipaka kulingana na utamaduni wa Visiwa hivyo.

Zanzibar iliingia kwenye sekta ya utalii kwa masilahi ya kukuza uchumi wake na sio vinginevyo.

Ingawaje wapo ambao badala ya kutumikia ipasavyo kwenye nafasi walizopewa wanakwenda Mrama na kusababisha dhumuni na malengo kutokufikiwa.

Katika sekta hii ya utalii na uwezekaji kuna kila sababu ya kufanya uchambuzi yakinifu kwa wageni wanaotaka kuwekeza.

Kwa mfano kuna kampuni moja ambayo umenunua maeneo mengi na makubwa ukanda huu kusini Paje na Jambini.

Mahotel yao yana jina linaloanzia na herufi P jina ambalo ni la aina ya kiungo tunachotumia kwenye chakula kama kuongeza ladha na kinawasha.

Sitaki kusema jina kamili maana watu hawa huwa na wanasheria wao tena wazawa wenyeji, hawa huwakingia Vifua na ukajikuta huna mtetezi.

Hii kampuni haifai hata kidogo kuwekeza kwenye ardhi ya Zanzibar. Hawa ni waumini wa mapenzi ya jinsia moja na hata wageni wao ni wale matajiri wakubwa Duniani wanaokuja kustarehe na wapenzi wao.

Kama ni Mwanamke atakuja na mpenzi wake wa kike, kama ni Mwanaume atakuja na mpenzi wake wa kiume.

Vitendo vyao vinatisha haswa pale ninapoangalia mila na desturi zetu.

Ni kweli kwamba tunao hapa nchini wanaume WAPUMBAVU. . Nimetumia neno WAPUMBAVU kwasababu ndio linalotumika kama Tafsida visiwani. Kumaanisha Wanaume wanao jihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Hawa wageni WAPUMBAVU Sasa hivi wamevuka mipaka maana Sasa Wana Pati au sherehe ambayo hufanyika kwenye Hotel zao zote.

Sherehe hizo ni za wapenzi wapya! Lakini hata wale ambao wana sherehekea kudumu kwa Muda mrefu kwenye mahusiano yao.

Unajua mwanzo nilidhania labda sherehe hizo zinajumuisha wao kwa wao tu, yaani wageni.

Jambo la kusikitisha ni kwamba hata vijana wetu wadogo kabisa nao wanajumuika.

Tulichunguze jambo hili

Ajira kwenye kampuni hiyo imetoa kipaumbele kwa vijana wetu WAPUMBAVU. Kampuni hiyo ndio kimbilio lao maana wanasema hawapati ajira sehemu nyingine kirahisi.

Sio kwamba kila kijana wetu afanyaye kazi hapo anakuwa wa mrengo huo HAPANA.

Wapo wenye heshima zao na hata wanaokerwa na uhamasishaji wa Vitendo vya kishetani.

Nataka kusema kwamba kasi ya ununuaji wa maeneo ya kampuni hii, inatisha. Alafu wao sio kununua tu hata kukodi.

tatizo kubwa tulilonalo sisi Waafrika ni kutokuwa na umoja, ni vigumu Sana ku chukuliwa hatua hizo haswa pale tatizo linaporipotiwa na mtu anbaye huna fedha wala kujulikana popote.

Kwanza wanasheria wao ni wazawa utapata shida Sana.

Nakumbuka tukio la Mwanamke wa Kizanzibar kuvuliwa nguo yake ya ndani. . Na Mkuu wa kitengo ambaye ni mgeni.

Mwanamke huyu alikuwa ni msafisha vyumba Hotel ya The Residence. Kisa cha kuvuliwa nguo yake ya ndani eti kuna mgeni aliche check out siku mbili nyuma na alipofika kwao akawa haioni nguo yake ya ndani.

Jambo la aibu Sana, nguo ya ndani ya Mwanamke huyo alipovuliwa ikapelekwa Reception ikapigwa picha ikatumwa kwenye mtandao ili mgeni aione kwamba je hiyo ndio nguo yake?

Mgeni akajibu kwamba sio yake.

TAMWA Zanzibar ilipopata taarifa tukaja kuchukuliwa kwenda kupigania haki ya Mwanamke mwenzetu.

Yule Bosi alipoona vile akakimbia, uongozi ukamtumia Mwanasheria wao mzawa anbaye alikuwa kwenye chombo cha kutunga sheria.

Ujinga mkubwa alioufanya Mwanamke mwenzetu huyo pamoja na TAMWA kusimama kidete akarubuniwa na uongozi pamoja na Mwanasheria mzawa akapewa Milioni Tatu akamaliza kesi tena akakimbia Zanzibar akaenda Tanga kesi ikaisha.

Nitaendelea baadae Ahsante
Swala hapa ni je kabla ya hao wanaokuja au hao wawekezaji kuja ,hao wa jinsia moja hawakuwepo huko?
 
Pole sana kwa kuumia kwa Yale yanayoendelea Zanzibar ( huu ndio uzalendo wa kweli ) na ongera kwa bandiko lako zuri.

Ni ukweli usio na shaka kwamba Nchi huwa inakuwa na maeneo ambayo lazima yahifadhiwe kutokana na historia ya maeneo husika na unyeti wake. Nchi kama Italy pia ina maeneo ya aina hii ambayo mtu HARUHUSIWI kujenga wala kubomoa chochote bila idhini ya serikali kuu.

Kwa upande wa Zanzibar sasa..

1. Binafsi nimeishi Zanzibar kwa muda wa miaka 2 na kidogo kuna maeneo ambayo ni kweli urusiwi kuuza kutokana na UNYETI wake lakini bahati mbaya sana baadhi ya maeneo ni ya watu binafsi hivyo Serikali ni ngumu kuingilia endapo mwenye eneo ataamua kuliuza. NA HAPA NDIO HUJA MALALAMIKO YAKO.

2. Serikali inahitaji kodi ili kujiendesha hivyo ili ipate kodi ni pamoja na kuvutia wawekezaji na maeneo ya uwekezaji kwa Zanzibar ni kwenye utalii na uchumi wa buluu. Sasa wanapokuja wawekezaji huwezi kuanza kuchambua mapungufu yao ya kimaadili au kitabia ili uwapate watakao endana na utamaduni wa wa Zanzibar. HAIWEZEKANI.

3. Wa Zanzibar ni walalamishi sana UOVU unapofanywa na mgeni !! Ila ukifanywa na wao hutunziana siri na kulindana. MAPENZI YA JINSIA MOJA WAZANZIBAR WENGI MNO HUFANYA NA WENGINE KUOANA KABISA AU KUOA VITOTO VIDOGO KABISA lakini kwa kuwa ni wao kwa wao husikii popote sasa hivi wameingia wageni ndio mnaanza kulalamika.

Kulikuwa na malalamiko makubwa sana ya wanawake kujiuza hapo kisiwandui na pale CCM, kila Mzanzibar alikuwa anawanyoshea kidole Wabara tulisemwa wabara kwamba Dada zetu wanajiuza, siku moja nikaamua kwenda cha ajabu na Wazanzibar walikuwepo tena hata wale wenye asili ya arabuni ili ilikuwa haisemwi.

4. Maadili ya watoto wengi wa kizanzibar yamepotea sana tena mno nayo imechagizwa na UVIVU wao wa kufanya kazi na kupenda mtelemko.

NINI KIFANYIKE;

1. Simamieni makuzi na maadili ya vijana wenu tu achaneni na wageni kwani hawatokuja kwenu kuwashikia bunduki.

2. Ishini na wageni kwa upendo, Amani na bila ubaguzi wowote maana kuwachukia wageni sio majibu ya matatizo yenu. Uovu uwekeni hadaharani hata ukifanywa na mzanzibar mwenzenu.

3. Hamasishaneni kufanya kazi kwa bidii ili Zanzibar ipate mapato bila kutegemea wageni.

4. MUACHE UBAGUZI MAANA NI LAANA ITAKAYOWAMALIZA NINYI KWA NINYI.

KILA LA KHEIR...
Nahitaji malaYA wa kiarabu Zanzibar wanapatikana mahala gani
 
Anajisemea tu kwa chuki zake binafsi mzanzibari na mtanganyika watu wawili tofauti. Amtafute uyo malaya wa kiarabu anaepatikana kisonge na cccm
 
tatizo kubwa tulilonalo sisi Waafrika ni kutokuwa na umoja, ni vigumu Sana ku chukuliwa hatua hizo haswa pale tatizo linaporipotiwa na mtu anbaye huna fedha wala kujulikana popote.
Nitakuja kumalizia baadae kwenye hizo sehemu zingine kwa sababu ni MUST READ POST...

Hata hivyo, hebu soma vizuri nilipoku-quote hapo juu, kisha soma hapa ulichoandika hapa chini
Nakumbuka tukio la Mwanamke wa Kizanzibar kuvuliwa nguo yake ya ndani. . Na Mkuu wa kitengo ambaye ni mgeni.
Hivi ulikuwa na sababu gani ya kusema mwanamke wa "Kizanzibari: badala ya kusema tu "mwanamke"?!

Ninachotaka kusema ni kwamba, punguza "Uzanzibari" kwa masuala ya kijamii na kitaifa!! Kwa jinsi ulivyoelezea ni kama issue ya "Kizanzibari" wakati hilo ni suala la kitaifa, linaloweza kutokea popote na kumkuta yeyote ndani ya jamhuri!!

Lakini wakati suala zima umeli-personalize, kwa upande mwingine unataka Waafrika wawe na umoja!!!
 
Hata raisi wako aliwahi kusema mimi ni Mzanzibari kwaio alikosea au?
 
Mtoa mada..mimi nataka ni kutoo..nikutoe out..unasemaje?

Halafu acheni unafiki nyie wa vaa kobazi..mko radhi wageni waje wanunue ardhi ila mtanzania mwenzenu kisa katokea bara hamtaki hata amiliki kibanda..huo ni unafiki mkubwa sana.

Mko vibaguzi sana nyinyi..

#MaendeleoHayanaChama
 
Nafahamu kwamba Zanzibar haiwezi kujitenga na nchi nyingine Duniani, wala haiwezi kukataa mabadiliko ya maendeleo Duniani, lakini lazima kuwe na mipaka kulingana na utamaduni wa Visiwa hivyo.

Zanzibar iliingia kwenye sekta ya utalii kwa masilahi ya kukuza uchumi wake na sio vinginevyo.

Ingawaje wapo ambao badala ya kutumikia ipasavyo kwenye nafasi walizopewa wanakwenda Mrama na kusababisha dhumuni na malengo kutokufikiwa.

Katika sekta hii ya utalii na uwezekaji kuna kila sababu ya kufanya uchambuzi yakinifu kwa wageni wanaotaka kuwekeza.

Kwa mfano kuna kampuni moja ambayo umenunua maeneo mengi na makubwa ukanda huu kusini Paje na Jambini.

Mahotel yao yana jina linaloanzia na herufi P jina ambalo ni la aina ya kiungo tunachotumia kwenye chakula kama kuongeza ladha na kinawasha.

Sitaki kusema jina kamili maana watu hawa huwa na wanasheria wao tena wazawa wenyeji, hawa huwakingia Vifua na ukajikuta huna mtetezi.

Hii kampuni haifai hata kidogo kuwekeza kwenye ardhi ya Zanzibar. Hawa ni waumini wa mapenzi ya jinsia moja na hata wageni wao ni wale matajiri wakubwa Duniani wanaokuja kustarehe na wapenzi wao.

Kama ni Mwanamke atakuja na mpenzi wake wa kike, kama ni Mwanaume atakuja na mpenzi wake wa kiume.

Vitendo vyao vinatisha haswa pale ninapoangalia mila na desturi zetu.

Ni kweli kwamba tunao hapa nchini wanaume WAPUMBAVU. . Nimetumia neno WAPUMBAVU kwasababu ndio linalotumika kama Tafsida visiwani. Kumaanisha Wanaume wanao jihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Hawa wageni WAPUMBAVU Sasa hivi wamevuka mipaka maana Sasa Wana Pati au sherehe ambayo hufanyika kwenye Hotel zao zote.

Sherehe hizo ni za wapenzi wapya! Lakini hata wale ambao wana sherehekea kudumu kwa Muda mrefu kwenye mahusiano yao.

Unajua mwanzo nilidhania labda sherehe hizo zinajumuisha wao kwa wao tu, yaani wageni.

Jambo la kusikitisha ni kwamba hata vijana wetu wadogo kabisa nao wanajumuika. 😢

Tulichunguze jambo hili 👇

Ajira kwenye kampuni hiyo imetoa kipaumbele kwa vijana wetu WAPUMBAVU. Kampuni hiyo ndio kimbilio lao maana wanasema hawapati ajira sehemu nyingine kirahisi.

Sio kwamba kila kijana wetu afanyaye kazi hapo anakuwa wa mrengo huo HAPANA.

Wapo wenye heshima zao na hata wanaokerwa na uhamasishaji wa Vitendo vya kishetani.

Nataka kusema kwamba kasi ya ununuaji wa maeneo ya kampuni hii, inatisha. Alafu wao sio kununua tu hata kukodi.

tatizo kubwa tulilonalo sisi Waafrika ni kutokuwa na umoja, ni vigumu Sana ku chukuliwa hatua hizo haswa pale tatizo linaporipotiwa na mtu anbaye huna fedha wala kujulikana popote.

Kwanza wanasheria wao ni wazawa utapata shida Sana.

Nakumbuka tukio la Mwanamke wa Kizanzibar kuvuliwa nguo yake ya ndani. . Na Mkuu wa kitengo ambaye ni mgeni.

Mwanamke huyu alikuwa ni msafisha vyumba Hotel ya The Residence. Kisa cha kuvuliwa nguo yake ya ndani eti kuna mgeni aliche check out siku mbili nyuma na alipofika kwao akawa haioni nguo yake ya ndani.

Jambo la aibu Sana, nguo ya ndani ya Mwanamke huyo alipovuliwa ikapelekwa Reception ikapigwa picha ikatumwa kwenye mtandao ili mgeni aione kwamba je hiyo ndio nguo yake?

Mgeni akajibu kwamba sio yake.

TAMWA Zanzibar ilipopata taarifa tukaja kuchukuliwa kwenda kupigania haki ya Mwanamke mwenzetu.

Yule Bosi alipoona vile akakimbia, uongozi ukamtumia Mwanasheria wao mzawa anbaye alikuwa kwenye chombo cha kutunga sheria.

Ujinga mkubwa alioufanya Mwanamke mwenzetu huyo pamoja na TAMWA kusimama kidete akarubuniwa na uongozi pamoja na Mwanasheria mzawa akapewa Milioni Tatu akamaliza kesi tena akakimbia Zanzibar akaenda Tanga kesi ikaisha.

Nitaendelea baadae Ahsante
Hujui kuwa Zanzibar ndiyo inayoongozwa kwa vitendo vya ushoga katika ukanda huu? Hujui kuwa viongozi wa dini wengi ni washiriki wa ushoga hasa wale wenye asili ya mashariki ya kati?
 
Haya ndiyo matunda ya Muungano na Tanganyika. Zanzibar ingeungana na Oman badala ya Tanganyika, Zanzibar ingekuwa kama Muscat leo na ingefaidi utajiri wa mafuta. Umaskini uliopo ndiyo unaleta wawekezaji ambao hawajali mila na desturi za Zanzibar.
 
Back
Top Bottom