Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kinana na Shaka watia saini kitabu cha wageni, wazungumza na viongozi wa CCM Geita Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akiwa...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Maajabu ya Tanzania ni kwamba Bei imeshuka kwenye soko la dunia tokea June Ila huku ewura wanatuambia imepanda
8 Reactions
109 Replies
8K Views
Kwa kifuoi hali inakuwaga hivyo, na kwa sasa hizi tozo kuna ambazo zinatunzwa kuja kugawa wakati wa kampeni
0 Reactions
1 Replies
768 Views
Hizi tozo zinatusaidia nini sasa? Tunakamuliwa na bado hata maji hatupati --- Mamlaka ya Maji safi na mazingira Wilaya ya Liwale, Mkoani Lindi (LIWASA) imeombwa kuzalisha kwa wingi huduma ya...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Sijui mmegundua? Huyu jamaa ana mikogo na miondoko kama ya Barrack Obama. Ukiachana na ile "nadharia" kwamba yeye mwenyewe mara zote hudhani ana sifa za kuwa Rais, nimebaini pia hata mwonekano...
10 Reactions
51 Replies
5K Views
Wanabodi, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kila nipatapo fursa, huwa naendeleza zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zina lengo la kukuza uzalendo na...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
Demokrasia iliyopo Kenya kwa sasa ni darasa kubwa kwetu. Kenya wamepiga hatua kubwa sana ya kusimamia uchaguzi, na ndio faida na umuhimu wa tume huru ya uchaguzi. Kuwa na tume huru ya uchaguzi ni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
"....tumpongeze Rais Samia kwa kurejesha amani kwa Watanzania. " Hayo ameyasema huko Kizimkazi, Zanzibar. NB: Lini amani ya Watanzania ilitoweka...?!
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Habarini wana GreatThinkers nimeona niwaletee hii baada ya kuona na kufuatilia mwenendo wa nchi yetu tangu ipate Uhuru. Mungu ametubariki nchi nzuri yenye kila aina ya resources na wakoloni...
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Nawasalimu kwa jina la JMT. Twende kwenye mada, ni hivi asilimia 65-70 ya Watanzania wanaishi vijijini ambapo ndio kusema wananchi wengi wa Tanzania wanaishi maeneo ya vijijini. Ukija kwenye...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Salaam za Mwaka Mpya, Imechapishwa kwenye gazeti la Nipashe la Leo. Jana ndio tumeuanza mwaka mpya wa 2022, hivyo nianze kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Salaam Wakuu, Napenda kujua ni namna gani Serikali imejipanga kuwajumlisha Watoto wa Mtaani kwenye Sensa ya Taifa ili na wao wapate nafasi ya kuhudumiwa kama watu wengine. Serikali ya Jamhuri ya...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Zambia yenye watu milioni 18 iko kwenye sensa ambayo watu watahesabiwa kwa siku takribani 26! Tanzania yenye watu milioni 60 watu wamehesabiwa kwa siku saba!
0 Reactions
2 Replies
775 Views
Nianze Kwa kutaja miamba iliyoondoka chadema na sifa zao na hawakutakiwa kutoka! David silinde, huyu jamaa alikuwa jemedari wa nyanda za kusini aliishika sana Tunduma, sijajua kwanini CHADEMA...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Kwa jinsi Zanzibar ilivyo, nadhani Ina ukubwa sawa na Dar es salaam. Lakini naona Rais Mwinyi kama ana "struggle " kuiongoza. Kuna mawili, anataka publicity au ameshindwa kufit katika jamii ya...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Wote tunapenda afya njema, Amani na upendo pamoja na Uhuru wa kujieleza. Ndani ya Serikali, awamu ya tano wote tulikubaliana kuwa tutaishi na corona, kama magonjwa mengine. Kwamba atujui hili...
9 Reactions
79 Replies
7K Views
Hapo ndio tutajua pesa za tozo ni za serikali au za wananchi kama zile za Tegeta Escrow zilivyotuletea ubishi.
2 Reactions
7 Replies
632 Views
Waziri wa Nishati January Makamba ajulishwe kuwa kwenye taifa siyo kila kitu ni cha kubinafisishwa kwa masilahi mapana ya taifa. Umeme Bandari Reli Viwanja vya ndege Mbuga etc Baba wa taifa Mwl...
29 Reactions
88 Replies
7K Views
Mama anaupiga Mwingi. Mama kauli zake ni kama zinapigwa na upepo zinapotelea mbali kabisa hakuna anaye zifanyia kazi. Chukulia swala la yeye kuhusu trafiki kula rushwa, hii kauli alisha irudia...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Wakuu samahani sana kuna jambo nataka kujifunza, nimekuwa nikisikia nchi nyingi sana nyingi za Ulaya na chache za Africa, wakuu wa nchi wakisalimu amri ya wananchi na kutoka kwenye kiti cha...
4 Reactions
15 Replies
820 Views
Back
Top Bottom