Rais ameiagiza wizara hiyo kufanya tathmini ya hali ya ugonjwa wa UVIKO-19 nchini na kutoa utaratibu kama bado kuna haja ya wananchi kuendelea kutumia barakoa.
Amesema “Inaonyesha watu wamechoka...
Mzee Kinana ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CCM anazunguka mikoani kwa kile kinachoitwa kukagua uhai wa chama chake. Katika ziara hiyo tumemsikia akiagiza hili na lile, ikiwemo amri yake kwa...
Maana inashangaza, pale tulipoambiwa vituo vimejengwa kila kata na mwaziri na wabunge hawa hawa.
Sasa tena mawaziri na wabunge hawa hawa wanasema vituo vya afya vinajengwa kila kata, ina maana...
Je, African Continental Free Trade Area (AfCFTA) ni nzuri kwa Tanzania?
Mimi nadhani tunge anza kwanza na Sub-Saharan Africa Free Trade Area.
Hii tuna weza kuiita Savannah Africa Free Trade...
Salaam Wakuu,
Zitto Kabwe na Chama chake cha ACT WAZALENDO, kimeshindwa kujitofautisha na CCM baadaya Ufisadi mkubwa kutokea kwenye Wizara Wanazoongoza.
Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK)...
Hadi sasa kuna kampuni nyingi za bima ya afya nchini ikiwemo NHIF. Cha ajabu, katika mazingira sawa ya kibiashara licha ya NHIF kuwa na upendeleo wa kuwa na wanachama wengi kuliko kampuni zote za...
The government does not, indeed, waylay a man in a lonely place, spring upon him from the roadside, and holding a pistol to his head, proceed to rifle his pockets. But the robbery is none the less...
Tatizo la NHIF mpango kazi wao hauendani na mapato yao, na hii ni kwa sababu hakuweka watu sahihi katika kutengeneza, mpango kazi katika shughuli zao za kila siku na mipango yao ya muda mfupi na...
Martin Maranja Masese , Mwanasiasa chipukizi kutoka Kanda ya Serengeti , ama kiboko ya mitandao au waweza kumwita MFICHUA PGO , hasa baada ya kusimama kidete na kurusha dunia nzima kesi ya Ugaidi...
Wanabodi,
Mhe. Samia alifanya ziara huko Zanzibar kwenye eneo la Kizimkazi mahali pa asili yake. Cha ajabu (sijui labda uelewa wa wengine sio ajabu) miongoni mwa viongozi wakuu watatu wa Zanzibar...
Salaam Wakuu,
Thread hii iwe ndo thread kuu itakayosheheni Nukuu za Amri Jeshi na rais wa JMT Samia Suluhu. Usisite kuweke nukuu yake ukikutana nayo.
“Kwa wale ambao wana mashaka Mwanamke huyu...
Very simple
Serikali iwe na utaratibu wa kuvuna wanyama wa porini kama Pofu, Swala, Tembo, Kiboko, Nyumbu, Mwamba nk na kuwauzia Wananchi
Zoezi hili likikubalika mambo ya Tozo yatabaki...
Kama tungekuwa na Wakulima wakubwa 10 tu aina ya Rodrick Mahenge basi Tanzania tungelisha Africa Mashariki
Hivi sasa UN wanahitaji Mahindi ya kuilisha Somalia lakin tunaikosa Fursa hiyo...
Kuna ugonjwa wa akili umeingia kwa watanzania
Ugonjwa huo ni "Poor Conclusion without consultation" ambao umetokana na PMD yaani badhi ya watanzania hata watangazaji baadhi wa vituo vya redio na...
Wakati mfumuko wa bei ya bidhaa za chakula ukiripotiwa sehemu mbalimbali nchini, hofu ya bei hizo kuendelea kupanda imeibuka baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kutangaza uwezekano wa...
Ni simple tu
Kodi ya Mapato hukatwa kwenye Jumla ya Mapato anayopata mlipa kodi iwe kwa Siku, Wiki, Mwezi au Mwaka
Mshahara ni sehemu tu ya Mapato ya mlipa kodi
Kiuhalali hata Mtumishi wa...
Wakati Serikali ikikiri kupokea maoni mbalimbali kuhusu tozo za miamala ya simu na kuahidi kuyafanyia kazi ndani ya kipindi kifupi, wadau wamelinyooshea kidole Bunge kwa kupitisha sheria ya fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.