Kesho Mei Mosi watanzania wajiandae kifikra

Kesho Mei Mosi watanzania wajiandae kifikra

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,698
Reaction score
7,884
SAsa kesho ndio tunasikia kupanda kwa nauli za usafirishaji,wenzetu kenya wameshaingia kwenye phase 2 yaani uhaba wa mafuta kutoka phase 1 ya kupanda bei.

Kesho Bi mkubwa atakuja na bla bla kibao najua kwa sababu washauri wake hawajui kufanya analysis ya mambo vizuri.

Kwa hiyo watanzania wajiandae kifikra ewura na tpdc ni kichaka cha madali Mungu atusaidie .

Sasa sijui atakuja kueleza mshahara umepanda maana bei ya mafuta imemshinda na uhaba wa mafuta upo around the corner jesus,jesus,jesus.
 
Kiufupi hii nchi imeingia rasmi mikononi mwa wahuni, matapeli, majangili, mafisadi na wahujumu uchumi.
 
Back
Top Bottom