Hatimaye Nyanda aachiwa akiwa hai

Hatimaye Nyanda aachiwa akiwa hai

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,293
Reaction score
283,240
Baada ya kelele za wadau hatimaye Alloyce Nyanda ameachiwa akiwa hai

Ikumbukwe kwamba Nyanda mtu mwenye Kula ugali n.a. Sangara mkavu alituhumiwa kufadhili vikundi vya mitandaoni, Tukashangaa Nyanda huyu anayevaa Skuna Leo Ana hela za kufadhili vikundi!

Hata hivyo simu zake zinashikiliwa ikiwemo ile ya tochi ya Tecno

Asante Mungu
 
kwahiyo wewe na mamluki wenzako waongo mmeumbuka baada ya uzushi wa muda mrefu sana mliokua mnauhubiri kua muungwana hayupo hai right?
 
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Hee kumbe hujui magaidi yanavyofanya yanajifanya maskini kumbe ndio yanashika kibubu.
 
Juzi madam ritha katamka kuwa tuna media uchwara watu wakamsakama Hadi uongozi ukatoa karipio ila mwenzao kachikuliwa kwenye mazingira tatanishi media zote zimeufyata zinajadiri porojo na ujinga ujinga

Itoshe kusema kuwa midia za bongo n kichefuchefu
Walamba nyayo
 
Back
Top Bottom