US Senate Foreign Relations: Tume imefunika Ukandamizaji na Ukweli

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,169
Reaction score
60,528
As expected, this “commission” glossed over a violent crackdown and the facts. I support the administration’s bilateral review and call for sustained pressure on Tanzania, including the release of Tundu Lissu. Waiting out scrutiny with a whitewashed report is a flawed strategy; it won’t restore credibility but rather deepens long-term risk and mistrust of the ruling regime.

View: https://x.com/SenateForeign/status/2049564935789609471?s=20

Tafsiri isiyo rasmi.

Kama ilivyotarajiwa, "tume" hii ilifunika ukandamizaji mkali na ukweli. Naunga mkono mapitio ya serikali ya nchi mbili na kutoa wito wa shinikizo endelevu kwa Tanzania, ikiwa ni pamoja na kuachiliwa kwa Tundu Lissu. Kusubiri uchunguzi kwa ripoti iliyopakwa chokaa ni mkakati mbovu; haitarejesha uaminifu lakini badala yake huongeza hatari ya muda mrefu na kutoaminiana kwa serikali inayotawala.
 
Duuh kwa hiyo ripoti haijasaidia kitu

Hii umejiandikia tu mwenyewe?
Source iko wapi ?
 
Mungu wabariki Wazungu
 
Hii umejiandikia tu mwenyewe?
Source iko wapi ?

Hii sasa imekuwa ni shida ya kipekee sana kwa elimu yetu hii.

Hata kama ni shida ya kutojuwa lugha; inawezekana vipi usiweze kujuwa hata kwa kubahatisha tu maneno machache ya kukufahamisjha chanzo ni nini?
Kwa mfano: kweli utashindwa kujuwa maana ya 'Chairman, Senate Foreign Relations Committee" hata kiingereza cha kuungaunga tu cha Form Four?
Taarifa hiyo iliyowekwa hapo toka mtandao wa X inaonyesha Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Senate ya Marekani ni Senator Jim Risch, Senator wa Jimbo la Idaho, ambaye ni wa chama cha Republican.

Sasa wewe hapa unataka source ya namna gani zaidi ya inayopatikana hapo?

Kama bado huamini, si ingia kwenye website ya Kamati hiyo mwenyewe ujiridhishe, kwani kuna ugumu gani?
 
Fomfoo wanajua kizungu.Huyo ni LY wa mwaka 2001.
 
Kama ilivyotarajiwa, "tume" hii ilifunika ukandamizaji mkali na ukweli. Naunga mkono mapitio ya serikali ya nchi mbili na kutoa wito wa shinikizo endelevu kwa Tanzania, ikiwa ni pamoja na kuachiliwa kwa Tundu Lissu. Kusubiri uchunguzi kwa ripoti iliyopakwa chokaa ni mkakati mbovu; haitarejesha uaminifu lakini badala yake huongeza hatari ya muda mrefu na
Masikini Chande na Juma sijui wataziweka wapi sura zao
 
Duuh kwa hiyo ripoti haijasaidia kitu

Hiyo haina uhalali wa kuitwa report ya uchunguzi, ile ni takataka ya kufunika uovu. Huwezi kuufunika uovu kwa kuweka uozo juu yake, utaleta chuki zaidi.

Ndiyo maana wazungu wanazidi kuendelea, kwa sababu wengi wao husimama kwenye ukweli, wakati sisi tunaendelea kujenga makundi ya machawa wajinga, badala ya kuwasaidia watu waondokane na ujinga, sisi tunahangaika kuwafanya wasomi wawe wajinga kuliko ambao hawakusoma kabisa!!
 
Masikini Chande na Juma sijui wataziweka wapi sura zao

Hata kama umeenda shule kiasi gani, kama hiyo elimu haikusaidii ku-predict outcome ya unachokifanya, wewe umepoteza muda wako kwa kukaa kuutafuta ujinga.
Yeyote anayeitwa msomi halafu akaishia kuwa fagio la waovu, huyo amefanywa kuwa punguani. Hakuna mwenye akili anayeweza kukubali kuwa fagio la mtu mwengine, ala hawezi kukubali kuwa chawa. Angalia uwezo wa akili wa machawa wote, ni dhahiri isiyo na mashaka, huwa ni wale ambao ni low IQ.
 
Chawa Juma na Chawa Chande ndio unaowaelezea hapo?
 
Hakuna mpenda haki ambaye aliamini na kutarajia kwamba hiyo tume ya mchongo ingetuletea a meaningful report!
Aisse
Hiyo haina uhalali wa kuitwa report ya uchunguzi, ile ni takataka ya kufunika uovu. Huwezi kuufunika uovu kwa kuweka uozo juu yake, utaleta chuki zaidi.

Ndiyo maana wazungu wanazidi kuendelea, kwa sababu wengi wao husimama kwenye ukweli, wakati sisi tunaendelea kujenga makundi ya machawa wajinga, badala ya kuwasaidia watu waondokane na ujinga, sisi tunahangaika kuwafanya wasomi wawe wajinga kuliko ambao hawakusoma kabisa!!
Iwe nzuri au mbaya ni repoti tu
 
badala ya kuwasaidia watu waondokane na ujinga, sisi tunahangaika kuwafanya wasomi wawe wajinga kuliko ambao hawakusoma kabisa!!
Aione prof. Kabudi amegeuzwa msukule wa Abdul.
 
Back
Top Bottom