Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,318
Haiwezekani kiongozi wa serikali awe msemaji wa anao waongoza.
Lini sisi wana Mbeya tumewahi kuketi na wewe tukakuambia kuwa hatuna malalamiko na maumivu ya tozo??
"Waliyopo hapa Mbeya,hili swala la malalamiko ya Tozo huku hakuna. Sisi tunahangaika kuhakikisha huduma za afya zinainarika kwa kuchangia sisi wenyewe Watanzania"
Hii ni kufuru na dharau kubwa Sana kwa wana Mbeya.