johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Afisa Elimu wa mkoa wa Lindi mh Vicent Kayombo amesema zaidi ya Wanafunzi 24000 wa Shule za Msingi wanakaa chini darasani kutokana na ukosefu wa Madawati
Source ITV habari
Source ITV habari