Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari wana JF Nimewaza sana nikagundua CCM kuwepo madarakani ni tatizo kubwa kuliko hata hii katika tunayo hitaji. Hivi kwa hii CCM tunaweza pata Tume huru ya Uchaguzi? Sasa tunayo katiba...
11 Reactions
70 Replies
3K Views
Mkuu wa mkoa wa Dodoma mh Rose Senyamule amesema baadhi ya wageni wanashindwa kulala jijini hapo kwa sababu Bima zao zinawataka walale kwenye Hotel za Kiwango cha Nyota 5 Kadhalika baadhi ya...
1 Reactions
0 Replies
559 Views
WABUNGE wanalipwa POSHO KUBWA na MISHAHARA MIKUBWA lakini HAWALIPI KODI wala HAWACHANGII Mifuko ya HIFADHI ya JAMII lakini WANALIPWA MAFAO MAKUBWA kwa MIAKA 5 Tu Mshahara wa Mbunge ni...
10 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari JF Kumekuwa na Tabia ya kususia Chaguzi kwa baadhi ya Vyama hususani CHADEMA, kwa namna navyoelewa kususa haijawahi kuwa suluhu ya tatizo labda kipindi cha utoto tu napo wazazi walikuwa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Nauliza tu kwa sababu wote tunajua kuanzia kesho Kenya itakuwa na utawala mpya na chama tawala kipya. Mungu wa mbinguni awabariki.
1 Reactions
10 Replies
574 Views
Ziara ya Dkt Mwigulu Nchemba Mkoani Mara imepokea na kutatua kero, changamoto na Matatizo sugu ya muda mrefu yaliyokuwa yanawasumbua Wananchi wa Mkoani humo yakiwemo ukamataji mipakani, bidhaa za...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Wabunge wapo kwa ajili ya kutatua changamoto za Wananchi, hivyo ni jukumu lao kumsaidia Mh Rais kutatua changamoto zinazowakabili Wananchi. Mwaka 2020 Chama kiliwadhamini Wanachama wake kupata...
2 Reactions
1 Replies
526 Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba ameiagiza Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) kuweka mabango hasa katika maeneo ya mipakani mwa nchi jirani kuelezea bidhaa ambazo zinapaswa kutozwa...
0 Reactions
1 Replies
955 Views
Ndugu zangu Afande sele kawashangaza Sana mamilioni ya watanzania ambao wanaendelea kuhoji kuwa Ina maana Afande sele hajaona ndani ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani alivyojenga na kuboresha...
2 Reactions
166 Replies
8K Views
Rais Samia Hassan amemteua Eric Benedict Iamissi kuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL). Kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Rais wa TUCTA, Tumaini Nyamhokya, jana aliweka wazi msimamo wa shirikisho hilo ni kufutwa kwa tozo hizo, huku akiunga mkono hatua zilizochukuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ili kuongeza wigo wa mapato yatupasa kama taifa kuthamini na kuzalisha vya kwetu. Tusiwe mabingwa wa kukopi na kupesti tu. Mfano Usafiri wa bodaboda ulianzishwa miaka mingi nchini Nigeria kabla...
3 Reactions
8 Replies
699 Views
"Unajua kwenye each one teach one hatupingi mikopo, lakini tunapinga aina ya mikopo na kile ambacho kinatumika kupitia hiyo mikopo. Yaani, hiyo mikopo ina impact gani kwa wananchi inayoeleweka. Ni...
62 Reactions
177 Replies
12K Views
Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza, Sir Harold Wilson aliwahi kusema, ''A week is a long time in politics''. Katika historia ya Tanzania, Dkt. Bashiru Ally kama inavyododoswa kwa sasa kurudi...
18 Reactions
124 Replies
17K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Baghayo Abdallah Saqware kuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA). Charles Jackson Itembe ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya...
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Dkt. Kedmon Elisha Mapana ameteuliwa kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Dkt. Mapana anachukua nafasi ya Bw. Godfrey Lebejo Mngereza ambaye amefariki dunia. Kabla ya Uteuzi...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Ilikuwa Juni 20,2018 kwenye hafla iliyoandaliwa na Watunga sheria kumuaga & kumkaribisha ( Abdulhaman Kinana & Dkt Bashiru Ally Kakurwa)
1 Reactions
16 Replies
3K Views
WAZIRI AWESO AMSIMAMISHA KAZI MENEJA WA RUWASA KARAGWE KWA KUSHINDWA KUSIMAMIA MIRADI Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso amemsimamisha Kazi Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijini...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Yaani kuna wenyeviti wa vyama vya siasa ambao hadi wamefanana na nembo za vyama vyao kwa jinsi walivyodumu madarakani. Mfano: 1. Mzee John Momose Cheyo 2. Prof Ibrahim Lipumba 3. Dr Augustino...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suhulu Hassan amesema kuwa Tanzania ni nchi ambayo Mwenyezi Mungu ameibariki neema nyingi sana. Amesema hayo wakati akitoa hotuba yake kwenye...
7 Reactions
42 Replies
3K Views
Back
Top Bottom