Mbeya: RC adai Mkoa huo hauna Malalamiko ya Tozo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,601
217,993
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mtukufu Juma Homela, amedai kwamba Kwenye Mkoa huo hakujawahi kuwa na wala hata sasa hakuna MALALAMIKO YOYOTE KUHUSU TOZO.

Amedai kwamba watu wa Mkoa huo hawana shida yoyote na Tozo , wanatoa tu na kwamba wanachojali ni ujenzi wa vituo vya afya na mambo mengine ya maendeleo .

Chanzo: EA TV
 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya , Mtukufu Juma Homela , amedai kwamba Kwenye Mkoa huo hakujawahi kuwa na wala hata sasa hakuna MALALAMIKO YOYOTE KUHUSU TOZO .

Chanzo : EA TV
Bujibuji Simba Nyamaume hebu fanya kama unajikuna mkuu.
 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya , Mtukufu Juma Homela , amedai kwamba Kwenye Mkoa huo hakujawahi kuwa na wala hata sasa hakuna MALALAMIKO YOYOTE KUHUSU TOZO .

Amedai kwamba watu wa Mkoa huo hawana shida yoyote na Tozo , wanatoa tu na kwamba wanachojali ni ujenzi wa vituo vya afya na mambo mengine ya maendeleo .

Chanzo : EA TV
tuwekee picha yake tumchambe
 
20220828_202940.jpg
 
Back
Top Bottom