Sabaya ndo atakaye angusha ufalme wa CCM

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Huyu kijana sabaya ndo atakaye angusha ufalme wa ccm Tanzania na siku hiyo mambo hayatokuwa raisi kama mnavyo fikiria
Kutuwa vurugo ndani ya INCHi
Maandamano kati ya serekali na raia wake
Uku serekali ikataa kuondoka madarakani
Na raia wakitaka serekali iondoke madarakani
Watu watatupwa jela kama mchanga wa bahari
Wengine watapigwa na kufa apo apo
Vyama vya upinzani vitaungana na ccm kupinga ushindi wa sabaya na chama chake
Kitu ambacho kitamfanya serekali za inchi zingine kuingilia kati na kuomba ccm wakubali matokeo tu ili kudumisha amani ndani ya INCHi

Na siku hiyo ndo utakuwa mwisho wa Tanganyika na Zanzibar

Nafikiri nimemaliza
Najua kuna watu watakuja kutukana
Wengine kuleta siasa wengine kukataa
Lakini hakuna kitakacho aribika
Utabiri ni uo uo na ni lazima utokee

Mungu awe nanyi wote
FB_IMG_1663157347428.jpg
 
Amka wewe usichafue kitanda,Sabaya ni nani nchi hii?.
 
Ye aendelee kuchezea ukuni wa nyampala huko rupango, akitoka atakua amelegea wana watakua wanajipigia tu
 
Huyu kijana sabaya ndo atakaye angusha ufalme wa ccm Tanzania na siku hiyo mambo hayatokuwa raisi kama mnavyo fikiria
Kutuwa vurugo ndani ya INCHi
Maandamano kati ya serekali na raia wake
Uku serekali ikataa kuondoka madarakani
Na raia wakitaka serekali iondoke madarakani
Watu watatupwa jela kama mchanga wa bahari
Wengine watapigwa na kufa apo apo
Vyama vya upinzani vitaungana na ccm kupinga ushindi wa sabaya na chama chake
Kitu ambacho kitamfanya serekali za inchi zingine kuingilia kati na kuomba ccm wakubali matokeo tu ili kudumisha amani ndani ya INCHi

Na siku hiyo ndo utakuwa mwisho wa Tanganyika na Zanzibar

Nafikiri nimemaliza
Najua kuna watu watakuja kutukana
Wengine kuleta siasa wengine kukataa
Lakini hakuna kitakacho aribika
Utabiri ni uo uo na ni lazima utokee

Mungu awe nanyi wote
View attachment 2356637
Yaani we mjane wa Sabaya,siku ukikala njaa asubui ukiamka unamkumbuka mume wako.
 
Acha vijana wajipakulie kiboga huko lupango ,kwakuwa aliwatendea wengine vivyohivyo...
 
Akikutwa na jinai ya mtindo wake sasa atafanyaje siasa?, au ndio hatataka kugombea kwenye uchaguzi, sasa ili iwejee?.

Ila hii ndoto [emoji38][emoji38]

AMKA MKUU!!
 
Huyu kijana sabaya ndo atakaye angusha ufalme wa ccm Tanzania na siku hiyo mambo hayatokuwa raisi kama mnavyo fikiria
Kutuwa vurugo ndani ya INCHi
Maandamano kati ya serekali na raia wake
Uku serekali ikataa kuondoka madarakani
Na raia wakitaka serekali iondoke madarakani
Watu watatupwa jela kama mchanga wa bahari
Wengine watapigwa na kufa apo apo
Vyama vya upinzani vitaungana na ccm kupinga ushindi wa sabaya na chama chake
Kitu ambacho kitamfanya serekali za inchi zingine kuingilia kati na kuomba ccm wakubali matokeo tu ili kudumisha amani ndani ya INCHi

Na siku hiyo ndo utakuwa mwisho wa Tanganyika na Zanzibar

Nafikiri nimemaliza
Najua kuna watu watakuja kutukana
Wengine kuleta siasa wengine kukataa
Lakini hakuna kitakacho aribika
Utabiri ni uo uo na ni lazima utokee

Mungu awe nanyi wote
View attachment 2356637
Pengine ni kweli

Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
 
wewe vipi?
 
Kuna mda naamini hii ripoti imekadiria idadi ndogo kutokana na contents za nyuzi humu JF
20220914_170842.jpg
 
Wacha karma imtafune. Na ingependeza kama paulo bashite naye yangemkuta kama haya yanayomkuta sabaya.

Wacha tuone content ya kuvuyia uchaguzi unaweza ukasikia jamhuri imemfikisha mahakamani Paulo christian makonda . Ccm kwa santuri hizi . Mtu pekee aliponapona kufikishwa mahakamaani na marehemu Mwendazake ni Mchechu na nahisi wagu wengi walimuombea kwa jiwe asimfikishe mahamakamani tena watu wa karibu na jiwe.
 
Back
Top Bottom