kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,666
- 4,365
Sifa kubwa ya kiongozi ni kujiamini.
Na hawa wa wili ni viongozi ambao mimi kwangu na amini ndo viongozi bora.
JPM: Huyu ni alikuwa kiongozi sijui ni seme ni wa aina gani hasa Ila sifa kubwa yake ni kujiamini.
JPM alikuwa anajiamini saana na wala hakuwa muoga kama viongozi wengine wa afrika yeye aliamini katika uwezo wake.
Nakumbuka kauli yake fulani ambayo alisema ni bora kuzikwa kaburini kuliko kuficha uozo unao tendeka katika Nchi hii.
Kwenye swala la corona wote mnajua alicho kifanya mwamba alisimama akasema akuna lockodown Tanzania.
Walijaribu kutikisa wanavyo jua mwamba alisimama akasema no lockdown in Tanzania.
Shirika la afya duniani lilipinga dawa ya covido kutoka Madagascar wakasema sio dawa Mwamba akasema hiyo hiyo ndo tunataka alituma ndege wakaenda kuchukuwa dawa inchi zingine walikuwa na uoga baada ya kuona Tz wameenda na wao wakatuma ndege zao.
Chanjo mwamba alisimama akapinga chanjo japo inchi nyingi walikuwa wana ogopa chanjo hizi ila walikuwa waoga kusema mwamba alisimama akasema chanjo hazifai. Kuna kipindi wapinzani walitaka kuleta za kuleta eti sijui maandamano sijui nini, Wote mnajua kilicho wakuta.
Kwenye swala la kutengeneza bwawa la nyerere kuna watu uko nje walisimama na kusema sijui mradi uo utaaribu mazingira, JPM alisema kwasababu hii inchi ni huru tutatengeneza.
Kwa ufupi sifa za JPM na Putin zina fanana wote ni watu ambao wanajiamini sio waoga wa kuanzisha kitu even if watu watasema vipi yeye akiamini anacho kifanya ni lazima afanye tu.
Na kingine JPM alijua atakufa nchi kitu ambacho watu wengi hawajui.
Na mwenyewe alisema kwa hatua hizi tunazo zichukuwa wakubwa wale hawa furahi wenyewe unajua kilicho wakuta viongozi wengine walipo jaribu kusimamia rasilimali za inchi zao kwa kauli hiyo tu jpm tayari alikuwa anajua ipo siku atakufa tu sasa ni juu yenu ninyi kujiuliza alikufa vipi?