Rais Samia kwa Mawaziri hawa Makamba, Mwigulu na Bashe Hatutoboi

nashicha

JF-Expert Member
May 29, 2021
279
517
Rais wetu wa Tanzania nakuomba uwaangalie hawa mawaziri kama wana nia na matarajio yako ya mbeleni au wana yao na wanajipanga kivyao maana wao kwania zao sioni wakikusaidia kwa dhati kutoka kwenye mioyo yao.

Kila kukicha sekta zao zinakushushia lawama kwa Watanzania.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Umewataja watoto pendwa! Ao hawaguswi maana wakiguswa wazazi wao watakasirika kama walivyokanuna awamu 5 wakaamzisha vijiwe vya kusengenya
 
Mkuu

Kama kk ya CCM imeona wanafaa ku push ajenda zao na ajenda zao ndio hizo we ni nani wa kuwaona hawafai!!?

Sio KILA mteule hufanya KWA matakwa ya watu bali KWA matakwa ya mteuzi na matakwa ya mteuzi Ndio Hayo!
 
Rais wetu wa Tanzania nakuomba uwaangalie hawa mawaziri kama wana nia na matarajio yako ya mbeleni au wana yao na wanajipanga kivyao maana wao kwania zao sioni wakikusaidia kwa dhati kutoka kwenye mioyo yao.

Kila kukicha sekta zao zinakushushia lawama kwa Watanzania.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Unataka awaweke Musukuma,Lusinde na Jah People au vipi!
 
Back
Top Bottom