kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,406
- 6,623
Japo.bado ana mda lakini matumaini ni kidogo.
Kikwete alituachia
A. Mazuri
1. Daraja la kigamboni
2. Chuo kikuu Dodoma
3. Chuo kikuu Nelson Mandela Arusha
4. Barabara mabasi ya mwendokasi
5.Ajira lukuki kwa graduates
6. Kushamiri kwa democrasia ya vyama vingi
B. Mabaya
1. Rushwa iliyokithiri
2. Ufisadi wa kutisha
3..kukithiri biashara madawa ya kulevya
Rais Magufuli.
A. Mazuri
1. Kutanua barabara ya kimara kibaha
2. Bwawa la kufua umeme
3. Train za mwendo kasi
4. Masoko na stend inchi nzima
5. Kupambana na rushwa
6. Kuongeza uwajibikaji
7.kupambana na mafisadi
8. Kuhamishia inchi dodoma
9. Kutanua uwanja wa ndege julius k Nyerere
B. mabaya
1. Mwanzo wa vitendo vya utekaji
2. Uminywaji wa democrasia na uhuru wa vyombo vya habari
3. Kupora chaguzi
Samia Suruhu Hasan
A. Mazuri
1. Mpaka sasa hakuna labda tumpe muda.
Mabaya
1. Rushwa kuongezek
2. Ufisadi uliokithiri
3. Kukithiri kwa vitendo vya utekaji vinavyofanywa na watu wanaohisiwa kufadiriwa na vyombo vya dora
4. Kupora uchaguzi
5. Mauwaji ya halaiki ya watanganyika tarehe 29/10/2025
Je, kuna kumbukumbu yoyote nzuri huyu Rais mwanamama atakuja kutuachia amalizapo mda wake?
..