Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 9,986
- 14,562
Ngoja ulie.Lete updates Mkuu
Siwezi kulia zaidi kumsema aone aibuNgoja ulie.
Sio kweli. Acha uongo!Hakuna anayefuatilia
Tena ni mfuatiliaji haswa!Wewe hapo unafuatilia
Una uhakika,Acha hizoHakuna anayefuatilia
UongoTena ni mfuatiliaji haswa!
Ifike mahala Kipanya apewe PhD ya heshima.
POleni sana. Nimesikia kisimgizio uchaguzi umekula pesa za ndani. Swali la kujiuliza hakukuwa na bajeti ya maswala ya uchaguzi mpaka kuathiri mambo mengine? Nchi masikini zikikumbwa na kitu kidogo tu Kila kitu kina cease.Maisha yameshapanda Bado anakwama kwenye mishahara ile ile.
Mimi sio mtumishi .ni ajira binafsi .labda uwape pole walimuPOleni sana. Nimesikia kisimgizio uchaguzi umekula pesa za ndani. Swali la kujiuliza hakukuwa na bajeti ya maswala ya uchaguzi mpaka kuathiri mambo mengine? Nchi masikini zikikumbwa na kitu kidogo tu Kila kitu kina cease.
Fikiria wababe wapo vitani na mambo yanaenda. Ukraine Iran Israel Iran USA Russia