UTANGULIZI
1. Kwanza kabisa, tunawashukuru kwa mwitikio na kufika kwenu kwenye mkutano huu muhimu. Leo tutazungumza masuala ya kitaifa kuhusu Ushiriki wa Watanzania katika Mradi wa Bomba kutoka...
Mh Freeman Mbowe ametutaka Watanzania tuache uwoga halafu yeye na Chama chake wanasusia Uchaguzi kwa kumuogopa Zitto kabwe na ACT wazalendo
Wanasiasa wa Chadema ni Watu wa ajabu sana
Alipokuwa waziri wa mambo ya ndani alitumia mbinu za kishushu kupambana na uhalifu wa kila namna.
Alikuwa akitoa siku saba majambazi kusalimisha silaha na walisalimisha.
Kura za siri zilitumika...
Habari ndugu wadau.
Nilisikiliza hotuba ya TUNDU LISU Sept 7 siku ya kumbukizi ya miaka 5 tangu jaribio la kutaka kumchomoa nafsi.
Katika hotuba yake ambayo kimsingi inavutia sana alitaja mambo...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevihimiza vyombo vya habari kuangalia uwezekano wa kutoa nafasi kwa tamthiliya, muziki na michezo zenye maudhui ya ndani ili kulinda utamaduni na nembo ya...
Hao vijana Wana nguvu za kutosha zilizokosa mpenyo ndio maana wanatusumbua mtaani!
Nchi yetu ina ardhi ya kutosha sana ya kuendesha kilimo na ufugaji,kamata vijana Hawa peleka jkt wakalijenge...
Nikili wazi Mimi ni mdau mkubwa wa masuala ya kiushirika, kwani ni miongoni mwa vijana tulio zaliwa na kuona kabisa jinsi ambavyo bibi zangu walivyopanga foleni kwenye maduka ya ushirika kununua...
Rais Wangu Samia nisikilize, umetegewa mtego, wanasubiri uuingie.
Wasalaam mama kipenzi Cha watanzania,
Natambua nitapokea matusi, kejeli na dhihaka nyingi kutoka Kwa makundi yaliyoandaliwa na...
Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kimazingira wakati wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima...
Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kiamzingira wakati wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwanza nikupe Hongera ya kuendelea kuaminiwa kuendelea kuwa RC wa DSM, Ni heshima kubwa kwako kwa kuwa Mkuu wa mkoa wa jiji la kwanza kiuchumi na kibiashara...
Mbunge wa Kawe mh Gwajima amesema maneno matupu ya RC Makalla hayatamaliza tatizo la Panyaroad
Gwajima amesema Wananchi wanaitaka kuona Panyaroad wanadhibitiwa na siyo kusikia maelezo ya mkuu wa...
Ulitaka kuielewa nguvu ya CCM ( Chama Dola) jaribu kuangalia Mfumo wa Kifalme unavyofanya Kazi Uingereza na nje ya UK
Nyerere aliiga/alirithi mambo mengi kutoka kwa Malkia Elizabeth baada ya...
1. Binadamu wote ni Sawa kila mtu ana Haki ya kutambuliwa na kuheshimiwa utu wake
2. Rushwa ni Adui wa Haki Sitatoa wala kupokea rushwa
3. Ujamaa na Kujitegemea ndio njia pekee ya kujenga...
Habarini!
Tusameheane kwa michango yetu inayotofautiana katika mada zingine, lakini sina jinsi lazima niendelee kuwepo jf....nalipenda mno hili jukwaa!
Kwenye hoja;
Ni huyu mngazaji wa star TV...
Wala hakuna shida yoyote, ni kutaka tu kujua Mzazi wa kiongozi wetu, aliyezaa Kiongozi mwema na mwenye maono namna hii ni yupi.
Nafahamu kwamba Oman wako wajomba zake , na zipo taarifa zao hapa...
Bandugu bapenzi,
Yule mwanasiasa mahiri na machachari katika upinzani wa kwanza kwanza yuko hai na kama yu hai yuko wapi kwa sasa na anajishughulisha na kitu gani?
Maana wakati ule alikuwa...
Wananchi jijini Arusha pamoja na abiria wanaotumia stand kubwa ya mabasi wamailalamikia uongozi wa jiji la Arusha kuwa wameshindwa kuwaletea mabadiliko kwa kuwajengea stand nyingine mpya ya kisasa...
Kwa kweli Jiji la Dar es Salaam ni jiji kubwa na maarufu sana Duniani, lina hadhi ya kipekee, siasa za kipekee, burudani na sarakasi za kipekee hasa kutoka kwa wakazi na Viongozi wa jiji hilo...