Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naangalia hapa BBC namna wanawake wa Irani wanavyopambana na Polisi wakionesha hasira zao baada ya mwanamke mwenzao kuuawa. Tukio hili linanikumbusha jinsi wabunge wanawake wa CHADEMA walivyokuwa...
1 Reactions
12 Replies
909 Views
Sijui kama nitaeleweka , ila nitajaribu kufafanua , ni hivi , kimsingi mwenye umri mkubwa siku zote huonekana ni mwenye busara na uwezo mkubwa wa kutafakari mambo , mara zote mtu wa namna hiyo...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndugu zangu hebu tuache ushabiki wa kivyama kidogo, tuweke siasa pembeni Kiukweli nchi ilikua inakwenda kuzama Awamu ya tano ilikua inaenda kulipeleka hili taifa kwenye ukabila na ubaguzi na...
66 Reactions
253 Replies
62K Views
Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imetangaza kufuta tozo tatu za miamala ya kieletroniki kuanzia Oktoba Mosi mwaka huu. Naipongeza serikali kwa kuwa sikivu na kuja na marekebisho...
2 Reactions
46 Replies
3K Views
Wenzetu kwenye masuala ya nchi zao Hawaleani au kuendekezana! Hata kama ulikuwa fulani utashulikiwa Uzi tayari Ova
7 Reactions
8 Replies
879 Views
Ndani ya mwezi mmoja yeye na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Tanga na yeye akiwa ndiye M/kiti wamefanikiwa kukamata mali za magendo zisizopungua thamani ya bilioni 4! Na inaonyesha...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Mjumbe wa CHADEMA mh Manyama amesema wanadai Katiba mpya kwa sababu hii iliyopo ni ya Chama kimoja Manyama amesema haiwezekani Mikutano inazuiwa kwa CHADEMA lakini akina Kinana, Chongollo na...
7 Reactions
51 Replies
3K Views
Akihojiwa na Esther Kahumbi wa BBC Dira ya Dunia mtaalamu wa Fedha Dr Gatui kutoka Kenya amesema Kodi Legevu ( Tozo) zimekataliwa sehemu mbalimbali barani Afrika siyo Tanzania pekee Dokta...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zinazokusanya mapato ya ndani kuanzia bilioni 5 kwa...
0 Reactions
1 Replies
744 Views
Mambo kadhaa yanatokea na unaona Rais anayaongelea hivi anapewa taarifa au yeye mwenyewe mkulu wa kaya anapita pita humu JF??
0 Reactions
9 Replies
708 Views
Shirika lisilo la Kiserikali la TWAWEZA East Africa limezindua ripoti ya matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi ulioangazia maoni na uzoefu wa Watanzania kuhusu hali ya taifa kati ya Oktoba...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Kuna mambo tungependa kuyajua kutoka kwa Serikali yetu tukufu lakini mule bungeni hakuna mwenye uthubutu na ushawishi wa kuyauliza Kadhalika kuna mapendekezo ambayo Wabunge makini huyatoa kwa...
5 Reactions
10 Replies
818 Views
Shirika lisilo la Kiserikali la TWAWEZA East Africa linafanya uzinduzi wa matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi. TWAWEZA itashirikisha umma matokeo hayo yenye uwakilishi wa kitaifa kutoka...
9 Reactions
40 Replies
5K Views
Ni kama "Mwamba" hayati John Joseph Pombe Magufuli unaweza kusema alikuwa na kajicho kaunabii fulani ndani ya mboni yake hasa pale analiposimama na kusisitiza zaidi ya mara tano katika majukwaa...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Wanabodi, Huku kwenye mitandao ya kijamii mjadala wa viongozi wetu kupandishwa basi moja ugenini jijini London, kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth, imeendelea kushika kasi, hivyo hili ni bandiko...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Mashimba Ndaki Waziri wa kwanza wa mifugo Tanzania tangu Uhuru kuanzisha utambuzi wa mifugo kielektroniki apongezwe na kutiwa moyo zaidi Nawasalimu kwa Jina la JMT, Tangu Tanzania ipate Uhuru...
17 Reactions
65 Replies
5K Views
Kwa heshima na taadhima ninalazimika kuuliza: Ni miye peke yangu nisiyemwelewa huyu ndugu ambaye anafahamika kama mwasisi kindaki ndaki wa tozo? "Gateway ya internet kuwa nje maana yake nini?"...
1 Reactions
5 Replies
789 Views
Serikali sikivu ya Rais Samia Suluhu baada ya kufanyia kazi maoni ya wananchi kuusu tozo sasa imekuja na njia zitakazofidia tozo njia moja wapo ni kupunguza matumizi ya serikali yasiokua na...
0 Reactions
24 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…