Mashimba Ndaki, Waziri wa kwanza wa mifugo tangu Uhuru kuanzisha utambuzi wa mifugo kielektroniki

Mwananchi Huru

JF-Expert Member
Nov 20, 2021
1,476
1,040

Mashimba Ndaki Waziri wa kwanza wa mifugo Tanzania tangu Uhuru kuanzisha utambuzi wa mifugo kielektroniki apongezwe na kutiwa moyo zaidi​

Nawasalimu kwa Jina la JMT,

Tangu Tanzania ipate Uhuru wake Dec 1961, Nchi hii haijawahi wala kujaribu kutambua mifugo yake kama ilivyo kwa Mataifa yaliyoendelea ya Uholanzi, Marekani, Norway etc ila Sasa Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wake Mashimba Ndaki.

Kwamsiofahamu mpaka naandika waraka huu kuna zaidi ya halmashauri asiliamia 50 zinaendelea na utambuzi wa mifugo yao kwa kuzivisha ngo'mbe, mbuzi, kondoo na punda hereni za kielectronic. Hii ni heshima kubwa kwa Rais na Taifa kwa ujumla wake.

Tofauti na Mawaziri wengine wengi waliotangulia Mashimba Ndaki ni mtu mnyenyekevu na mpole sana tena sio mtu wa kujivuna wala kujiona bora kutokana na cheo wala kujikweza kwa chochote zaidi ya unyenyekevu alionao kwa Mungu wake.

Huenda ni kutokana na upole wake huu na kutopenda mambo ya media sana Waziri huyu amekuwa akifanyiwa hujuma nyingi hasa humu mitandaoni kama nilivyoonesha hapo chini ili kuoneshwa kwa Rais kuwa Waziri huyu hafai ila Dkt. Kalemani au mwingine kama hayo mabandiko yanavyotanabaisha.

Tujiulize tu, Hivi hao walioshindwa hizo wizara nyingine wataiwezaje hii?

Kwa unyenyekevu mkubwa, naomba wasaidizi wa Mhe. Rais wetu kipenzi mmwambie kuwa Waziri Mashimba Ndaki ndio Waziri wa kwanza wa mifugo hapa Tanzania tangu tupate uhuru anayetambua mifugo kielectronic ili iweze kukidhi sharti la kuuzwa nje hasa baada ya Rais Samia Suluhu Hassan mwenyewe kufungua biashara ya mifugo na nchi za Falme za Kiarabu.

Kama kuna mtu anatamani Waziri Mashimba aondolewe hiyo wizara, asahau, sisi wafugaji na wavuvi tunamuhitaji sana kuliko pengine yeye anavyouhitaji huo uwaziri wake na ndio sababu ya kupaza sauti kukanusha nia hizi ovu za wasaka madaraka hawa.

Tunahitaji maendeleo sio maneno maneno, tunahitaji watu waadilifu na waaminivu kama huyu.

Pili, tukiacha chuki, hebu angalia Waziri Mashimba Ndaki alivyoituliza na kuimaliza kabisa migogoro ya wakulima na wafugaji kama hujui hili nenda mkoa wa Morogoro utaelewa ninachosema hapa.

imeandikwa "Nanyi mtanyamaza kimya kwakuwa mtetezi wenu yu-hai "

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki Rais Samia
Mungu Mbariki Waziri Mashimba
 
ONA HAYA MAJUNGU,HIZI NYUZI ZOTE NI ZA MTU MMOJA ANAYETAKA NAFASI YA UWAZIRI KWA UFITINI NA UONGO.

👇👇

Nawasalimu kwa Jina la JMT,

Tangu Tanzania ipate Uhuru wake Dec 1961 nchi hii haijawahi wala kujaribu kutambua mifugo yake kama ilivyo kwa Mataifa yaliyoendelea kama Uholanzi, Marekani, Norway etc,

Mpaka naandika waraka huu kuna zaidi ya halmashauri 100 zinaendelea na Utambuzi wa mifugo yao kwa kuziwekea hereni za kielectronic,

Tofauti na Mawaziri wengine wengi Mzee Mashimba Ndaki ni Mnyenyekevu na Mpole Sana tena sio mtu wa kujivuna kutokana na Cheo wala kujikwaza kwa Chochote,

Kutokana na Upole wake na kutopenda Mambo ya Media Sana Waziri huyu amekuwa akifanyiwa hujuma nyingi ili kuonesha kwa Rais kuwa Mzee huyu hafai,

Hao walioshindwa hizo wizara nyingine watawezaje hii?

Naomba wasaidizi wa Rais wetu kipenzi mmwambie kuwa Mzee Mashimba Ndaki ndio Waziri wa kwanza wa mifugo tangu uhuru anayetambua mifugo kielectronic ili iweze kukidhi Sharti la kuuzwa nje hasa baada ya Rais Samia Suluhu Hassan mwenyewe kufungua biashara ya mifugo na nchi za Falme za kiarabu,

Kama kuna mtu anatamani Mzee Mashimba aondolewe hiyo Wizara, asahau huyu Waziri tunamuhitaji Sana kuliko pengine yeye anavyouhitaji huo uwaziri wake,

Tunahitaji maendeleo sio maneno maneno,

Pili, Angalia alivyotuliza na kumaliza kabisa migogoro ya wakulima na wafugaji kama hujui hili nenda Mkoa wa Morogoro utaelewa ninachosema hapa,

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki Rais Samia
Mungu Mbariki Waziri Mashimba
Naona Chawa wake mnajitahidi kumtetea asitumbuliwe 😁😁.

Siasa na ucha Mungu wapi na wapi?
 
Hamna chochote kwa huyo Bwana simkubali na napenda kujitutumua sana lakini Hana lolote, mheshimiwa rais Kama vipi apigechini huyu mtu ili tupate mwingine anayefaa kukamata hii wizara
 
Nani anapenda kujitutumua, Are serious?

Unamfahamu huyu Mzee?
 
Nawasalimu kwa Jina la JMT,

Tangu Tanzania ipate Uhuru wake Dec 1961 nchi hii haijawahi wala kujaribu kutambua mifugo yake kama ilivyo kwa Mataifa yaliyoendelea kama Uholanzi, Marekani, Norway etc ila Sasa Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri Mashimba Ndaki.

Mpaka naandika waraka huu kuna zaidi ya halmashauri 50% zinaendelea na Utambuzi wa mifugo yao kwa kuziwekea Ngo'mbe,Mbuzi,kondoo na Punda hereni za kielectronic.

Tofauti na Mawaziri wengine wengi huyu Mashimba Ndaki ni Mnyenyekevu na Mpole Sana tena sio mtu wa kujivuna au kujiona bora kutokana na Cheo wala kujikweza kwa Chochote zaidi ya Unyenyekevu kwa Mungu wake,

Huenda ni kutokana na Upole wake na kutopenda Mambo ya Media Sana Waziri huyu amekuwa akifanyiwa hujuma nyingi ili kuoneshwa kwa Rais kuwa Waziri huyu hafai ila Dkt Kalemani au Mwingine,

Hao walioshindwa hizo wizara nyingine watawezaje hii?
Kwa unyenyekevu Sana, Naomba wasaidizi wa Rais wetu kipenzi mmwambie kuwa Waziri Mashimba Ndaki ndio Waziri wa kwanza wa mifugo hapa Tanzania tangu uhuru anayetambua mifugo kielectronic ili iweze kukidhi Sharti la kuuzwa nje hasa baada ya Rais Samia Suluhu Hassan mwenyewe kufungua biashara ya mifugo na nchi za Falme za kiarabu,

Kama kuna mtu anatamani Waziri Mashimba aondolewe hiyo Wizara, asahau, Sisi Wafugaji na wavuvi tunamuhitaji Sana kuliko pengine yeye anavyouhitaji huo uwaziri wake,

Tunahitaji maendeleo sio maneno maneno,

Pili, Angalia Waziri Mashimba Ndaki alivyotuliza na kumaliza kabisa migogoro ya wakulima na wafugaji kama hujui hili nenda Mkoa wa Morogoro utaelewa ninachosema hapa,

imeandikwa "Nanyi mtanyamaza kimya kwakuwa mtetezi wenu yu-hai "

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki Rais Samia
Mungu Mbariki Waziri Mashimba
Yes huyu Mzee ni Mtu sahihi Sana,
 
Mashimba tunaye Sana, Mungu ibariki Tanzania,
 
Mashimba yule mchamungu Sana aise, aishi milele
 
Zoezi hilo limefanyika kwa mujibu wa sheria ya bunge nambari 12 ya mwaka 2010.

Sheria ya UTAMBUZI, USAJILI na UFUATILIAJI wa MIFUGO.
Kwa kimombo inaitwa Livestock Identification, Registration and Traceability Act, 2010.
Screenshot_20220906-164259_All Document Viewer.jpg
 
Kwa anayetaka kwenda "kuisomea nyumbani" sheria anayoitekeleza Mh. Waziri na wizara yake, iko hapa chini.
 
Attachments

  • sw1619685333-IDENTIFICATION ACT 2010.pdf
    320.8 KB · Views: 6
Nawasalimu kwa Jina la JMT,

Tangu Tanzania ipate Uhuru wake Dec 1961 nchi hii haijawahi wala kujaribu kutambua mifugo yake kama ilivyo kwa Mataifa yaliyoendelea kama Uholanzi, Marekani, Norway etc ila Sasa Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri Mashimba Ndaki.

Mpaka naandika waraka huu kuna zaidi ya halmashauri 50% zinaendelea na Utambuzi wa mifugo yao kwa kuziwekea Ngo'mbe,Mbuzi,kondoo na Punda hereni za kielectronic.

Tofauti na Mawaziri wengine wengi huyu Mashimba Ndaki ni Mnyenyekevu na Mpole Sana tena sio mtu wa kujivuna au kujiona bora kutokana na Cheo wala kujikweza kwa Chochote zaidi ya Unyenyekevu kwa Mungu wake,

Huenda ni kutokana na Upole wake na kutopenda Mambo ya Media Sana Waziri huyu amekuwa akifanyiwa hujuma nyingi ili kuoneshwa kwa Rais kuwa Waziri huyu hafai ila Dkt Kalemani au Mwingine,

Hao walioshindwa hizo wizara nyingine watawezaje hii?
Kwa unyenyekevu Sana, Naomba wasaidizi wa Rais wetu kipenzi mmwambie kuwa Waziri Mashimba Ndaki ndio Waziri wa kwanza wa mifugo hapa Tanzania tangu uhuru anayetambua mifugo kielectronic ili iweze kukidhi Sharti la kuuzwa nje hasa baada ya Rais Samia Suluhu Hassan mwenyewe kufungua biashara ya mifugo na nchi za Falme za kiarabu,

Kama kuna mtu anatamani Waziri Mashimba aondolewe hiyo Wizara, asahau, Sisi Wafugaji na wavuvi tunamuhitaji Sana kuliko pengine yeye anavyouhitaji huo uwaziri wake,

Tunahitaji maendeleo sio maneno maneno,

Pili, Angalia Waziri Mashimba Ndaki alivyotuliza na kumaliza kabisa migogoro ya wakulima na wafugaji kama hujui hili nenda Mkoa wa Morogoro utaelewa ninachosema hapa,

imeandikwa "Nanyi mtanyamaza kimya kwakuwa mtetezi wenu yu-hai "

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki Rais Samia
Mungu Mbariki Waziri Mashimba
Naona Kalemani anavizia uteuzi tayari,
 
Back
Top Bottom