Natamani Wabunge wa Chadema " original" waende bungeni walau kwa Siku 3 tu wakatunyooshee mambo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,140
Kuna mambo tungependa kuyajua kutoka kwa Serikali yetu tukufu lakini mule bungeni hakuna mwenye uthubutu na ushawishi wa kuyauliza

Kadhalika kuna mapendekezo ambayo Wabunge makini huyatoa kwa Serikali na hasa hutolewa na Kambi ya upinzani

Ndiposa nimewakumbuka kea ghafla Suzan Kiwanga, Godbless Lema, Tundu Lisu, Freeman Mbowe, J J Mnyika na Sugu kadhalika John Heche

Chadema ya 2015 ilitisha sana!
 
Ndiposa nimewakumbuka kea ghafla Suzan Kiwanga, Godbless Lema, Tundu Lisu, Freeman Mbowe, J J Mnyika na Sugu

Chadema ya 2015 ilitisha sana!
Uchaguzi ujao sio tuu itatisha ila itakamatia uskani🤔 Kwani siyokwa mnayotufanyia kuwa Linda Covid-19 na kututoza Ili mpate kuwalipa🏃
 
Kuna mambo tungependa kuyajua kutoka kwa Serikali yetu tukufu lakini mule bungeni hakuna mwenye uthubutu na ushawishi wa kuyauliza

Kadhalika kuna mapendekezo ambayo Wabunge makini huyatoa kwa Serikali na hasa hutolewa na Kambi ya upinzani

Ndiposa nimewakumbuka kea ghafla Suzan Kiwanga, Godbless Lema, Tundu Lisu, Freeman Mbowe, J J Mnyika na Sugu

Chadema ya 2015 ilitisha sana!

Chadema ile ilikuwa moto sana bila kusahau nondo za Zitto Kabwe, kiasi kwamba upinzani ulionekana umeiva na wapo tayari kushika hatamu ya nchi. IMANI HIO ILIKUWEPO

Ila noti za Lowassa zikawaelemea na kuwachimbia kaburi la kisiasa, kikafuatia kishindo cha Mwamba JPM kuwazika kabisa chadema ktk umaarufu na ukubalikaji wa kisiasa

Hivi sasa Chadema kwa wananchi wengi walio-smart wanakiona na kukihitaji chama hiki kwa kupiga piga tu kelele za kuwafanya CCM NA SERIKALI wasilale usingizi wa pono, ila sio kudhani tena kama KINAWEZA KUWA MBADALA WA CCM KTK KUSHIKA HATAMU YA NCHI,,, Imani hio kwasasa imekufa
 
John Mnyika alikaa Jimbo la Kibamba miaka 10 hakuna maendeleo, leo hii ndani ya Mwaka 1 tu barabara za lami zinatandazwa ktk kila kona ya Jimbo.

Hatutaki maneno yasiyokuwa na vitendo.
 
Kuna mambo tungependa kuyajua kutoka kwa Serikali yetu tukufu lakini mule bungeni hakuna mwenye uthubutu na ushawishi wa kuyauliza

Kadhalika kuna mapendekezo ambayo Wabunge makini huyatoa kwa Serikali na hasa hutolewa na Kambi ya upinzani

Ndiposa nimewakumbuka kea ghafla Suzan Kiwanga, Godbless Lema, Tundu Lisu, Freeman Mbowe, J J Mnyika na Sugu kadhalika John Heche

Chadema ya 2015 ilitisha sana!
Bila kumsahau Mchungaji Msigwa
 
Back
Top Bottom