Kwa heshima na taadhima ninalazimika kuuliza:
Ni miye peke yangu nisiyemwelewa huyu ndugu ambaye anafahamika kama mwasisi kindaki ndaki wa tozo?
"Gateway ya internet kuwa nje maana yake nini?" Nani aliipeleka huko? Inarudishwa vipi hiyo nchini?
Au kwa nini anaumia mno makqmpuni ya simu yanapofanya biashara kiasi cha yeye kuona ni heri badala yake serikali ingekuwa ikivuna tozo humo?
Zungu aibua mapya suala la tozo?
"Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Hassan Zungu amesema kuna utamaduni unaojengwa wa kuipiga dongo Serikali kuhusu tozo za miamala ya kieletroniki wakati kuna watu wanachukua fedha nyingi kuliko Serikali."
Kwani kwanini yeye anatamani mno serikali kuvuna hata isipopanda?
Kwa nini yeye hapendekezi wabunge (akiwamo yeye na wote wengine) kulipa kodi stahiki tu?
Mwongozo wenu tafadhali.