Rais Samia Anapitiapitia JF

Rais Samia Anapitiapitia JF

Google Diggers

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
944
Reaction score
1,147
Mambo kadhaa yanatokea na unaona Rais anayaongelea hivi anapewa taarifa au yeye mwenyewe mkulu wa kaya anapita pita humu JF??
 
Kwani unaona Rais ni Malaika?
Yule kuna ndugu zake wanamvimbia vizuri tu
 
Hold on zeazea tuonyeshe.
20220921_100450.jpg
 
Yale macho yake yale lazima yanasoma yale!

Pia atakuwa na chawa wake wanampa taarifa juu ya kinachoendelea humu!!

KWA hiyo anafanyiwa tathmini ya mapokeo ya mipango ya serikali yake KWA WANANCHI kupitia media kama humu JAMVINI!!
 
Viongozi wote wapo humu kasoro mzee wa maji ya maiti tu ndio anatumia Nokia kitochi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom