1. Hii aibu ya Mwigulu na Tax Revenue Appeals Board (TRAB) and Tax Revenue Appeals Tribunal (TRAT) haya natabiri yanaweza kutokea
1. Kuondoa bunge live kuwaepusha na aibu CCM na wateule wa Rais...
Kibano dhidi ya kampuni au shirika linalofanya makosa ya ufichuaji wa taarifa binafsi, ikiwamo kuuza taarifa sasa kinanukia baada ya serikali kupendekeza bungeni kutungwa sheria itakayokuwa na...
Nina uhakika asilimia zote CCM kwa maslahi yake inamuunga mkono yule binti Katibu Mkuu wa NCCR MAGEUZI ili kuleta mgogoro ili Mbatia afukuzwe na kubaki NCCR yenye u CCM ya hewala boss.
Sote...
Mwezi Machi 2017 Serikali ya Tanzania na Mkuu wa Barrick, Prof John Thornton waliutangazia umma kuwa Barrick imekubali kulipa USD Milioni 300 kama kishika uchumba ambapo baadae serikali ingekuwa...
Askofu Bagonza ashauri viongozi na wananchi wanavyo paswa kuishi wakati mgumu kama huu, jee hawa viongozi wetu wa hapa wanaweza kuelewa au watadharau?
SOLAR PANELS ZAADIMIKA ULAYA
Majira ya...
Kuwa kiongozi maana yake ni kubeba dhamana ya raia wako ili hatimaye uwaelekeze sehemu yenye neema kimaisha, hapa namanisha kiongozi ndiyo muoneshaji na mwongozaji wa njia kwa raia zake.
Kabla ya...
Wanabodi,
Tangu baada ya Barrick kutangaza kuninunua Acacia, kumeibuka mijadala ming huku kwenye mitandao ya kijamii kuhusu suala hili, huku baadhi ya wanasiasa waki capitalize kwa kutafuta...
Nimesikitishwa Sana na chuo changu kusikia eti wanatanya tafiti kuhusu uchawi na Imani za kishirikina!
Hilo ni jukumu la viongozi wa kiroho kulifanyia sio wao.
Sasa hivi kuna majanga makuu...
Historia inaonyesha kuwa orodha ya viongozi mashuhuri Duniani imejawa na watu wanaopenda kufanya mageuzi chanya yenye kuleta mabadiliko. Rais Samia naye ameonyesha kwa vitendo kuwa aina ya...
Ni kawaida Kusikia Viongozi wakubwa wakiwatolea Mifano Viongozi waliowalea kiuongozi.
Wapo wanaotolewa mifano mizuri na wanaotolewa mifano isiyo mizuri.
Viongozi mliopo kwenye nafasi Serikalini na...
Naona suala la kuhamia Dodoma ulikuwa uamuzi wa mtu mmoja na kwa kuwa aliyeamua hayupo tena na waliopo hawakushirikishwa nashauri turudi Dar mpaka hapo uamuzi utakapokuwa wa nchi nzima.
Juzi...
Watanzania ni watu wa ajabu sana, nakumbuka baada ya tume ya Mruma kusema tunawadai Acacia zaidi ya trl.108 za Makinikia, kiongozi wa Barrick Gold Corporation "Executive Chairman" Mr.Thornton John...
Wanabodi,
Acacia leo wametoa Press Release nyingine
https://www.acaciamining.com/media/press-releases/2019/2019-04-25.aspx
kuzungumzia mapato ya Robo Mwaka. Kwenye issue ya mazungumzo kati ya...
Wanabodi,
Leo tena nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa maslahi ya Taifa, nikiendelea kujikita katika ulinzi wa rasilimali zetu dhidi ya hadaa na ulaghai tunaotaka kufanyiwa na...
KUFURAHIA TOZO KUFUTWA NI KUFURAHIA UMASIKINI
Na. Habibu Mchange
Ni bahati mbaya sana jambo jema la Tozo limetafsiriwa tofauti na kugeuzwa agenda hasi dhidi ya serikali
Sijui kama tunafurahi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika ziara ya Kiserikali nchini Msumbiji leo tarehe 21 Septemba, 2022.
Rais Samia ametaka ushirikiano wa ulinzi baina ya...
Wageni wanaotembelea Banda la Tanzania katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii yanayoendelea nchini Japan wakiangalia Filamu ya "The Royal Tour"
Tanzania imetumia Maonesho ya Kimataifa ya Utalii...