Mhe. Zitto, hongera kwa uzalendo, sema ukweli usipotoshe, hakuna mkataba uliosainiwa, kilichopo ni draft tuu na kuwa initialed sio kusainiwa!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,466
113,548
Wanabodi,
Tangu baada ya Barrick kutangaza kuninunua Acacia, kumeibuka mijadala ming huku kwenye mitandao ya kijamii kuhusu suala hili, huku baadhi ya wanasiasa waki capitalize kwa kutafuta political scores na political capitalization kuhusu jambo hili, kwa kutumia baadhi ya hoja za ukweli, kuchanganya na uongo na hata kutumia upotoshaji wa makusudi kama kuaminisha watu kuwa huu mkataba umeisha sainiwa just for political gain and political caitalization kwa upotoshaji wa makusudi au wa bahati mbaya kutokana na kutokutafsiri vizuri lugha ya Malikia.

Sijitapi kuwa mimi ndie mtu wa kwanza kuleta hii breaking news ya Acacia kununuliwa, na ni miongoni mwa wana jf tulioandika sana kuhusu hili, na kunapotokea mambo yahusuyo lugha za watu, to be on a safe side na lugha za watu, huwa ninaweka source ili mtu ukajisomee mwenyewe, hivyo hili ni bandiko sio la kumkosoa Mhe. Zitto kwa upotoshaji bali ni bandiko elimishi kuhusu hizi lugha za watu, huku nikimuomba yeye na wafuasi wake wasikasirike bali wachukulie positive tuu kwasababu hizi kama lugha za watu zinatutatiza wengi tuu mimi nikiwemo na hata baadhi ya
wasomi wetu hadi baadhi ya ma Ph.D wetu kuanzia ile 1st Class ya LL.B ya Sheria ya UDSM yenye GPA ya 4.9 na ile Ph.D ya Kemia ya Ben Saanane, hii lugha ya malikia ni tatizo na kwenye hili imesumbua, watu waliambiwa tutagawana 50/50 ya Economic Benefits, wakatueleza ni 50/50 ya net profits!.

Mhe. Zitto naye kaona Draft Agreement ikaelezwa imekuwa initialed, kaibuka kuwa ni mkataba umesainiwa!, kakwe draft agreement ni mkataba, na kuwa initialed kwake ni kusainiwa!, hizi lugha za watu jamani, zisitufanye kuonekama waongo na wapotoshaji, tuwe wakweli daima, tell the truth and the truth will set you free!.

Naomba tuanzie kwenye bandiko langu kuhusu jambo hili

Kwenye bandiko hili, niliweka links za Barrick na Acacia.

Ndipo Mhe. Zitto naya akaibuka na bandiko lake, japo hoja zake kwa asilimia kubwa ni za kweli, lakini pia kuna asilimia ndogo ya kutokuwa sahihi na upotoshaji kama kupotosha kuwa makubaliano yamesainiwa!, hakuna makubaliano yaliyosainiwa!.
MAKUBALIANO YA SERIKALI NA BARRICK GOLD CHANGA LA MACHO

Kiambatanisho namba 4 kimeweka muhtasari wa kinachoitwa ‘Material Terms’ katika Makubaliano ya awali kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Barrick Gold ambayo yamesainiwa (INITIALED) mwezi Mei mwaka huu. Kimsingi Barrick imelazimishwa na kanuni za masoko ya mitaji kuweka wazi makubaliano hayo. Ni masikitiko makubwa kuwa Serikali yetu haijathubutu hata kuliambia Bunge kuwa kuna makubaliano ya namna hiyo wakati wa Bunge la Bajeti, imesaini kwa siri kama ulivyosainiwa mkataba wa Buzwagi.

Ikumbukwe kuwa makubaliano hayo yamesainiwa wakati Bunge likiwa linaendelea na mkutano wake jijini Dodoma. Sisi kama wawakilishi wa Wananchi imebidi kusubiri masoko ya mitaji ya ‘MABEBERU’ wa London yaweke wazi masuala yanayohusu nchi yetu.

Ingekuwa nchi nyengine, Makubaliano haya ya KIMANGUNGO kati ya Serikali ya Rais Magufuli na Kampuni ya Barrick, ingetosha kuiondoa Serikali madarakani. Rais John Magufuli na Waziri Palamagamba Kabudi wameuza nchi yetu kwa kipande cha dhahabu. Wamelihujumu Taifa.

Kabwe Z.Ruyagwa Zitto
Kiongozi wa Chama, ACT Wazalendo
Vuga, Zanzibar
Julai 20, 2019
Mkuu Mhe. Zitto, kwanza asante kwa bandiko hili na uzalendo wako kwa nchi yako. Kwa vile mimi ni miongoni wa wana jf ambao tumeandika sana kuhusu hili, nitachangia baadhi ya vipengele with reference ya nilisema nini, nilishauri nini na kulinganisha na kilichotokea ni nini, but with due respect, na wasiojua lugha ya Malikia, ni kwa heshima na taadhima, tuwe wakweli toka ndani ya nafsi zetu, tuache upotoshaji, just tell the truth and the truth will set you free, sii kweli kuwa mkataba huu umeisha sainiwa!, hilo neno (INITIALED) sio kuonyesha kuwa umesainiwa, bali katika mikataba, kunatakiwa signatories watie initials zao kwenye kila page ya draft kuonyesha wameelewa, lakini draft ni draft na mkataba ni mkataba!, ku INITIALED sio kusaini.

Hicho kiambanisho 4 ni draft, na mimi nimekiweka kwenye bandiko langu la tangazo la kifo cha Acacia
na nikasisitiza,
Huu ndio utakuwa ushindi wa kwanza wa kishindo wa rais Magufuli na awamu ya Tano kwa kuanza rasmi utekelezaji wa kwanza wa sheria mpya ya madini.
Hongera Kabudi, Hongera Magufuli, Hongera Watanzania, ila kwenye makinikia, bado kuna lakini!.
Leo tupongezane kwanza, lakini tuzijadili baada ya kusainiwa makubaliano yenyewe!.
Paskali
Hatuwezi kusema kila kitu mpaka baada ya kusainiwa kwa makubaliano hayo, na nikasisitiza kwenye makinikia kuna lakini sikuiweka hiyo lakini kwa sababu bado hatujaona makubaliano yaliyofikiwa, as of now hayo ni mapendekezo tuu, yaani draft, siku zote drafts zote huwa ni tentative, inaweza kubadilika, hivyo naomba kusisitiza katika hili tuwe wakweli, tuvute subra na tutumie ukweli, tuache upotoshaji!. Japo pia nakiri bandiko la Zitto litasaidia sana to shape the real agreement for a better deal.

Sijamuita Zitto mpotoshaji, nimesema kwenye hoja zake kuna upotoshaji. Kwa vile Zitto namfahamu fika toka enzi zetu za UDSM, hivyo naifahamu intelect ya Zitto, haiwezekani katika kiambatanisho hicho, awe hayajaona maneno haya
"Appendix 4 Summary of the material terms of the current draft documentation under discussion (but not yet finalised) with the GoT The discussions between Barrick and the GoT have advanced to the point where draft documentation was initialled by the GoT on 19 May 2019". Hapa maana yake hii ni draft tuu imekuwa initialled na GOT lakini haijawa finalized, kwa Zitto ninayemjua mimi, haiwezekani Zitto awe hakuyaona maneno haya.

Kwenye document hiyo, kuna maneno ya capital letters na bold
"THERE IS NO CERTAINTY THAT THE TRANSACTION DOCUMENTS WILL BE AGREED WITH THE GOT IF THE SCHEME BECOMES EFFECTIVE AND THE TERMS OF THE FINAL FORM OF TRANSACTION DOCUMENTS, IF AGREED, MAY DIFFER FROM THOSE SUMMARIZED BELOW."
Siamini kuwa Zitto hakuyaona maneno haya, kwa wasio jua lugha ya Malikia ni "hakuna uhakika kama makubaliano haya yatakubaliwa na GOT, na hata yakikubaliwa, yanaweza kuwa ni tofauti na kilichokubaliwa hapa!. Hivyo Zitto kusema ni mkataba umesainiwa, huu sio sahihi, ni upotoshaji kwa makusudi tuu sio kuwa hakuona mistari hiyo!.

Kwenye kipengele cha 11 cha makubaliano hayo kinasema wazi kuwa
"11. The conditions set out in (a) to (g) of paragraph A10 above may be waived by the Acacia parties and the conditions set out in (h) to (i) of paragraph A10 above may be waived by the GoT. "
Hapa wanasema masharti ya mkataba huu yaliyowekwa kwa ibara ya 10, yanaweza kukubaliwa au kukataliwa na Acacia, au na GOT kuthibitisha kuwa makubaliano haya sio final and conclusive, haiwezekani Zitto ninayemjua mimi, hakuliona hili!.

Kipengele cha 12 kinasema
"12. Those provisions which are stated to become effective on signing of the Framework Agreement"
Hapa kwa lugha ya Malkia ni masharti hayo, yatatakiwa kutekelezwa baada ya kusaibiwa kwa makubaliano hayo, bado hakuna makubaliano yoyote yaliyosainiwa!. Siamini kuwa Zitto hakuliona hilo.

Kwenye kiambatisho hicho kuna hii para
"The discussions between Barrick and the GoT have advanced to the point where draft documentation was initialled by the GoT on 19 May 2019, albeit with a number of substantive issues still outstanding which are subject to further discussion. Whilst a basis for settlement has been developed, the terms have not yet been finalised"
Naamini kabisa Zitto anajua maana ya maneno hayo, hawa jamaa wanasema bado kuna issues ni still outstanding na zinahitaji majadiliano zaidi.

Sasa ili kumtendea haki Mhe. Zitto, naomba kuziweka hoja zake zote 5 na kusema hoja zipi ni za kweli na hoja zipi ni za upotoshaji tuu.

1. Dola Milioni 300 za kumaliza mgogoro KIINI MACHO

Serikali imekubaliana na Barrick kuwa italipwa Dola milioni 300 (wastani wa TZS 700 Bilioni) kama malipo ya kumaliza mgogoro wote (full, final and complete settlement) na SIO kishika uchumba kama Serikali ilivyoeleza umma. Barrick watalipa fedha hizi kwa muda wa MIAKA 7 na zitakuwa ni baada ya kuondoa madai yote ya kodi ambayo Acacia inaidai Tanzania.

Itakumbukwa kuwa Acacia Group ina madai ya marejesho ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT refunds) inayofikia takribani Dola za Marekani milioni 240 (wastani wa 552 Bilioni). Hivyo katika malipo ya Dola za Marekani Milioni 300, zitakazobakia baada ya kutoa madai ya VAT refunds ni Dola Milioni 60 (wastani wa 138 Bilioni) tu. Kama tutakavyoona katika hoja ya pili hapa chini hata hizi Dola za Marekani Milioni 60 kimsingi hazitatolewa.

Kwenye hoja hii Zitto kuna sehemu amesema kweli, hapa tumepigwa. lakini kuna sehemu Zitto sio tuu hakusema kweli bali amepotosha. Kwa vile Mhe. Zitto ni Mbunge akisema kitu ndipo watu wanakizingatia na kukitilia maanani, hivyo hii observation ya Zitto will make a big impact kwenye the final draft. Na hili la dola milioni 300 ndio kalipotosha wakati sisi akina kajamba nani, ma lumpen proletariat' hili tuliliona kitambo na tukalisemea sana humu, because we are nobody, no one heard lakini sasa kulisemea Zitto, kila mtu atasikia.

Baada ya Barrick kuinunua Acacia, ni kweli tutalipwa kifuta machozi cha dola milioni 300, sii kweli kuwa malipo haya yatatolewa baada ya kuondoa VAT refund, bali kweli kuwa malipo haya yatalipwa katika kipindi cha miaka 7.
Tukiisha saini tuu mkataba, tutalipwa upfront ya dola milioni 100. Hivyo hoja ya Zitto kuwa kwenye dola milioni 300, tutaambulia dola milioni 60 sii kweli. Ile siku Barrick wanakuja kusaini mkataba, ile kuangusha tuu wino kusaini, kitita cha dola milioni 100 kinawekwa mezani as upfront payment kama ilivyoelezwa hapa
"There will be an initial upfront “payment” by way of assignment to the GoT of minerals contained in containers at Dar es Salaam port with a value of US$100 million". Shilingi milioni 200 zilizobakia, ndizo zitalipwa katika mikupuo 6 ya dola milioni 33.33 kwa mwaka katika miaka 6.

Pamoja ya Zitto kutokuwa mkweli, lakini ukweli wa Zitto kuwa tunapigwa uko pale pale. Tunapigwa kwa sababu hizi dola milioni 300, tuliahidiwa as goodwill money, hasikupaswa kuwa conditional wala hazikupaswa kulipwa kido kidogo, zilipaswa kulipwa there and then.

Kitu cha pili kwa vile hiki kilikuwa ni kishika uchumba tuu na kuonyeshea goodwill ya kulipia mahari kamili ya binti yetu ambayo ni dola bilioni 190, lakini serikali yetu imesamehe mahari yote, na kile kishika uchumba sasa ndio kigeuzwa kifuta machozi, hapa sasa ndipo tulipopigwa!. Hapa nilishauri serikali yetu lazima itufafanulie Watanzania the basis ya msamaha huu.

Kwenye hili kiukweli mimi nimelisema sana humu.
Nchi ya kusadikika na kisa cha binti Mfalme aliyebakwa; Baba wa ...
Dola milioni 300, siku 90, sentano kipande haijalipwa! acacia ...
Hatari ya kulizwa? Acacia waanza kufungasha kiana, wauza mgodi ...
Je, wajua kuna uwezekano Barrick wanatuingiza mkenge?!. Hili la ...
Priorities Zetu Nini?. Dola Milioni 300 Zinatosha Kununua Smelter ...
Dola Milioni 300 zetu za kishika uchumba cha Acacia, danadana ...

2. Barrick Gold Wamesamehewa Kodi ya Ongezeko la Mtaji USD 85.6M

Serikali ya Tanzania imetoa misamaha mbalimbali ya Kodi kwa Kampuni ya Barrick Gold katika makubaliano yaliyoingiwa ikiwemo kodi ya ‘Capital Gains’ ambayo inatokana na mauzo ya hisa za Acacia kwa Barrick. Itakumbukwa kuwa mwaka 2012 Bunge lilitunga sheria ya kutoa Kodi ya Ongezeko la Mtaji kwa mauzo ya mali zilizopo Tanzania ili kudhibiti ukwepaji wa Kodi.

Barrick inainunua Acacia kwa Hisa ambazo Barrick haikuwa inamiliki ambazo zimepewa thamani ya Dola Milioni 428. Capital Gains Tax ya 20% ilipaswa kulipwa lakini Rais Magufuli na Profesa Kabudi wametoa ‘waiver’ (Msamaha) na kupoteza Mapato halali na ya kisheria kwa nchi yetu ya Dola Milioni 85.6 (wastani wa TZS 200 Bilioni). Tukirejea hoja ya kwanza hapo juu utaona kuwa sio tu Tanzania kiuhalisia haitapata Dola Milioni 300, bali pia tunaipa zawadi Barrick ya Dola Milioni 25.6 (wastani wa TZS 59 Bilioni) za ziada.
Hili ni kweli, hawa wamesamehewa na ni kawaida kwa serikali yetu kutoa misamaha ya aina hii kwa kutotoza capital gain tax kwenye acquisitions kibao, au kwenye hostile take overs,
Celtel ilibadilika kuwa Zain, ikabadilika kuwa Airtel, hakuna tulicholipwa!.
Sheraton ilibadilika kuwa Moven Pick, Royal Palm sasa Serena sijui kama tulilipwa kitu!.
Mobitel, iligeuka kuwa Tigo sijui kama tulilipwa kitu!.
Kibo Breweries ilikuwa taken over kwenye hostile take over, sijui kama tulilipwa kitu, hivyo hapa Zitto is right, but its not the first time, kama kule kuingine tumetoa misamaha hiyo, why not now?.

3. Tanzania kupewa Hisa 16% za daraja B lakini Watanzania kunyimwa umiliki wa 30% kupitia Soko la Hisa la DSE

Ni kweli kuwa Serikali itapewa hisa za bure 16% kwenye Kampuni tanzu zote za Acacia hapa nchini kama tulivyoambiwa na Serikali. Lakini hisa hizo ni za Daraja la B ambazo ni hisa dhaifu kulinganisha na zile za Daraja la kwanza. Hisa hizo haziruhusiwi kuuzwa, hazina kura kwa masuala fulani fulani ya Kampuni na huwezi hata kuziweka kama dhamana ya mikopo. Hata mgawo wa gawio hisa hizi hupata baada ya wale wa daraja A kulipwa kwa ukamilifu.

Licha ya makubaliano haya ya hovyo na yasiyo na tija, Serikali yetu imetoa ‘waiver’ (msamaha) kwa Barrick kutoorodhesha hisa kwenye Soko la Hisa la Tanzania. Sheria ya Madini ya mwaka 2010 (Wakati wa Waziri William Ngeleja) na Kanuni zake iliweka sharti kwamba ni lazima makampuni ya madini yauze 30% ya hisa kwa Watanzania kwenye soko la Hisa la Tanzania.

Makubaliano ya Mei 2019 kati ya Barrick na Serikali ya Tanzania yametoa msamaha kwa Barrick kutekeleza sharti hilo la kisheria. Uamuzi huu unavunja sheria za nchi, ni hujuma kwa Watanzania kumiliki maliasili zao na ni ukosefu wa maarifa ya kiuchumi kwa kiwango kisichomithilika wala kuvumilika.

Hili la hisa za daraja B ni kweli lakini sii kweli kuwa Watanzania tumenyimwa umiliki wa 30% kupitia DSE!.
Hizi hisa aslimia 16 za Tanzania, ni free carried shares, tumepewa bure, na kote free carried shares huwa haziuzwi ila sii kweli kuwa hazina voting rights. Pia sii kweli kuwa Watanzania tumenyimwa umiliki wa 30% kupitia DSE!.
Naomba hapa ikumbukwe, shares zinazouzwa ni shares za Acacia zinazo trade kwenye London Stock Exchange tuu, hata yale mambo ya PUSU ni mambo yao, sijasikia lolote kuhusu shares za Acacia zinazo trade kwenye DSE, hivyo business ya hisa za Acacia ndani ya DSE zinaendelea as usual.Hata baada ya sale kukamilika, hivyo kampuni mpya italazimika kuuza 30% ya hisa zake kwenye DSE na Watanzania wenye fedha, watakuwa free kununua hisa hizo kwenye soko.

Tukija kwenye voting rights, sii kweli kuwa Tanzania hatuna voting rights, bali ni kawaida kwa free shares zote hazina voting rights ya pro rata ya share to shares bali tuna voting rights za block shares. Sisi Tanzania wenye free carried shares za 16%, serikali yetu iteteua mjumbe mmoja wa bodi ambaye ni Mtanzania, ataingia na kuwa mjumbe wa bodi ya hiyo kampuni mpya, kwa zile asilimia 16% za shares zetu na ndani ya kikao cha bodi, atakuwa na voting righs za kupiga kura 1 as a block vote kuwakilisha zile shares 14, wakati wajumbe wengine wa bodi, watakaowakilisha zile subscribed shares za asilimia 84%, wanatakuwa na voting rights ya votes 84 kwa uwiano wa share to shares votes pro rata according to shares subscription. Hivyo ndani ya bodi ya hiyo kampuni Mtanzania atakayeingia humo, atakuwa anapiga kura moja kuwakilisha the block ya zile shares zetu 16 za bure, na katika mgao wa faida, sii kweli kuwa tutapata mgao baada ya wale wengine, huu ni uongo!, Tanzania tunagaiwa mgao sawa kabisa wa faida kwa mujibu wa shares hizo.

Kwa wasio jua kuhusu shares za group A na group B shares za group A ni shares za watu walio invest kwa kutoa fedha zao kununua shares, yaani subscribed shares, na shares group B ni shares za heshima, shares za hisani zinazotolewa bure, shares hizi za hisani haziruhusiwi kuuzwa, wala kuwa disposed or transferred na zina block votes rights. Hili hufanyika kwa makampuni kuwapa hisa za heshima land owners, mfano UAE, hakuna foreigner anayeruhusiwa kumiliki ardhi, ardhi yote ni ya wazawa, hivyo investor akija lazima aingie ubia na wazawa mzawa anatoa land, investo ana jenga, kama alivyofanya Rugemalila kwenye IPTL alitoa ardhi yake na kupewa 30 m% ya shares, IPTL ikaikwa kwa PAP, Ruhemalila akalipwa shares zake, akagawa fedha zake, sasa anateswa bure bila kosa lolote!.

4. Bunge lafungwa mikono kubadili sheria yeyote
Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Barrick wamekubaliana kuwa baada ya mkataba wao kukamilika Bunge la Tanzania haliwezi kutunga sheria yeyote ambayo itabadili makubaliano hayo na kodi zote zilizokuwa zinafanya kazi wakati wa kuingia makubaliano hazitaweza kubadilishwa kipindi chote ambacho Barrick watakuwa wanafanya kazi Tanzania (fiscal stabilisation).

Makubaliano ya namna hii ndiyo kitu kilicholeta Buzwagi mwaka 2007 ambapo Serikali za Rais Mkapa na Rais Kikwete ziliingia mikataba ya kulifunga Bunge kutimiza majukumu yake ya kikatiba kama Dola (sovereign). Sheria ya Madini yam waka 2010 iliondoa sharti hili kufuatia mapendekezo ya Kamati ya Bomani. Rais Magufuli na Waziri Kabudi wameturudisha kwenye unyonyaji wa kihayawani kabisa.

Kwenye hili pia Zitto hajasema kweli, kwenye document hii yenye kurasa 91, hakuna popote Bunge la JMT limetajwa!. Makubaliano haya yatatawaliwa na sheria za Tanzania. Hakuna popote Bunge limetajwa, bali kilisemwa ni maadam sheria iliyotungwa ninaelekeza free carried shares ni asilimia 16%, baada ya kusainiwa kwa makubaliano haya, serikali haiwezi kuongeza kile kiwango cha shares zaidi ya asilimia 16% za kisheria unilateral, kama ilivyofanya kwa sheria mpya ya madini "the GoT will not unilaterally seek to increase its share ownership or economic participation rights in the TMC", hii maana yake, serikali haiwezi kujiamua yenyewe pekee bila kuishirikisha Barrick.

Hili mimi nililizungumzia kitambo ile tuu tunabadili sheria, kuwa kisheria, sheria yoyote ambayo ni sheria nzuri, inaanza kufanya kazi tangu pale inapotungwa. Sheria yoyote inayotungwa halafu ina act retrorespect is a bad law. Hivyo tulipopitisha sheria mpya, nikasema tuwashukuru sana Barrick wamekubali kuanza upya kwa sheria mpya, Hakuna mwingine yoyote mwenye mkataba wa zamani amekubali kubadili na kutumia sheria mpya na hatuwezi kulazimisha.

5. Barrick wameruhusiwa kufungua kesi ughaibuni kinyume na Sheria

Kwa mujibu wa sheria mpya za madini za mwaka 2017 makampuni yamezuiliwa kufungua mashauri yake nje ya Tanzania. Migogoro yote inapaswa kushughulikiwa na mahakama za ndani ya nchi. Serikali ya Tanzania imekubaliana na Barrick kuwa migogoro itafanyika kwa mujibu wa kanuni za UNICITRAL na Rais wa Kituo cha usuluhishi wa migogoro cha Singapore ndio atateua wasuluhishi ambao hapatakuwa na Mtanzania.

Kwenye hili, Zitto yuko right 100% kipengele kwenye sheria yetu mpya kinachokataza usuluhisi nje ya Tanzania ni hiki
1563710266967.png

Ile siku sheria hii inapitishwa Bungeni, mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Waziri Kivuli wa sheria, Tundu Lissu, alionya kuhusu hili kuwa hatuwezi kupitisha sheria ambayo hatuwezi kuitekeleza and soon tutakuja kuifanyia marekebisho. Hivyo hapa Zitto yuko right, makubaliona haya ni kinyume cha sheria, hivyo ni illegal.

Neno kwa wapenzi wa Zitto.
Kwa wapenzi wa Zitto, naomba kuwahakikishia, lengo la bandiko hili sio kumtweza au kumbagaza Mhe. Zitto, bali ni kumuelimisha tuu na kumtaka awe mkweli kwa kuacha upotoshaji, ila kiukweli kabisa Zitto ni kati ya wanasiasa makini na mahiri kabisa ninaowakubali, na hata nikashauri, kama Tanzania tunataka ushindani katika uchaguzi wa rais 2020, Zitto ndio the one and only anayeweza kuleta ushindani kwa mgombea wa CCM 2020.

Zitto is and has been my hero na hapa nilimchambua vizuri
Nawatakia Jumapili Njema.
Asante.
P
Kumhusu Zitto, nimeisha wahi kusema haya

Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini ...
Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The ...
Face to Face with Zitto Kabwe: Kuhusu Kupika Data, "Namheshimu ...
Zitto Zuberi Kabwe Ni Mchochezi, Akamatwe, Ashitakiwe Kwa ...
Wafuasi wa Zitto na Manazi wa CHADEMA: Tunajenga Nyumba Moja ...
Kichaa Mmoja, Anaweweseka Sana Juu ya Zitto, Kamtungia Uongo ...
Kama Tuhuma Hii ni Kweli!, Then This is "The End Of Zitto ...
Wapinzani msione aibu kushirikiana na CCM kwenye hoja zenye ...
Kilichomkuta Zitto: Kuna mkono wa Mtu! Yajue makundi 10 ya ...
La Zitto Kuvuliwa Nyadhifa CHADEMA: Mhe. Zitto, Please! Play It ...
Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau ...
 
Mbona hujajibu Hoja hata 1 ya zitto badala yake umemwita muongo

Yeye kaandika hoja zaidi ya 5 na wewe ulituamisha taifa limepata na Jpm ndio ushindi wake mkuu

Kumbe tena ni Initialed bado

Acha kujilinganisha na Zitto wewe ni karatasi tu.
 
Duh yani wewe Kamanda P na Zitto siwaelewe kabisaaa

ILA ngoja nisubiri labda mbeleni nitawaelewa
Wanabodi,
Tangu baada ya Barrick kutangaza kuninunua Acacia, kumeibuka mijadala mingi kuhusu suala hili, haku wanasiasa waki capitalize kwa kutafuta political score na political capitalization kuhusu jambo hili, kwa kutumia hoja za uongo au upotoshaji wa makusudi for political gain au upotoshaji wa bahati mbaya kutokana na kutokujua vizuri lugha ya Malikia.

Sijitapi kuwa mimi ndie mtu wa kwanza kuleta hii braking news ya Acacia kununuliwa, na ni miongoni mwa wana jf tulioandika sana kuhusu hili, to be on a safe side, kunapotokea mambo yahusuyo lugha za watu, huwa ninaweka source ili ukajisomee mwenyewe, hivyo hili ni bandika la kukosoa Mhe. Zitto kwa uongo na upotoshaji huku nikimuomba asikasirike kama lugha ya malikia haipandi kivile, kwa vile tuko wengi tuu lugha hii inatupiga chenga, kuanzia ile 1st Class ya LL.B ya Sheria ya UDSM yenye GPA ya 4.9 na Ph.D ya Sheria, hadi Ph.D ya Kemia, hii lugha ya malikia kwenye hili imesumbua, watu waliambiwa 50/50 ya Economic Benefits, wakatueleza ni 50/50 ya net profits!. Mhe. Zitto naye kaona Draft Agreement ikaelezwa imekuwa initialed, kaibuka kuwa ni mkataba umesainiwa!, kakwe draft agreement ni mkataba, na kuwa initialed kwake ni kusainiwa!, hizi lugha za watu jamani, zisitufanye kuwa waongo na wapotoshaji, tuwe wakweli daima, tell the truth and the truth will set you free!.
Naomba tuanzie kwenye bandiko langu kuhusu jambo hili

Kwenye bandiko hili, niliweka links za Barrick na Acacia.

Ndipo Mhe. Zitto naya akaibuka na bandiko lake, japo hoja zake ni za kweli, ila kuna uongo na upotoshaji mkubwa

Mkuu Mhe. Zitto, kwanza asante kwa bandiko hili na uzalendo wako kwa nchi yako. Kwa vile mimi ni miongoni wa wana jf ambao tumeandika sana kuhusu hili, nitachangia baadhi ya vipengele with reference ya nilisema nini, nilishauri nini na kulinganisha na kilichotokea ni nini, but with due respect, na wasiojua ligha ya Malikia, ni kwa heshima na taadhima, tuwe wakweli toka ndani ya nafsi zetu, tuache urongo na upotoshaji, just tell the truth and the truth will set you free, sii kweli kuwa mkataba huu umeisha sainiwa!, hilo neno (INITIALED) sio kuonyesha kuwa umesainiwa, bali katika mikataba, kunatakiwa signatories watie initials zao kwenye kila page ya draft kuonyesha wameelewa, lakini draft ni draft na mkataba ni mkataba!, ku INITIALED sio kusaini.

Hicho kiambanisho 4 ni draft, na mimi nimekiweka kwenye bandiko langu la tangazo la kifo cha Acacia
na nikasisitiza,

Hatuwezi kusema kila kitu mpaka baada ya kusainiwa kwa makubaliano hayo, na nikasisitiza kwenye makinikia kuna lakini sikuiweka hiyo lakini kwa sababu bado hatujaona makubaliano yaliyofikiwa, as of now hayo ni mapendekezo tuu, yaani draft, siku zote drafts zote huwa ni tentative, inaweza kubadilika, hivyo naomba kusisitiza katika hili tuwe wakweli, tutumie ukweli, tuache urongo na upotoshaji!.

Kwa wapenzi wa Ziito, naomba kuwahakikishia, lengo la bandiko hili sio kumweza au kumbagaza Mhe. Zitto, bali ni kumuelimisha tuu na kumtaka awe mkweli kwa kuacha upotoshaji, ila kiukweli kabisa Zitto ni kati ya wanasiasa makini na mahiri kabisa ninaowakubali, na hata nikashauri, kama Tanzania tunataka ushindani katika uchaguzi wa rais 2020, Zitto ndio the one and only anayeweza kuleta ushindani kwa mgombea wa CCM 2020.

Nawatakia Jumapili Njema.
Asante.
P
 
Naamini, I might not be right, Zitto is much more ahead of you in such matters leave alone your capacity as a reporter and not an investigative reporter! aspects!
It would have been much better if you had shown how Pascal Mayalla is not right and Zitto was right.
All opinions based on the draft attached by Acacia/Barrick public notice.

That's what we expect from a learned brother like you.

So far all I can see from you is a personal opinion based on your perception. Your perception may not qualify to be a legal fact.

Forgive my poor english.
 
inawezekana upo sahihi, lkn kiwango ulichomuweka mh Zitto sio sahii. Kusema zitto ni muongo huku ukikiri kwamba hiyo draft ipo Kama alivyosema zitto, sio sawa kusema zitto ni mrongo. Kama ulivyosema kuna suala la lugha ya malkia Wenda hajaelewa au ameghafirika maana ya hicho kipengele. Na kwanamna nchi zetu za dunia ya tatu zilivyo alichofanya zitto ni kitu kikubwa mno, hata hao watawala watapitia kwa makini kabla hawajasaini. Vyenginevyo uwezekano wa kusaini ulikua mkubwa kuliko kutokusaini.
 
It would have been much better if you had shown how Pascal Mayalla is not right and Zitto was right.
All opinions based on the draft attached by Acacia/Barrick public notice.

We expect that from a learned brother like you.

So far all I can see from you is a personal opinion based on your perception. Your perception may not qualify to be a legal fact.

Forgive my poor english.
And I have said it, I might not be right! What I am sure of is that Zitto is much more knowledgeable in economic issues compared to Mayalla! and therefore one is much more inclined to believe Zitto... again, I might not be right!
 
Wanabodi,
Tangu baada ya Barrick kutangaza kuninunua Acacia, kumeibuka mijadala mingi kuhusu suala hili, haku wanasiasa waki capitalize kwa kutafuta political score na political capitalization kuhusu jambo hili, kwa kutumia hoja za uongo au upotoshaji wa makusudi for political gain au upotoshaji wa bahati mbaya kutokana na kutokujua vizuri lugha ya Malikia.

Sijitapi kuwa mimi ndie mtu wa kwanza kuleta hii braking news ya Acacia kununuliwa, na ni miongoni mwa wana jf tulioandika sana kuhusu hili, to be on a safe side, kunapotokea mambo yahusuyo lugha za watu, huwa ninaweka source ili ukajisomee mwenyewe, hivyo hili ni bandika la kukosoa Mhe. Zitto kwa uongo na upotoshaji huku nikimuomba asikasirike kama lugha ya malikia haipandi kivile, kwa vile tuko wengi tuu lugha hii inatupiga chenga, kuanzia ile 1st Class ya LL.B ya Sheria ya UDSM yenye GPA ya 4.9 na Ph.D ya Sheria, hadi Ph.D ya Kemia, hii lugha ya malikia kwenye hili imesumbua, watu waliambiwa 50/50 ya Economic Benefits, wakatueleza ni 50/50 ya net profits!. Mhe. Zitto naye kaona Draft Agreement ikaelezwa imekuwa initialed, kaibuka kuwa ni mkataba umesainiwa!, kakwe draft agreement ni mkataba, na kuwa initialed kwake ni kusainiwa!, hizi lugha za watu jamani, zisitufanye kuwa waongo na wapotoshaji, tuwe wakweli daima, tell the truth and the truth will set you free!.
Naomba tuanzie kwenye bandiko langu kuhusu jambo hili

Kwenye bandiko hili, niliweka links za Barrick na Acacia.

Ndipo Mhe. Zitto naya akaibuka na bandiko lake, japo hoja zake ni za kweli, ila kuna uongo na upotoshaji mkubwa

Mkuu Mhe. Zitto, kwanza asante kwa bandiko hili na uzalendo wako kwa nchi yako. Kwa vile mimi ni miongoni wa wana jf ambao tumeandika sana kuhusu hili, nitachangia baadhi ya vipengele with reference ya nilisema nini, nilishauri nini na kulinganisha na kilichotokea ni nini, but with due respect, na wasiojua ligha ya Malikia, ni kwa heshima na taadhima, tuwe wakweli toka ndani ya nafsi zetu, tuache urongo na upotoshaji, just tell the truth and the truth will set you free, sii kweli kuwa mkataba huu umeisha sainiwa!, hilo neno (INITIALED) sio kuonyesha kuwa umesainiwa, bali katika mikataba, kunatakiwa signatories watie initials zao kwenye kila page ya draft kuonyesha wameelewa, lakini draft ni draft na mkataba ni mkataba!, ku INITIALED sio kusaini.

Hicho kiambanisho 4 ni draft, na mimi nimekiweka kwenye bandiko langu la tangazo la kifo cha Acacia
na nikasisitiza,

Hatuwezi kusema kila kitu mpaka baada ya kusainiwa kwa makubaliano hayo, na nikasisitiza kwenye makinikia kuna lakini sikuiweka hiyo lakini kwa sababu bado hatujaona makubaliano yaliyofikiwa, as of now hayo ni mapendekezo tuu, yaani draft, siku zote drafts zote huwa ni tentative, inaweza kubadilika, hivyo naomba kusisitiza katika hili tuwe wakweli, tutumie ukweli, tuache urongo na upotoshaji!.

Kwa wapenzi wa Ziito, naomba kuwahakikishia, lengo la bandiko hili sio kumweza au kumbagaza Mhe. Zitto, bali ni kumuelimisha tuu na kumtaka awe mkweli kwa kuacha upotoshaji, ila kiukweli kabisa Zitto ni kati ya wanasiasa makini na mahiri kabisa ninaowakubali, na hata nikashauri, kama Tanzania tunataka ushindani katika uchaguzi wa rais 2020, Zitto ndio the one and only anayeweza kuleta ushindani kwa mgombea wa CCM 2020.

Nawatakia Jumapili Njema.
Asante.
P

Tarehe 19 Mei 2019 wame INITIAL nini? Soma tena Kama hujaelewa tutaeleweshana. Sijatunga kitu Bali nimeandika kile ambacho kimo kwenye makubaliano ya Serikali na Barrick Gold. Magufuli na Kabudi wameuza nchi kwa kutoa concessions za hatari kabisa
 
We jamaa mkali umesoma ya kiingereza umeelewa lakini ya kiswahili umeshindwa kuelewa.
 
Lakini mkuu Pascal kama hiyo ni draft maana yake imeandaliwa kwa pamoja kati ya Barrick na GOT labda kwa Muktadha huo ndio Barrick akainunua Acacia.
Maana tunaambiwa hiyo agreement imeshawekwa wazi kwenye viunga vya NYSE na LSE ili wadau waiona kwa I think for business purpose, Unafikiri kunakitakacho badirika hapo.?
 
Kwa mara ya kwanza kabisa nakuponda Uncle. Usilazimishe kuonekana unatetea muda mwingine acha akili yako ya kuzaliwa ikuongoze ambayo wote tunaijua. Hoja hata moja uncle hujajibu tafadhali.

Nani na nani wameaanda Draft, na ikishatoka kuwa draft kinachofuata ni nini.
 
inawezekana upo sahihi, lkn kiwango ulichomuweka mh Zitto sio sahii. Kusema zitto ni muongo huku ukikiri kwamba hiyo draft ipo Kama alivyosema zitto, sio sawa kusema zitto ni mrongo. Kama ulivyosema kuna suala la lugha ya malkia Wenda hajaelewa au ameghafirika maana ya hicho kipengele. Na kwanamna nchi zetu za dunia ya tatu zilivyo alichofanya zitto ni kitu kikubwa mno, hata hao watawala watapitia kwa makini kabla hawajasaini. Vyenginevyo uwezekano wa kusaini ulikua mkubwa kuliko kutokusaini.
Mimi sijali kuitwa muongo. Ninachojua sijasema uongo wowote. Nimeusaidia umma kufafanua hiyo FRAMEWORK agreement ambayo Serikali yetu imesaini ( kwa lugha ya mkataba INITIAL ). Sasa kama hiyo agreement haipo nitakuwa mwongo. Kama ipo Paskali ajifunze tu.
 
Back
Top Bottom