Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na. Eva Valerian, WFM- Dodoma WAZIRI wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameliomba Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani – USAID, kuelekeza kiasi cha msaada...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Hivi ndivyo polisi Tanzania wanavyouwa watu wakiwamo watuhumiwa wa u panya road. Ama kwa hakika wao na mashabiki wao, Mwalimu ana maneno sahihi zaidi kwao:
15 Reactions
154 Replies
9K Views
Zamani ilikuwa ukifika ofisi za TRA au TANESCO basi ni lazima ukutanane na watu wanaoitwa vishoka, nina uhakika kwa sasa watu hao wamesambaa kwenye ofisi nyingi tu. Binafsi sijawahi kufanya kazi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kiongozi mjasiri huangalia Macho kwa Macho. Hata awapo na adui aliyemzidi kwa ufahamu na zana za kivita huwa hapindishi macho na maneno. Katika Picha ni Anthony ISHIKA akiongea na Mkutugenzi wa...
0 Reactions
0 Replies
329 Views
Nani anapenda kumzika ndugu yake ambaye amepoteza uhai kabla Mungu hajamuita. Mbaya zaidi wanaokuwa wamemuua hawachuliwa hatua kisheria. Kila siku kukicha tunasikia vyombo habari watuhumiwa...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Spika Mstaafu wa Bunge la 11, Job Ndugai amejikuta katika aibu kubwa baada ya wanachama wa CCM Wilaya Kongwa katika JUMUIA YA WAZAZI NA UVCCM kuameamua kujiondoa katika mfumo wa ubabe...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Ndugu zangu huo ndio utafiti unavyoonyesha kuwa kila CCM inapokuwa na vikao vyake vya ndani ngazi ya Taifa hufuatiliwa kwa karibu Sana na Mamilioni ya Watanzania, huku waandishi wa habari...
2 Reactions
70 Replies
3K Views
Uchumi wa Tanzania Bara umekua kwa 5.4% ikilinganishwa na makadirio ya 4.7% katika robo ya kwanza ya mwaka huu huku Zanzibar ukikua kwa 5.1% ikilinganishwa na makadirio ya 5.4%. Wachumi waipongeza...
2 Reactions
18 Replies
946 Views
Kwa mfano Dr Shein ndiye Makamu mwenyekiti wa CCM upande wa Zanzibar hadi sasa Dr Mwinyi ambaye ni Rais wa Zanzibar atapokea kijiti wakati wa Uchaguzi mkuu wa chama Mungu wa mbinguni ibariki CCM
0 Reactions
4 Replies
659 Views
Kudos kwa Mwana jukwaa.. NBS wametoa ripoti ya Hali ya Pato la Kila Mtanzania kwa Mikoa ya Tanzania kwa kuzingatia GDP per Capita Income ya Kila Mkoa kwa mwaka 2021.. Kwa mujibu wa Ripoti ya...
9 Reactions
182 Replies
14K Views
Aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai anajipanga kumuachia jimbo la Kongwa mkewe Bi. Fatma Mganga ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma. Ndugai ameanza kampeni na figisu hizi kwa kupanga safu...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Hatua ya serikali kutoza tozo kama njia ya kuongeza mapato yake ili kutoa huduma kwa wananchi ambao wanadai hiki na kile, imepokelewa kwa kiasi kikubwa kwa kukataliwa ikiwemo na wabubge wenyewe...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mheshimiwa Rais, nimefurahishwa vilivyo na jinsi ulivyoanza uongozi wako wa awamu ya nne kwa ziara za kushtukiza unazozifanya sehemu mbalimbali ambazo unahisi kuna matatizo yanayowaelemea...
26 Reactions
14 Replies
7K Views
"...CCM haitoachia madaraka abadani na kwalo sisi mtaji wa kuendelea kukaa madarakani tunao kwa sababu huwa tunajiandaa mapema." Shaka.
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi watuhumiwa hao ni Innocent Adam Chengula na Tarzan Alfan Mwambengo wanaodaiwa kutumia picha na jumbe za simu zinazomuhusisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa kwamba kinachoitwa Mkutano Mkuu wa dharura wa NCCR MAGEUZI, ulioongozwa na Joseph Selasini umemvua uanachama na kumfukuza James Mbatia na Makamu wake . Hayakutolewa...
10 Reactions
76 Replies
8K Views
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu ameagiza maafisa maduhuli kuanza kubana Matumizi kwenye Chai Vitafunwa Safari ndani na nje ya nchi na Semina. Kadhalika viongozi wanapokuwa kwenye safari yenye lengo...
28 Reactions
126 Replies
9K Views
Hiki ni kibwagizo kidogo tokea Tarime. Ni majuzi tumeona kipigo cha mbwa koko kwa mtuhumiwa aliyekuwa kwenye pingu. Haifahamiki kama polisi wahalifu wale kuna angalau walio bado korokoroni...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwaka 2014 Sheria ya iliyokuwa SSRA ilianza kutumika kulipa mafao na ikasaidia sana kupandisha mafao ya Mfuko wa NSSF na iliyokuwa PPF ambayo ilikuwa inawanyonya kisheenziii wastaafu kabla ya 2014...
17 Reactions
91 Replies
13K Views
JUZI Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA,) ilivitaka vyombo vya Habari vya kielektronic hususan redio Tv na mitandao ya kijamii kutoutumia wimbo wa msanii wa Kizazi Kipya Emanuel Elibariki(Ney...
9 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…